dorge
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 235
- 365
Ukweli.
Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan.
Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa tofauti naye anabadilika, jambo hili linanifanya nipate mawazo japo najua njia yakwenda. Napata stress napiga mitungi yeye anapaniki. Anakuwa ndiye mume ndiye mke. Kwa ufupi kadharau kamaana kanaonekana. Mimi kwa kuwa najielewa mwanamke namuheshim ila akiniletea dharau natupia kule.
Kwa sasa Sina kitu yeye ndio anachezesha game. Wala sijapaniki nasoma michezo yake. Anacheza kila aina ya michezo wa pesa. So naangalia tu. Kuna wakati hii michezo ikatuletea madeni makubwa, kwa kuwa tunacheza wote maisha ya kifamilia, sometimes nachezesha masuala ya kifamilia. So yeye anabaki akiziba mikopo. Baadae anajisifu amepeta maana hakuna deni tunaanza tena.
Leo kuna madeni kama millions ambazo zilisababishwa na kulipia gharama mbalimbal sasa bana akakosea akaitaja Ile million aliyokopa sehemu.
Kifupi maisha ya kifahari ni upuuzi. Siyapendi wanawake wanayapenda sana.
Mtoto ana birthday kwanini ugharamie?
Sijiungi na kataa ndoa ila tumeambiwa tuishi nao kwa akili ila wanaume wengine mmmh
Si ntakuja kumkubalia mwanamke anitawale. Kamwe. No means no