Ukweli kuhusu maisha ya watanzania walioko ughaibuni

Kama Ulaya kuzuri mno si muhamie. Mkipata uraia wa huko kuzuri Uraia pacha wa nini.? Na wazungu matajiri waliotoka nchi za kitajiri wanakuja huku kufuata nini? Je wanakuja kuonja ladha ya umaskini? Tatizo nililolibaini tumejifunza kukariri siyo kuchanganua. Ndiyo maana vitu vyetu vyote tunasema kagundua mzungu. Vyakula vyetu vya kishenzi, dawa zetu za kishenzi,utamaduni wetu wa kishenzi.Tunamakaratasi yanaitwa vyeti,tutakapoelimika tutajua thamani yetu na bara letu. Ulaya inaihitaji Afrika kuliko Afrika inavyohitaji Ulaya. Kikwazo ni kizazi cha kunukuu

Pole sana.
 
Nimesema Scandinavia sababu sijataka kutaja nchi hasa niliyokuwepo.

sijaona mantiki ya wewe kuficha jina halisi la nchi hadi kupelekea kujiita wewe ni raia wa scandinavia wakati hakuna kitu kama hicho!!? is it a crime to mention the name of the country? What exactly are you trying to hide?
 
Mkuu points nilizotaka kutoa hazijaadhiriwa kwa namna yeyote ila na kutotaja kwangu jina la nchi.
Hata ningeamua kusema Schengen bado kusingeharibika kitu.
 
Umesema ukweli kuna watu watakukasirikia kama umefanya kitu kibaya wakati wewe umesema ukweli tu. Wewe ni mfano mzuri wa mtu wa kutoka familia ya kawaida kupata nafasi kufanikiwa na kurudi nyumbani kuwekeza sasa kama mtu asikotaka maisha kama hayo wangetaka wewe ufanye nini? ungebaki bongo bila elimu, na umasikini kwa sababu eti ukiondoka wewe si mzalendo! sasa unaajiri watu badala ya kuajiriwa, wewe sio masikini tena ume break mzunguko wa umasikini kwenye familia na una upeo wa kuona mengi!. Kama tungechukua muda kupeana mbinu badala ya kupigana madongo tungekuwa mbali

Acha tu mkuu.
Wabongo tuna shida sana.Yote hiyo kutaka kupotoshana.
 
Nimesema Scandinavia sababu sijataka kutaja nchi hasa niliyokuwepo.

Ungesema basi moja ya nchi za Scandinavia.

Kuwa na uraia wa nchi nyingine na kuishi Tanzania kama watanzania wengine wala sio tatizo.

Kwa hiyo unaishi Tanzania kama raia wa Tanzania na vile vile raia wa hiyo nchi ya Scandinavia?

Ingekua ughaibuni ingekua ngumu ila kwa bongo nafanya kila kitu bila kipingamizi.

Kwa uraia upi? Wa Kitanzania au wa Kiscandinavia?

Ni kweli kwenye makaratasi mimi sio mtanzania.

Oh! Kwa hiyo, ume-renounce uraia wako wa Tanzania kwa kutuma maombi Wizara husika ya Tanzania na kupewa Declaration of Renunciation of Tanzanian Citizenship?
 
Ungesema basi moja ya nchi za Scandinavia.

Kwa hiyo unaishi Tanzania kama raia wa Tanzania na vile vile raia wa hiyo nchi ya Scandinavia?

Kwa uraia upi? Wa Kitanzania au wa Kiscandinavia?

Oh! Kwa hiyo, ume-renounce uraia wako wa Tanzania kwa kutuma maombi Wizara husika ya Tanzania na kupewa Declaration of Renunciation of Tanzanian Citizenship?
Mkuu kama sikutaka kuwa specific kwenye nchi niliyoishi unafikir ndio nitajibu haya maswali yako?Lol.
Main point ya mada yangu ni uhalisia wa maisha ya wabongo ughaibuni.
Hayo mengine simooo.LOL
 
  • Thanks
Reactions: SDG
. father-xmas mimi naheshimu au naona siyo kila mtz aliyeko nje ana matatizo wapo wengine wana good time kutokana na connection za watu walizopata wapo wengine wakienda huko nje wanachemka wwnyewe kwa maana ya mpelampela wa huko hawauwezi.ila ukweli tu kwa nje huko kama utapatia ah utakula maisha bora sana, hata hapa bongo pia kuna wazungu wanakuja fanya kazi na wanapewa mishahara mikubwa sana mpaka wakati mikataba yao ikiisha hawataki ondoka...kwa nlivyokuelewa mleta mada unasema kitu kikubwa ni kujipanga, nakuliza swalI la kizushi sasa vp bado hapo denmark sehemu ya christiania ipo hahaahah
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SDG
Una uraia wa nchi nyingine,unapenda social life ya watanzania na hapo hapo hapo una waponda watanzania.

Mhhh wee ni mtu wa namna gani?? Tuache watanzania na tanzania yetu,hata hao walio nje tunaowaponda ni watanzania wenzetu na sio raia wa nchi nyingine kama wewe.
 
Sawa mtanzania wa kweli nimekusikia ila kuwaachia Tanzania yenu sitaweza,LOL
 
. father-xmas mimi naheshimu au naona siyo kila mtz aliyeko nje ana matatizo wapo wengine wana good time kutokana na connection za watu walizopata wapo wengine wakienda huko nje wanachemka wwnyewe kwa maana ya mpelampela wa huko hawauwezi.ila ukweli tu kwa nje huko kama utapatia ah utakula maisha bora sana, hata hapa bongo pia kuna wazungu wanakuja fanya kazi na wanapewa mishahara mikubwa sana mpaka wakati mikataba yao ikiisha hawataki ondoka...kwa nlivyokuelewa mleta mada unasema kitu kikubwa ni kujipanga, nakuliza swalI la kizushi sasa vp bado hapo denmark sehemu ya christiania ipo hahaahah

Wazee wengi humu ndani wanaongea coz hawatoka zaidi ya kwenda Nairobi, Dubai na China/hong kong. mimi nimefanikiwa kutembea nchi za ulaya na marekani (US) nitazungumzia US; safari zangu zilikuwa za kikazi maana wengi wataanza kuniuliza kwa nini sikubaki huko, nilibahatika kutembelea miji ifuatayo nikiwa US: Washingtone DC, Atlanta, Chicago, Seattle na Kansas. kote huko niliwakuta wabongo, wakenya, Wanyarwanda and Burundi. nitazungumzia wabongo wenzangu; watanzania walioko huko wanamaisha mazuri kwaani wameweza kuwasaidia ndg zao walioko hapa bongo. nikiwa US niliona watu wanaoitwa homeless waafrica na wazungu, lkn sikubahatika kuona mtanzania homeless. pia nilipata bahati ya kusafiri na mbongo mmoja kutoka washington DC kuja bongo, alikuwa na mizigo mingi ya business yaani viatu, pafyumu, nguo na nk. huyu bwana asili yake ni mbeya, aliniambia duka lake lipo mikocheni kwa Mwl Nyerere, US alienda kupiga shule alipomaliza akaingia mtaani, tulipofika katika kijiji chetu Dar es salaam, alipata shida sana kutoka kwa watu wa TRA,sidhani km uhamiaji walimsumbua kwaani alikuwa na pass ya Marekeni, alitakiwa kulipia dola 100 kuingia nchini, nilisikitika sana kuona Mtanzania mwenzangu akipanga foleni na wageni kukaguliwa na kulipia kuingia nchi yake ya kuzaliwa, watu hawa wanatafuta maisha tu huko lkn akiri zao ziko huku, angalia analeta biashara nyumbani na analipa kodi. Kwa kifupi wapo wengi walio majuu wapo akina alex kajumlo, Husein Masha, Nteze John na nk. Maisha yanaenda. mfano Alex Kajumlo ni msanii wa maziki na kocha mpira na maisha yanaenda.
 
Nimeipenda stori yako mkuu! Na nikiri pia, jana mimi nilileta uzi hapa jf "Ni kweli wabongo wanaoishi ulaya/usa wana maisha bora"

Kuna kitu nimejifunza kutoka kwako kizuri.

Tatizo: Uraia wangu kupotea.....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wazee wengi humu ndani wanaongea coz hawatoka zaidi ya kwenda Nairobi, Dubai na China/hong kong. mimi nimefanikiwa kutembea nchi za ulaya na marekani (US) nitazungumzia US; safari zangu zilikuwa za kikazi maana wengi wataanza kuniuliza kwa nini sikubaki huko, nilibahatika kutembelea miji ifuatayo nikiwa US: Washingtone DC, Atlanta, Chicago, Seattle na Kansas. kote huko niliwakuta wabongo, wakenya, Wanyarwanda and Burundi. nitazungumzia wabongo wenzangu; watanzania walioko huko wanamaisha mazuri kwaani wameweza kuwasaidia ndg zao walioko hapa bongo. nikiwa US niliona watu wanaoitwa homeless waafrica na wazungu, lkn sikubahatika kuona mtanzania homeless. pia nilipata bahati ya kusafiri na mbongo mmoja kutoka washington DC kuja bongo, alikuwa na mizigo mingi ya business yaani viatu, pafyumu, nguo na nk. huyu bwana asili yake ni mbeya, aliniambia duka lake lipo mikocheni kwa Mwl Nyerere, US alienda kupiga shule alipomaliza akaingia mtaani, tulipofika katika kijiji chetu Dar es salaam, alipata shida sana kutoka kwa watu wa TRA,sidhani km uhamiaji walimsumbua kwaani alikuwa na pass ya Marekeni, alitakiwa kulipia dola 100 kuingia nchini, nilisikitika sana kuona Mtanzania mwenzangu akipanga foleni na wageni kukaguliwa na kulipia kuingia nchi yake ya kuzaliwa, watu hawa wanatafuta maisha tu huko lkn akiri zao ziko huku, angalia analeta biashara nyumbani na analipa kodi. Kwa kifupi wapo wengi walio majuu wapo akina alex kajumlo, Husein Masha, Nteze John na nk. Maisha yanaenda. mfano Alex Kajumlo ni msanii wa maziki na kocha mpira na maisha yanaenda.
kweli kabiaa maisha ya nje ni kuyapatia tu kwa maana ni kucheza karata yako vizuri tu na kama ni shida dunia kote lazima unakuta watu wana shida....kuhusu mtz kukataliwa kuwa na dual citizenship ni uhamiajI wanaogopa watakuwa hawana nguvu sana watakosa deals ukweli ndiyo huo...
 
Abroad uwe umeenda kwa mpango maalum na njia zinazojulikana. Sehemu nyingi maisha yapo ghali sana hasa kwenye accommodation. Unaweza kupata kibarua pesa yote ukawa unalipa bills. Ukiwa na umeenda kihalali unaweza kupataa msaada kutoka ustawi wa jamiii kuweza kujikimu. Mlioko nje zungumzeni ukweli abroad maisha sio rahisi kama unavyoweza kudhani. Ni kweli social services kama maji na usafiri viko poa ukilinganisha na hapa nyumbani. Miji ni misafi na security sio kama hapa kwetu
 
mkuu mimi naona hapo ndiyo unapata connection sahihi za watu ambao watakusaidia kufanya maisha yako sehemu fulani yanakuwa afadhali, maisha kote siyo marahisi kabisa.....kikubwa kujipanga tu uishi sehemu kihalali ili na ww upate huduma wanazopewa wengine huko....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wazee wengi humu ndani wanaongea coz hawatoka zaidi ya kwenda Nairobi, Dubai na China/hong kong. mimi nimefanikiwa kutembea nchi za ulaya na marekani (US) nitazungumzia US; safari zangu zilikuwa za kikazi maana wengi wataanza kuniuliza kwa nini sikubaki huko, nilibahatika kutembelea miji ifuatayo nikiwa US: Washingtone DC, Atlanta, Chicago, Seattle na Kansas. kote huko niliwakuta wabongo, wakenya, Wanyarwanda and Burundi. nitazungumzia wabongo wenzangu; watanzania walioko huko wanamaisha mazuri kwaani wameweza kuwasaidia ndg zao walioko hapa bongo. nikiwa US niliona watu wanaoitwa homeless waafrica na wazungu, lkn sikubahatika kuona mtanzania homeless. pia nilipata bahati ya kusafiri na mbongo mmoja kutoka washington DC kuja bongo, alikuwa na mizigo mingi ya business yaani viatu, pafyumu, nguo na nk. huyu bwana asili yake ni mbeya, aliniambia duka lake lipo mikocheni kwa Mwl Nyerere, US alienda kupiga shule alipomaliza akaingia mtaani, tulipofika katika kijiji chetu Dar es salaam, alipata shida sana kutoka kwa watu wa TRA,sidhani km uhamiaji walimsumbua kwaani alikuwa na pass ya Marekeni, alitakiwa kulipia dola 100 kuingia nchini, nilisikitika sana kuona Mtanzania mwenzangu akipanga foleni na wageni kukaguliwa na kulipia kuingia nchi yake ya kuzaliwa, watu hawa wanatafuta maisha tu huko lkn akiri zao ziko huku, angalia analeta biashara nyumbani na analipa kodi. Kwa kifupi wapo wengi walio majuu wapo akina alex kajumlo, Husein Masha, Nteze John na nk. Maisha yanaenda. mfano Alex Kajumlo ni msanii wa maziki na kocha mpira na maisha yanaenda.

We ukienda kwenye semina kikazi unata kujifanya una experience. Tunazungumzia walioishi au wanaoishi abroad sio semina ya siku 2
 
Back
Top Bottom