Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,075
- 4,300
- Thread starter
- #21
Iyo
Iyo unayoita ww bahati ndo spritual yenyewe sasa we fight alaf your weak spritual uone vile utadunda komaaaYote uliyoandika yote hapo hayana maana mafanikio ni bahati nasibu! Isipotokea kwako itatokea kwa mwingine.
Ingawa mafanikio yana tafsri pana,na kila moja anaweza kukuuliza una manisha MTU kufanikiwa katika nyanja IPI?? lakini site tunakubaliano haijalishi ni kwenye nyanja gani mwisho wa Siku yatatafsiriwa katika fedha na furaha.
Hivyo basi katika uchumi njia kuu za MTU kuwa tajiri ni 3 ambazo ni bahati,Jitihada na akili.katika hizo bahati inachangia 90%.
Chukulia mfano mtu aliyezaliwa katika familia tajiri,sio rahisi MTU huyu kuwa masikini,hivyo uwezekano wa yeye kufanikiwa ni 98% kuliko yule aliyezaliwa katika familia masikini.
Angalia mfano mwingine wa Magufuli vs Lissu katika mchanganuo ulioutoa hapo juu lissu anamzidi kila kitu magufuli,akili-jitihada-na kiroho but ukweli usiopingika kimafanikio Magufuli kamzidi Lissu.