Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,818
- 10,864
Bahati ni mazingira ? Kwa nini bahati isiwe ni spirit ambayo haionekani na inakuongeza kupata fanikio flani ambalo linaweza likawa nzuri au baya. Sababu kuna watu wanaweza kuishi mazingira mzuri kama hayo lakini akaishia kuwa mlevi ,mvuta bangi na asipate mafanikio yoyote.Bahati ni "mazingira" --- familia yenye kipato, upendo home, shule bora, jamii yenye mwamko, walimu bora, vifaa shuleni, taifa lililotulia katika amani na usalama, uhakika wa ajira ama kujiajiri huko mbeleni, malezi mazuri, afya, na kadhilika.
Sent using Jamii Forums mobile app