Ukweli kuhusu maisha ya watanzania walioko ughaibuni

Ukweli kuhusu maisha ya watanzania walioko ughaibuni

Masikini akipata bwana ulikua na na akili sana?akili za kufanya nini.?wenye akili atukimbii changamoto tunakomaa nazo n we make it..kuna kipindi alikua anaojiwa p.diddy kuhusu utajiri wake alisema hivi.."since imade it here ican make it anywhere,take every thng from me even my clothes and throw me into amazon iwil come back my body covered with leaves and my hands holding some roots for food."kunawatu wako bongo hata kenya awajafiki but wako vizuri..mtuache na bonge yetu..
 
Sasa utajiri wenu una maana gani kama mnashindwa kusaidiana ugenini na nyie ni watanzania wote? Mbona mnatuaminisha kupitia vibirthday vyenu kuwa mnaishi kwa umoja? Au ni umoja wa kwenye goodtimes tu, kwenye matatizo No? Acheni vijisababu bana.....hela hazijifichi!

Unajua waafrika wengi huwa tunaona msaada kama ni haki (sijui kwasababu nchi zetu zimezoea kusaidiwa). Hii ni kwasabu ya uvivu wetu!
 
Hapo huwa pananipa shida. Hata mleta mada anasema huwa anasafiri kwenda huko scandnavia aliookuwepo ambapo ana uraia.
Swali langu, je wakati wa kusafiri kurudi huko huwa wanatumia passport Ipi?

Maana akitumia ya scandnavia watajuwa si raia. Akitumia ya kibongo ataulizwa visa ya scandnavia. Ama unazungumzia haki za kiraia kama kuwekeza?
 
duh naona bado ubishi bado kuendelea haya nani bingwa na anaijuaa sana europa na marekani.....tumpe medali ya dhahabu kwikwikwikwi
 
Kuna jamaa yangu aliamua kurudi nchini miaka ya karibuni. Yeye tayari alikuwa na uraia wa huko alikokuwa anaishi. Kurudi kwake nchini ilikuwa ni kuanzisha biashara ambayo wageni hawaruhusiwi kuifanya bali Watanzania tu. Sasa alikuwa na mikakati mbali mbali ya kuhakikisha anaingia nchini kama mbongo. Na mikakati hiyo ilikuwemo pia kusaidiwa na kingunge mmoja mkubwa kuja kumpokea JKNIA na kumsaidia kuingia nchni kama "mbongo" na mikakati mingine pia. Kupata passport ya Tanzania alisema haikuwa tatizo. Na aliingia nchini salama salmini kama mbongo.

Wapo wabongo wengi wenye uraia wa nchi za nje ambao wanaishi nchini. Kama hupigipigi kelele kuhusu uraia uliokuwa nao wa nje basi hakuna atakayekufahamu ila ukipiga piga mayowe kila siku kuhusu uraia wako wa nje basi unaweza kuchomewa na ukapewa 24 hours kuondoka nchini.
Ndio hapa huwa nawaza kwa sauti ya chini chini, kama uraia pacha unakataliwa kwanini usichukue uraia wa huko uliko alafu ukirudi zako huku unafanya mambo yako, kuna wenzetu wenye asili ya bara hindi wanakuja huku kwetu kama sio raia na wanapiga kazi wakipata wanasepa zao, na kwanini na sie wanaotuwakilisha huko wasipige mishemishe kwa uraia wa huko alafu wakirudi zao huku wanapiga deal zao kama kawaida, kuna raia kibao wa nje wanaishi hapa nchini kwa kujifanya watz kigezo tu wanazungumza kiswahili fasaha na wanajifanya wametoka mikoa ya mipakani sembuse kidume ambacho kinajua chocho zote za nchini hata kama kilichukua uraia wa nje
 
Nina uhakika hata Nairobi hujawahi fika Lol.
Hebu quote sehemu niliyodhalilisha Tanzania?
Inshort point zako zinatokana na story zakusikia huko vijiwen mmakoshinda bila kazi.
Afu watu wanaoukana utanzania na kujipa ukimbizi ili wapate maisha mazuri mim nawaita Mashujaa.Lol

Basi ndugu yangu yamekwisha,
Nairobi kapitie register ya Hemingway Hotel (may) utalikuta jina langu au ILRI kwenye programme ya CCAF (climate change.......)
 
Mimi nna uraia wa nchi tatu.

Tanganyika, Tanzania na Canada.

Nyie ndo mlitakiwa mkatoe ushuhuda wenu ndani ya Bunge la Katiba juu ya faida na hasara za kuwa na uraia wa zaidi ya Tanzania.
 
Basi ndugu yangu yamekwisha,
Nairobi kapitie register ya Hemingway Hotel (may) utalikuta jina langu au ILRI kwenye programme ya CCAF (climate change.......)[/QUOTE

Kazi ipo
 
Basi ndugu yangu yamekwisha,
Nairobi kapitie register ya Hemingway Hotel (may) utalikuta jina langu au ILRI kwenye programme ya CCAF (climate change.......)

hahahahahaha mkuu naona umeonesha msisitizo kabisa mpaka umemtajia hotel....
 
Ndio hapa huwa nawaza kwa sauti ya chini chini, kama uraia pacha unakataliwa kwanini usichukue uraia wa huko uliko alafu ukirudi zako huku unafanya mambo yako, kuna wenzetu wenye asili ya bara hindi wanakuja huku kwetu kama sio raia na wanapiga kazi wakipata wanasepa zao, na kwanini na sie wanaotuwakilisha huko wasipige mishemishe kwa uraia wa huko alafu wakirudi zao huku wanapiga deal zao kama kawaida, kuna raia kibao wa nje wanaishi hapa nchini kwa kujifanya watz kigezo tu wanazungumza kiswahili fasaha na wanajifanya wametoka mikoa ya mipakani sembuse kidume ambacho kinajua chocho zote za nchini hata kama kilichukua uraia wa nje

Labda wapo wengine kwa sababu ya kukaa huko waliko wamejifunza na kuzoea kuheshimu na kufuata sheria.

Sasa unapomshauri avunje sheria kwa sababu wengine wamefanya hivyo sidhani kama atakuelewa.

Sana sana itaonyesha tuu jinsi tulivyo wanafiki kwa kulalama viongozi kuongoza nchi bila kuheshimu sheria za nchi wakati hapo hapo tunawashauri wengine wavunje sheria za nchi.
 
Kama Ulaya kuzuri mno si muhamie. Mkipata uraia wa huko kuzuri Uraia pacha wa nini.? Na wazungu matajiri waliotoka nchi za kitajiri wanakuja huku kufuata nini? Je wanakuja kuonja ladha ya umaskini? Tatizo nililolibaini tumejifunza kukariri siyo kuchanganua. Ndiyo maana vitu vyetu vyote tunasema kagundua mzungu. Vyakula vyetu vya kishenzi, dawa zetu za kishenzi,utamaduni wetu wa kishenzi.Tunamakaratasi yanaitwa vyeti,tutakapoelimika tutajua thamani yetu na bara letu. Ulaya inaihitaji Afrika kuliko Afrika inavyohitaji Ulaya. Kikwazo ni kizazi cha kunukuu

kimsingi hicho kikwazo unachokizungumzia, no hichohicho linachomkwaza mleta Masada, wewe unataka kuonekana ni patriot wakati siyo!
 
sijaona mantiki ya wewe kuficha jina halisi la nchi hadi kupelekea kujiita wewe ni raia wa scandinavia wakati hakuna kitu kama hicho!!? is it a crime to mention the name of the country? What exactly are you trying to hide?

BAK si amekueleza!
 
Labda wapo wengine kwa sababu ya kukaa huko waliko wamejifunza na kuzoea kuheshimu na kufuata sheria.

Sasa unapomshauri avunje sheria kwa sababu wengine wamefanya hivyo sidhani kama atakuelewa.

Sana sana itaonyesha tuu jinsi tulivyo wanafiki kwa kulalama viongozi kuongoza nchi bila kuheshimu sheria za nchi wakati hapo hapo tunawashauri wengine wavunje sheria za nchi.

Nimekupata ila huwezi kuchukua uraia huko uliko kwenda ukavuna za kutosha alafu baadae ukirudi nyumbani ukakaa miaka kadhaa ukaomba uraia wa Tz au ukiukana uraia wa Tz sheria inasemaje kuhusu kuutaka tena uraia wako? Ila hapa mie nachoona hata kama utakuwa raia wa nje ukaja Tz kuishi kama mgeni bado nafsi yako itakuwa unajiona kama mbongo tu hivyo inawezekana pia ukafanya mambo yako tu na mwisho wa siku maisha yanakwenda, unless kama na ajira za wabongo unazimezea mate au unakuwa unatamani kuwa kiongozi (ila kama huko haupo nadhani maisha yatakwenda vizuri tu
 
hahahahahaha mkuu naona umeonesha msisitizo kabisa mpaka umemtajia hotel....
mrangi, mtu akikwambia "nina uhakika hata Nairobi hujafika" ni kwamba anadhani mind yako ni sooo local kiasi kuwa hujavuka mipaka ya nchi hii. It is actually an insult. Kwa hiyo kwa watu kama hawa bora mwelekeze huko Nairobi jina lako atalikuta wapi!
 
Last edited by a moderator:

its true...ila naona mada hii sahvi inakwenda direction nyingine kabisa....
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata ila huwezi kuchukua uraia huko uliko kwenda ukavuna za kutosha alafu baadae ukirudi nyumbani ukakaa miaka kadhaa ukaomba uraia wa Tz au ukiukana uraia wa Tz sheria inasemaje kuhusu kuutaka tena uraia wako?

Kwa mtu ambaye hana asili ya Tanzania inabidi awe ameishi Tanzania kwa muda wa miaka kumi ili aweze kuomba uraia wa Tanzania.

Sijui sheria inasemaje kuhusu Mtanzania aliyezaliwa Tanzania kuukana uraia wake wa Tanzania halafu baadae kuuomba tena.

Sijui kama nae itambidi aishi Tanzania kwa miaka 10 kabla ya kuomba au anaweza kurudishiwa uraia wake fasta kwa kigezo cha uzawa.

Probably, s/he will not be allowed to jump the queue.

Ila hapa mie nachoona hata kama utakuwa raia wa nje ukaja Tz kuishi kama mgeni bado nafsi yako itakuwa unajiona kama mbongo tu hivyo inawezekana pia ukafanya mambo yako tu na mwisho wa siku maisha yanakwenda, unless kama na ajira za wabongo unazimezea mate au unakuwa unatamani kuwa kiongozi (ila kama huko haupo nadhani maisha yatakwenda vizuri tu

Hapo kwenye bold ni kasumba ya Watanzania wengi ili mradi maisha yanaenda hakuna tabu hata kama umevunja sheria.

Ni sawa na kuniambia kuwa sheria za Tanzania zinapiga marufuku ushoga lakini mwisho wa siku maisha ya mashoga yanakwenda. What's the point of having a law you can't enforce?

Kwa stahili hii tutakuwa tunajenga taifa ambalo watu wake hawana nidhamu. Taifa ambalo watu wake hawazingatii na kufuata sheria za nchi.

Kama tuko radhi kuwa na taifa la aina hii basi tusimsute Mtanzania yoyote atakayefanya mambo kinyume na sheria so mwisho wa siku maisha yanakwenda.
 
Ni sawa na kuniambia kuwa sheria za Tanzania zinapiga marufuku ushoga lakini mwisho wa siku maisha ya mashoga yanakwenda. What's the point of having a law you can't enforce?

Speaking of which....juzi juzi tu hapa kuna watu wamemlawiti jamaa ambaye inadaiwa alikuwa anatoka na mke wa mtu.

Sasa hao waliomlawiti sijui watashitakiwa kwa makosa gani maana nimesikia baadhi wamekamatwa.

Tuone kama watashitakiwa chini ya hiyo sheria ya ushoga!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom