Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

Kama hayana formula basi acha kufikiri acha work alaf uwe weak spritual my friend ooooh
Mbona unashindwa kucontextualise maana ya ‘maisha hayana formula’? Unaachaje kufikiri kama mtu si kichaa? Kwani kila mtu ana kazi? Mimi sina hata dini..., so whats ur point? Hakuna formula comsistent yenye kuleta matokea consistent, wapo wanaolewa na hawapati watoto, wapo hata mchumba wa kudumu hawana ila wanapata mimba kila mwaka😂, no formula!
 
Nothing written here I'm not talking about human disorder or religion think in deeply about what I say
 
NNinaamini % kubwa hatuelewi maana ya JIUHUDI( Hard work)

Naomba nifafanue kidogo.

1 Intellect Ni ule uwezo wa ku-imagine kitu au jambo unalotaka kufanikisha, halafu unalichambua, unali-analyze HALAFU UNAKUJA NA STRATEGIES (To be implemented daily)

2 HARD WORKING Ni ile nidhamu ya KU-IMPLIMENT KILA SIKU ZILE STRATEGIES ulizoseti kule kwenye INTELLECT (afe kipa afe beki lazima kila siku utimize strategies).

HARD WORKING sio kujituma tu kufanya kazi.

MY DEFINITION OF HARD WORKING

"IS THE DAILY IMPLIMENTATION OF THE TRATEGIES YOU SET"
well said there is no controversy in this
 
Hayo yote kama hauna pesa ni batili tu, hakuna furaha, hekima, uhodari katika umaskini pesa ndio suluhisho ya hayo yooote, cha mwisho ni connection kama huna hata uwe na spiritual kiasi gani but mwenye connection atapata nafasi, maisha haya hayana formula naweza sema inatokea tu suddenly bila hata mategemeo.
 
Connection +bahati. Kwann kunawatu wanalipwa mishahara minono zaid ya milion 3 kwa mwez na wamekua wakijitaid kufuata yote uliyoyataja ila bado hata chumba kimoja hawana hata balance hawana unajua kwa nn? Unaweza ukawa unatafuta pesa kwa juhudi na maarifa ila una mkos kila siku ww ndo unafiwa unauguza kila ukifanya hasara imeangalia ww je utaweza kutoboa? Ila kunawengine lack people yy ana mshahara laki mbili au tatu ila tangu january mpaka December hajawai kuugua wala kuuguza hana vitu vingi vinavyo chukua pesa yake huyo ndani ya mwaka kwa laki tatu atafanya mengi. Hivo maisha hayana formular kama una bahati ukaunganisha connection utatoboa mapemaaaaa.
 
Unamikosi so it means your spritual weakened ova
 
Hayo yote kama hauna pesa ni batili tu, hakuna furaha, hekima, uhodari katika umaskini pesa ndio suluhisho ya hayo yooote, cha mwisho ni connection kama huna hata uwe na spiritual kiasi gani but mwenye connection atapata nafasi, maisha haya hayana formula naweza sema inatokea tu suddenl

Hayo yote kama hauna pesa ni batili tu, hakuna furaha, hekima, uhodari katika umaskini pesa ndio suluhisho ya hayo yooote, cha mwisho ni connection kama huna hata uwe na spiritual kiasi gani but mwenye connection atapata nafasi, maisha haya hayana formula naweza sema inatokea tu suddenly bila hata mategemeo.
Kwa sababu unaamini ukipata ajira ndo umetoboa basi unaona maisha ni connection lakn tunamaisha pia nje ya ajira ukiwa huna nyota so hata haukubaliki kwa watu nani atakupa connection wakt hakkbal mkuu kngne wabongo ni vilaza sana mnashindwa kuelewa maana ya spritual power nyie mnahisi ni dini sio dini jaman kuweni wadadavuzi wa mambo kwa kina eeeh
 
Zunguka tu lakini siri ya mafanikio ya mtu no hii
1. Luck (Bahati)
2. Talent.(Kipaji)
3. Intellect (Akili)

1. BAHATI
Hapa ndipo mafanikio ya mtu yalipo ikiwa amepata viwili vinavyofuata. Hufanikiwi lolote kama huna bahati. Wenye bahati ndio hao utakuta mara kalima viazi kaokota dhahabu, bila sababu kapendwa na Mengi. Mmemaliza wote chuo GPA mbovu ila ombi la kwanza kaitwa kazini wewe GPA ya 5 unavunja mawe.

2. KIPAJI.
Ukiwa na kipaji na ukapata bahati basi lazima utusue. Kila mtu yuko talented kwa jambo fulani, kuna vipaji ambako viko wazi na vingine ni vigumu kuvitambua, yahitaji upitie mazingira fulani ili watu wavitambue.

3. AKILI
Vile vile yakupaswa kuwa na intellect ili utuboe katika rank za mafanikio hii itasimama namba tatu, ukiwa na kipaji hupaswi kuwa na akili nyingi ili utoboe.
 
Bahati nn na inatokana na nn kwann so kwa kla mtu how it work nijbu
 
Kwa nini uniulizi?
Kwa nini wote hatuko the same talented and same intellect?

Iko hivi:-
Bahati ni nguvu ya uwezo wa kufanikiwa au kushindwa ambayo huja kwa nafasi (iko nje ya utashi wa binadamu. )
 
Kama iko nje ya utashi wa binadamu it means hiyo tyar ni spritual au sio mjumbe
 
Kwa sababu unaamini ukipata ajira ndo umetoboa basi unaona maisha ni connection lakn tunamaisha pia nje ya ajira ukiwa huna nyota so hata haukubaliki kwa watu nani atakupa connection wakt hakkbal mkuu kngne wabongo ni vilaza sana mnashindwa kuelewa maana ya spritual power nyie mnahisi ni dini sio dini jaman kuweni wadadavuzi wa mambo kwa kina eeeh
Hahah sasa mkuu hio spiritual power ndio imakufanya utukane watu vilaza? Imekusaidia nini? Nimeanza kufatilia hayo mambo tokea nasoma huko kuanzia meditation ambayo mpka sasahivi nafanya maramoja moja, astral projection, mambo ya ku open third year sijui Dejavu na exposure kubwa ya hayo mambo maana nimefatilia, mwisho wa yote nimeconclude mwenyewe kwamba pesa ndio suluhisho ya mambo yoote.
 
Hahah sasa mkuu hio spiritual power ndio imakufanya utukane watu vilaza? Imekusaidia nini? Nimeanza kufatilia hayo mambo tokea nasoma huko kuanzia meditation ambayo mpka sasahivi nafanya maramoja moja, astral projection, mambo ya ku open third year sijui Dejavu na exposure kubwa ya hayo mambo maana nimefatilia, mwisho wa yote nimeconclude mwenyewe kwamba pesa ndio suluhisho ya mambo yoote.u.
Unaamini nn kuhusu nyota
 
Kwa sababu unaamini ukipata ajira ndo umetoboa basi unaona maisha ni connection lakn tunamaisha pia nje ya ajira ukiwa huna nyota so hata haukubaliki kwa watu nani atakupa connection wakt hakkbal mkuu kngne wabongo ni vilaza sana mnashindwa kuelewa maana ya spritual power nyie mnahisi ni dini sio dini jaman kuweni wadadavuzi wa mambo kwa kina eeeh
Ni kweli mie MTU akiniulizaga dini yangu namwambiaga am not religionist but am spiritual. Sijui kwa kiswahili unasemaje mana inaniwiaga vigumu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom