UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF
Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.
Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.
Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.
TAHADHARI
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.
Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.
Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;
Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.
Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.
Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.
Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.
Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.
Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.
UBADHIRIFU
Hapa ndipo penye uvundo wa karne.
Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.
Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.
Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.
Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!
Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!
Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.
KUSHUKA KWA UFANISI
Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.
Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.
Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.
Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.
KUONGEZEKA KWA GHARAMA
Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.
Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.
RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

- Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.
- Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo
- Udini
- Ubadhirifu
- Kushuka kwa ufanisi
- Kuongeza gharama za uendeshaji
Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.
Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.
Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;
- Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
- Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.
Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.
Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.
Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.
Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.
Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.
- Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.
UBADHIRIFU
Hapa ndipo penye uvundo wa karne.
Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.
Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.
Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.
Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!
Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!
Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.
KUSHUKA KWA UFANISI
Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.
Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.
Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.
Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.
KUONGEZEKA KWA GHARAMA
Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.
Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.
RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA
- Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.
- Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.