Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

Watu wengi wanachanganya sana utajiri na baraka za Mungu ambaye mimi namjua na wao(wanaochanganya) wanadai mtu anayebarikiwa ana nyumba kubwa, gari zuri, miradi na mapesa mengi...yaani hayo ndio mafaniko ya maisha.
ila ukweli ni kwamba kufanikiwa kimaisha kunahusisha mengi zaidi ya ivyo yaani kuwa na utulivu wa fikra, hisia, furaha na kiasi yaani kurizika na mahitaji ya msingi ndipo huwa tunasali kwa mkate wa siku hiyo tu na siyo eti kusali kuwa na mapesa kabambe hiyo ni sifa ya ubinafsi na pupa(sifa za shetani) ila haimanishi kuwa pesa ni mbaya lakini mtazamo kuelekaa pesa ni wa muhimu hata zaidi
Hapo mwishoni uliposema pesa ni mbaya, umeharibu kabisa.
 
One thing ambayo unamiss ni kwamba thinking is even harder kuliko physical work sometimes, ndiyo maana wachache sana wanaattempt kutafuta mafanikio kupitia njia hiyo nzuri. The use of mind for thinking and processing and analyzing is as exhaustive as (or even more than) physical labor.
sidhani kama nimesema ni rahisi kuliko kufanya kazi nzito kwa mwili unaweza soma kihitimisho pale chini
 
Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni akili ukiwa na akili we umetoboa lakini wa watu tumetumia hizo vitu na bado tuna angukia pua wakaja watu wa motivation na swaga zao tukaishia kutapeliwa fedha zetu bure kumbe ss ndo tulikuwa fursa inauma sana mjomba na shangazi

Mimi kama saile thinker licha ya kuwa na umri mdogo nikaamua kufanya research maana pia natamani mafanikio katika research yangu nimegundua na kuja formula yangu iliyo kwisha kuzaa matunda kwa wengi nilio watonya formula ya kufanikiwa ni
A
1.spritual power(nguvu ya kiroho)
2.intellect (akili)
3.hard work (juhudi)
Na sio
B
1.intellect
2.Hard work
3.spritual

C
Wala et
1.hard work
2.sprtual
3.intellect

Kama vilivyo pangwa apo kwenye kundi A ndivyo 1 ad 3 ndivyo vipewe kipau mbele kuringa na nafasi yake

Sasa tunafeli wapi watu na deal na kimoja wapo tu badala ya vyote kwa pamoja mfano mtu ana komaa na juhudi au akili au spritul tu yaani kusali sana au kuroga sana tu badala ya. vyote kwa pamoja

Hapo kudeal na juhudi ni rahisi inshu ni kudeal na spritual then akili apa ndio wabongo na wengi duniani tunachemka

Ila nakuhakikishia ukiweza kudeal na vyote hapo kila usahihi hakika unatoboa na hiyo ndio life formula

Asante

Uliza chochote npo kukujibu

Saile thinker
Nakubaliana na wewe hapo,A,ila ungefafanua Spiritual,isiwe kwenda kwa mwamposa,kakobe,au kwa Gwajiboy kukesha,ni zaidi ya hapo,hii inamaanisha kuwa na uhusiano na The "higher being"Muumba.maana watu Kama Diamond,au Mackzuckerberg,Dangote,Au Bill Gate,Au Jack Ma,sio "walokole"au watu wa Swala tano,ila wanaelewa kanuni za Mungu Kama Higher spiritual being.
 
Kuna jamaa ana roho mbaya yaani kanisan haendi Mambo ya Mungu hajui, Hela zake sio za kichawi.
Maisha yake yapo vzr sana, so how comes.!?
Spritual power sio kuwa na roho nzuri wala nn kwa mfano mfalme Sulemani alikuwa powerful spritual lakn alkua Malaya wa kutupa so kuwa strong spritual haiusian na kutenda mema but believe
 
NNinaamini % kubwa hatuelewi maana ya JIUHUDI( Hard work)

Naomba nifafanue kidogo.

1 Intellect Ni ule uwezo wa ku-imagine kitu au jambo unalotaka kufanikisha, halafu unalichambua, unali-analyze HALAFU UNAKUJA NA STRATEGIES (To be implemented daily)

2 HARD WORKING Ni ile nidhamu ya KU-IMPLIMENT KILA SIKU ZILE STRATEGIES ulizoseti kule kwenye INTELLECT (afe kipa afe beki lazima kila siku utimize strategies).


HARD WORKING sio kujituma tu kufanya kazi.

MY DEFINITION OF HARD WORKING

"IS THE DAILY IMPLIMENTATION OF THE TRATEGIES YOU SET"
Point taken
 
Spritual power sio kuwa na roho nzuri wala nn kwa mfano mfalme Sulemani alikuwa powerful spritual lakn alkua Malaya wa kutupa so kuwa strong spritual haiusian na kutenda mema but believe
Are you crazy or something!? Essence of spiritual power ni belief! If you believe in the true God and you fully align ypourself to Him, there you have spiritual power. Ukiamini katika Iblisi unapata spiritual power of darkness. King Solomon was divinely endowed with it plus heavenly wisdom because he was connected to God. And, most importantly, he was not being blessed for his own sake, regardless of his stupid decisions. God was actually blessing His Kingdom, na wala siyo the blind and insane King Solomon who had deliberately sold his soul so cheaply by departing from His true God.
 
Unaonekana mzito Sana. Unachopaswa kuelewa Ni kwamba Mimi siongelei HARD WORKING in general, naongelea (naamini katika) HARD WORKING inayoleta matokeo mazuri ambayo Ni DAILY IMPLIMENTATION OF PLANNED STRATEGIES..

Na sio KITUMIA NYUVU uonekana unafanya kazi kwa bidii kila siku
Unachanganya mambo! Hard work ni bidii. Na bidii haipimwi kwa stategies. Mtu anaweza akachimba na kufukia shimo kutwa kucha, bado akaonekana mwenye bidii! Lakini hapo unazungumzia efficiency. Kubali umekosea, sawa? Hutatozwa faini.
 
Kuna jamaa ana roho mbaya yaani kanisan haendi Mambo ya Mungu hajui, Hela zake sio za kichawi.
Maisha yake yapo vzr sana, so how comes.!?
Anakuwa amefanikiwa duniani, lakini kiroho hamna kitu. Maana yake, kimsingi, hana mafanikio yoyote kwa sababu hana pa kutokea. Pamoja na kwamba juhudi zake zimemtoa, hana mafanikio beyond this life. Simply put, yeye ni failure huenda kuliko wale tunaodhani ni failures!
 
Nakubaliana na wewe hapo,A,ila ungefafanua Spiritual,isiwe kwenda kwa mwamposa,kakobe,au kwa Gwajiboy kukesha,ni zaidi ya hapo,hii inamaanisha kuwa na uhusiano na The "higher being"Muumba.maana watu Kama Diamond,au Mackzuckerberg,Dangote,Au Bill Gate,Au Jack Ma,sio "walokole"au watu wa Swala tano,ila wanaelewa kanuni za Mungu Kama Higher spiritual being.
Jihadhari sana na mali za mabilionea wengi maana hutokana na kafara au biashara haramu ya "professional mass destruction"! Mtu anatengeneza ugonjwa wa dunia, mathalani, Kovidi-19 au Ebola au SARS na baadaye anawauzia kinga yake --- that is wickedness & satanism!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom