Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,012
- 3,683
Firauni uko kazini kutaka kuifanya Tanzania iwe ROMA,hii ni nchi isiyona dini ila raia ndiyo wenye dini kama ulivyo wewe mpaka unajikuta unatamani TAIFA liwe KANISA.
Tunataka Tanzania ambayo anepewa madaraka hafahamiki ametoka familia gani,ni rafiki wa na nani,kabila gani wala wa dini gani,bali ana elimu gani kuhisiana na ajira yake.
Ila wewe mbuzi unakuja kutoa visababu vidogo kama ilivyo akili yako,hatujawahi kusema dini ziwe na mizania kwenye ajira,na hatujali idadi gani iko ya dini gani mahala gani.
Usitujaze udini NGIRI we.