ngorope
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,112
- 243
usijeshangaa watu washakula 10% maana nchi hii shamba la bibikama serikali imelitoa hilo ziwa kwa wamalawi pasipo kuhusisha maoni ya watanzania, basi serikali inalo la kujibu. Huwezi kuwaambia wananchi waliokaa pale miaka nenda rudi eti, hayo maji usiyaguse ni ya wamalawi hayo. Hili suala ni lazima serikali ilitolee kauli haliwezi kuwa kimya kimya milele!