Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

Bahati ni "mazingira" --- familia yenye kipato, upendo home, shule bora, jamii yenye mwamko, walimu bora, vifaa shuleni, taifa lililotulia katika amani na usalama, uhakika wa ajira ama kujiajiri huko mbeleni, malezi mazuri, afya, na kadhilika.
Bahati ni mazingira ? Kwa nini bahati isiwe ni spirit ambayo haionekani na inakuongeza kupata fanikio flani ambalo linaweza likawa nzuri au baya. Sababu kuna watu wanaweza kuishi mazingira mzuri kama hayo lakini akaishia kuwa mlevi ,mvuta bangi na asipate mafanikio yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati ni mazingira ? Kwa nini bahati isiwe ni spirit ambayo haionekani na inakuongeza kupata fanikio flani ambalo linaweza likawa nzuri au baya. Sababu kuna watu wanaweza kulia mazingira mzuri kama hayo lakini akaishia kuwa mlevi ,mvuta bangi na asipate mafanikio yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongea lugha moja kabisa, mimi na wewe. Tambua tu kwamba "good spirit" is just one of those "working environments" za success.
 
Tunaongea lugha moja kabisa, mimi na wewe. Tambua tu kwamba "good spirit" is just one of those "working environments" za success.
Mkuu tunashindwa kuelewa msimamo wako ni up maana naona unaandika andika tu vtu havieleweki eb weka hoja smart na kwa logic tukuelew jieleze vzri
 
Hard work siyo tu "implementation of strategies," bali kuweka great deal of effort ama endurance kwenye kile unachofanya, regardless of strategy. Mtu anaweza kuwa na zero strategy na bado akawa unparalleled hard worker.
I disagree with you.

Hao unaosema wanao-work hard bila strategies ndo wanaangukia kwenye kundi la watu wanaoonekana kufanya kazi kwa bidii lakini mafanikio yao ya kawaida Sana.

Wakulima wa kawaida( jembe la mkono)
Machinga n.k

Wanatumia nyuvu nyingi lakini maisha Yale Yale miaka nenda rudi.

Lakini laiti wangeweka strategies, mfano, (machinga)

"NAHITAJI MILIONI 3 ILI NIACHANE NA HII KAZI YA KUTEMBEZA ILI NIFUNGUE DUKA LA MGUO. HIYO MILIONI 3 IPATIKANE NDANI YA MIAKA 3. KWAHIYO, KWA MWAKA INATAKIWA NIPATE MILIONI 1. KILA MWEZI NIPATE TSH .... KILA WIKI NIPATE TSH...., NA KWA KILA SIKU NITUNZE TSH .....(afe kipa afe beki, lazima nitunze tsh ...)
Nahitaji

Huyu machinga ukija kumwangalia ndani ya miaka 7 lazima awe tofauti na wale wengine wanaofanya kazi ilimradi apate hela bila target.
 
Wewe unajichanganya mwenyewe. Ulidefain "hard work," lakini sasa unazungumzia vitu zingine kabisa. Hard work is never measured by strategies, bali kwa endurace ama great effort.
 
Sasa nimegundua tatizo lako kama hujalewa bc acha mara moja matumizi mabaya ya kichwa sasa kama hiyo ndo maana ya bahati na sisi watoto wa makapuku tulofanikiwa tusemeje aseeee tumia kichwa au kaa tu kmya ucje onekana hayawan

Sisi tupo mkuu karibu tuchanganue mambo kwa kina
hahahahaa shukrani natamani kuandika ila naona (naogopa) kana kwamba nitachanganya watu ulicho andika kinatosha hongera
 
When focus & concentration become one's unwavering religion, success becomes inevitable.
Focus and concentration alone will never yield results (change)

"WHEN IT COMES TO SUCCESS, There is nothing POWERFUL IN THIS WORLD THAN DAILY CTIONS DIRECTED TO A SINGLE/ FEW PLANNED STRATEGIES. IT SEEMS THAT, EVEN WHAT WE CALL GOD IS OBJECTIVE TO THIS SECRET"

"DAILY ACTIONS DIRECTET TO A SINGLE / FEW PLANNED STRATEGIES, THEY HARNESS, CONCENTRATE AND BRING MENTAL AND GOD POWERS TOGETHER TO BE ONE, IT IS LIKE HOW NEGATIVE AND POSITIVE CHARGES COMPLETE A CIRCUIT."
 
kwa kifupi naona kwamba kuwa na mafanikio ni uwepo uwezo mzuri wa kufikiria yaani kuchambua mambo maana akili kila mmoja anayo sasa watu wengi tunadhani maisha yanahitaji kufanya kazi kwa nguvu sana (physically) lakini kwangu sidhani

ukiweza kuwa na amani ya akili na uwezo wa kufikiria vizuri ndio itahusisha mipango pamoja na mengine nadhani kufanikiwa haito hitaji msukumi mkubwa kama mtu anae chosha mwili

kumbuka akili inavyo jaribu kufikira na kuongea yenyewe (mind chattering) huwa kuna maneno unajinenea jaribu sana yasiwe na matokeo mabaya maana kuna nguvu ina sikiliza ndani kwako ukisema mema litatokea na kuweka juhudi kwenye jambo bila kusahau muda wa kulifanikisha maana mafanikio na malengo lazima yawe ndani ya muda fulani ila ukiona mtu ambae anadhani mafanikio atayapata ndani ya wakati wowote sidhani yaani hauna mwisho (time limit)

yanakuwa sio mafanikio tena unayo tafuta

ila dunia ya sasa hata Tanzania kuwezesha mkono uwende kinywani kuwa mfikiriaji lazima akili ichoke lakini ndio kuna matokeo makubwa
 
Yote uliyoandika yote hapo hayana maana mafanikio ni bahati nasibu! Isipotokea kwako itatokea kwa mwingine.

Ingawa mafanikio yana tafsri pana,na kila moja anaweza kukuuliza una manisha MTU kufanikiwa katika nyanja IPI?? lakini site tunakubaliano haijalishi ni kwenye nyanja gani mwisho wa Siku yatatafsiriwa katika fedha na furaha.

Hivyo basi katika uchumi njia kuu za MTU kuwa tajiri ni 3 ambazo ni bahati,Jitihada na akili.katika hizo bahati inachangia 90%.

Chukulia mfano mtu aliyezaliwa katika familia tajiri,sio rahisi MTU huyu kuwa masikini,hivyo uwezekano wa yeye kufanikiwa ni 98% kuliko yule aliyezaliwa katika familia masikini.

Angalia mfano mwingine wa Magufuli vs Lissu katika mchanganuo ulioutoa hapo juu lissu anamzidi kila kitu magufuli,akili-jitihada-na kiroho but ukweli usiopingika kimafanikio Magufuli kamzidi Lissu.
Bahati inatengenezwa
 
Bahati inatengenezwa
Kabisa mkuu. Inatakiwa miguvu (ambayo wengi ndo wanaita juhudi/hard working) itumike kutekeleza strategies ulizobuni na kuziplan (akili)

Kwa kifupi, AKILI INATUMIKA KUFIKIRIA KU-IMAGINE), KUTAFAKARI, KUCHAMBUA (analyze) na KUPANGA MIPANGO (Plan strategies on daily basis) halafu MIGUVU INATUMIKA KUTEKELEZA TU
 
Hakuna formula ya mafanikio "cheza na ulimwengu wa roho " hata kama hujui kusoma utajaza pesa kwenye gunia. Mchezaji anavyoplani namna ya kufunga bao na maisha ndivyo yalivyo. Ila "kuthubutu "ni kaformula ka kuzingatia.

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unajichanganya mwenyewe. Ulidefain "hard work," lakini sasa unazungumzia vitu zingine kabisa. Hard work is never measured by strategies, bali kwa endurace ama great effort.

Unaonekana mzito Sana. Unachopaswa kuelewa Ni kwamba Mimi siongelei HARD WORKING in general, naongelea (naamini katika) HARD WORKING inayoleta matokeo mazuri ambayo Ni DAILY IMPLIMENTATION OF PLANNED STRATEGIES..

Na sio KITUMIA NYUVU uonekana unafanya kazi kwa bidii kila siku
 
Andaa maswali yako yote unayotaka kujua kuhusu spiritual things. Mambo ya Soul na Spirit, Intuition, Consciousness etc lolote lile unalotaka fahamu. Kisha kakoment kwenye uzi huo. Nitajitahidi nikuandikie kwa mapana uelewe mambo haya ya spiritual awakening
Ungeweka vitabu tuweze kusoma mkuu
 
kwa kifupi naona kwamba kuwa na mafanikio ni uwepo uwezo mzuri wa kufikiria yaani kuchambua mambo maana akili kila mmoja anayo sasa watu wengi tunadhani maisha yanahitaji kufanya kazi kwa nguvu sana (physically) lakini kwangu sidhani

ukiweza kuwa na amani ya akili na uwezo wa kufikiria vizuri ndio itahusisha mipango pamoja na mengine nadhani kufanikiwa haito hitaji msukumi mkubwa kama mtu anae chosha mwili

kumbuka akili inavyo jaribu kufikira na kuongea yenyewe (mind chattering) huwa kuna maneno unajinenea jaribu sana yasiwe na matokeo mabaya maana kuna nguvu ina sikiliza ndani kwako ukisema mema litatokea na kuweka juhudi kwenye jambo bila kusahau muda wa kulifanikisha maana mafanikio na malengo lazima yawe ndani ya muda fulani ila ukiona mtu ambae anadhani mafanikio atayapata ndani ya wakati wowote sidhani yaani hauna mwisho (time limit)

yanakuwa sio mafanikio tena unayo tafuta

ila dunia ya sasa hata Tanzania kuwezesha mkono uwende kinywani kuwa mfikiriaji lazima akili ichoke lakini ndio kuna matokeo makubwa
One thing ambayo unamiss ni kwamba thinking is even harder kuliko physical work sometimes, ndiyo maana wachache sana wanaattempt kutafuta mafanikio kupitia njia hiyo nzuri. The use of mind for thinking and processing and analyzing is as exhaustive as (or even more than) physical labor.
 
Focus and concentration alone will never yield results (change)

"WHEN IT COMES TO SUCCESS, There is nothing POWERFUL IN THIS WORLD THAN DAILY CTIONS DIRECTED TO A SINGLE/ FEW PLANNED STRATEGIES. IT SEEMS THAT, EVEN WHAT WE CALL GOD IS OBJECTIVE TO THIS SECRET"

"DAILY ACTIONS DIRECTET TO A SINGLE / FEW PLANNED STRATEGIES, THEY HARNESS, CONCENTRATE AND BRING MENTAL AND GOD POWERS TOGETHER TO BE ONE, IT IS LIKE HOW NEGATIVE AND POSITIVE CHARGES COMPLETE A CIRCUIT."
Uko kwenye mduara uleule. By "focus" ama "concentration," haina maana ya meditation. You are only confusing yourself here. It rather means SINGLE-MINDEDNESS OF PURPOSE.
 
Watu wengi wanachanganya sana utajiri na baraka za Mungu ambaye mimi namjua na wao(wanaochanganya) wanadai mtu anayebarikiwa ana nyumba kubwa, gari zuri, miradi na mapesa mengi...yaani hayo ndio mafaniko ya maisha.
ila ukweli ni kwamba kufanikiwa kimaisha kunahusisha mengi zaidi ya ivyo yaani kuwa na utulivu wa fikra, hisia, furaha na kiasi yaani kurizika na mahitaji ya msingi sababu ni kuwa tamaa ya pesa haitoshelezeki ndipo huwa tunasali kwa mkate wa siku hiyo tu na siyo eti kusali kuwa na mapesa kabambe hiyo ni sifa ya ubinafsi na pupa(sifa za shetani) ila haimanishi kuwa pesa ni mbaya lakini mtazamo kuelekaa pesa ni wa muhimu hata zaidi
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom