Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Kwa posti hii leo umenithibitishia uwezo wako wa kufikiri hauvuki mipaka ya kimaonekano na kimapokea. Eti na wewe unajiita mwanasiasa..shame on you
 
Ha! Ha! Ha!

I know myself.....

I am away from egocentric. .....

Basi sawa ilikuwa ni fikra tu si lazima ufuate endelea hapo ulipo it is very okay son
Dont you ever call me son little man.
Cant you see Big Daddy just make you laugh for your dogmas?
 
Hahaha uzuri ni kwamba huwa tunafundishwa amani na upendo na jinsi ya kuishi na makafir. So tukana utakavyo dunia ya sasa hakuna tusi jipya hata moja. Kwahiyo mdomo wako ukiweza tumia hata KIANTENA (Kiss Me) cha mama yako ili usikike zaidi.
Hahahahaha
 
Naona Ben Saanane naye anaendorse vitu visivyo na ushahidi, eti anaona ni kweli kwa asilimia kubwa katika bandiko la mleta mada.
 
Dont you ever call me son little man.
Cant you see Big Daddy just make you laugh for your dogmas?


That itself its a pure dogma by the way did u know that dogma cripples self esteem, ability to motivate oneself and self motivations?......

I am done Sir!

Ur majesty emperor Sir!

Call me names I won't Trimble
 
That itself its a pure dogma by the way did u know that dogma cripples self esteem, ability to motivate oneself and self motivations?......

I am done Sir!

Ur majesty emperor Sir!

Call me names I won't Trimble
Thats more like it.
Good boy.
 
Tatizo muinjilist wewe huna akili.

Swali ninalo kuuliza mimi ni simple tuh.

Sisi sawa hatujasoma na huko serikalin weengi karibia asilimia 97 ni nyinyi.

Sasa kwa miaka yoote hiyo mmelifanyia nin taifa hili mbona mmezid kulitia umaskin tuh kwa wizi na ufisadi?
Tunakwamishwa na majipu ya waislam.. we mikoa ya waislam kazi wanayojua ni kunywa gahawa we unazani umasikini utaondoka kwa kunywa gahawa na kucheza bao??? waislamu ni jipu.. bado hamuelewi tu..
 
I ain't bite pal. Just spreading the truth thats all.


Sure...
I click but it gives me hard time to find people holding grudges........

But people get this opportunity in the government matters because the system isn't well organized.....


I hope Dr JPM will resolve the situation,
We all Tanzanians are one,

religion has no room in our own development..

We too poor to fight over religion matters Mister..


That my take all through
 
Sasa kunywa kahawa kwetu ndiko kunakowafanya nyinyi hiv sasa mtumbuliwe majipu na magufuli?

Kwa kias kikubwa nyinyi wainjilist ndiyo mmeifanya hii nchi iwe maskin

Kwa sababu kikubwa mnachokijua nyinyi ni wizi na ufisadi tuh


Sasa huo usomi wenu mnaojinasibu nao unawasaidia kwa lipi?

Hiv umeshatizama list ya majipu hadi sasa baina ya waislam na wagalatia ipi ni kubwa?

Hiyo ni proof kuwa wez na vibaka nchi hii ni nyinyi.

Na bado magufuli atawakamua sana
Tunakwamishwa na majipu ya waislam.. we mikoa ya waislam kazi wanayojua ni kunywa gahawa we unazani umasikini utaondoka kwa kunywa gahawa na kucheza bao??? waislamu ni jipu.. bado hamuelewi tu..
 
Sasa kunywa kahawa kwetu ndiko kunakowafanya nyinyi hiv sasa mtumbuliwe majipu na magufuli?

Kwa kias kikubwa nyinyi wainjilist ndiyo mmeifanya hii nchi iwe maskin

Kwa sababu kikubwa mnachokijua nyinyi ni wizi na ufisadi tuh


Sasa huo usomi wenu mnaojinasibu nao unawasaidia kwa lipi?

Hiv umeshatizama list ya majipu hadi sasa baina ya waislam na wagalatia ipi ni kubwa?

Hiyo ni proof kuwa wez na vibaka nchi hii ni nyinyi.

Na bado magufuli atawakamua sana
Sisi hatulalamiki kama nyie though kwa maoni yako waimba kwaya ndo tumetumbuliwa wengi ila hujaonesha ushahidi wowote wa idadi. Lakini pia nakukatalia kwamba eti sisi waimba kwaya ndo tumefanya nchi masikini kwa sababu huoneshi ni kwa kiasi gani tumechangia sisi... Akati kwanza kwenye historia ya Tanzania enzi za watawala wa kiislam Mwinyi na JK ndio hasa waliolitumbua taifa letu kwa ufisadi.
 
Trump ameshakuambia ataweka kuta kuzunguka marekani. Uingereza nayo inataka kujiondoa umoja wa ulaya.

Sasa hivi ninapoandika haya nipo kwenye kikao cha wiki na staff ambao watatu wapo London, wawili wapo Florida, mmoja yupo Pretoria, mmoja yupo Freetown, watatu wapo Kuala lumpar, na wengine wanne wapo kwenye mji hata sijui kuuandika ila ni Slovania huko. Sasa huo Ukuta wa Trump unawezaje kuzuia hii style ya maisha. Ukuta ungefanya kazi miaka ya 1930 huko.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Na wee unashangilia ukabila? Kwani wapemba sio watu kuajiriwa NSSF? Hayo ni mambo ya ccm kuwanyima wapemba Urais visiwani. You don't need a high school diploma kujua tuhuma hizi ni chuki
 
Nakumbuka mimi last month kuna mods walinipiga ban hivyo hivyo eti kisa nimetumia neno kafir kumwambia member mwenzangu..

Nikastaajabu sana...kafir siyo tusi wala siyo fedheha

Kafir ni yule mtu aiseamin uwepo wa mungu mmoja na asieamin kuwa muhammad may peace be upon him is his messenger huyo ni kafir...

So the word kafir siyo tusi.
mods wote waimba kwaya hakuna muislamu pale hata neno kafir hawajui maana yake
 
Tunakwamishwa na majipu ya waislam.. we mikoa ya waislam kazi wanayojua ni kunywa gahawa we unazani umasikini utaondoka kwa kunywa gahawa na kucheza bao??? waislamu ni jipu.. bado hamuelewi tu..
We kafiri Yale majizi ya Escrow kulikuwa na WACHUNGAJI na Maaskofu.
Kuna kitu ulisema?

Nyie dawa yenu ni kichapo tu.
Manake huwezi mfundisha Nguruwe kuoga hata siku moja.
 
naona mnajitahidi kumpa jina baya ili kuhalalisha usenge wenu. f**k u.

UKWELI KUHUSU NA DR. DAU NA NSSF

Mimi ni mfanyakazi wa Shirika tajwa ambaye nimekuwepo toka enzi za kabla Mkulo ajawa Mkurugenzi wa shirika mpaka sasa hivyo nimeshuhudia mabadiliko hasa yanayohusu uongozi chini ya wakurugenzi wakuu hawa wawili.

Kwa ufupi Dr. ameliangusha Shirika kwa kiasi kikubwa, kwangu mimi ni failure.

Bahati mbaya uongozi wa wakurugenzi hawa hauwi exposed kwenye research za wasomi wetu kwani zingechangia kwa kiasi kikubwa “hazina’ ya maarifa ya uongozi kwenye taasisi za Tanzania hasa mashirika ya umma.

TAHADHARI

  • Natambua kwamba Dr alitumia pesa nyingi kwa waandishi wa habari kudhibiti habari hasizozipenda zisitoke. Hili yeyote mwenye uzoefu na ‘media’ ya Tanzania analielewa. Bahati mbaya sana hata jukwaa la wahariri kama taasisi imekuwa ikinufaika sana na fedha za shirika zisizo na maelezo ya kutosha chini ya mgongo wa shughuli mbalimbali.

  • Toka ameingia amekuwa akiajiri wafanyakazi kwa upendeleo kama nitakavyoeleza hapo chini, hivyo ana watetezi wengi kwa sababu tu ‘walibebwa’, na inaeleweka kuwepo kwa vibaraka anaowalipa wanaoshinda kwenye ‘social media’ kama hii.
KWA NINI NASEMA DR ALIVURUNDA?

Kwa ufupi tumuangalie kwenye sehemu kubwa zifuatazo

  1. Udini

  2. Ubadhirifu

  3. Kushuka kwa ufanisi

  4. Kuongeza gharama za uendeshaji
UDINI

Natambua unyeti wa hii mada, na mara nyingi wenye busara wamekuwa wakikwepa kuijadili kiundani. Lakini ukimya kwenye hili unachangia kuongezeka kwa tatizo, wakati mwingine ni muhimu kulizungumza umma ujue.

Udini umetamalaki sana kwenye Shirika kwani kuna makundi mawili, waislam wanaotamba bila aibu kwamba ni zamu yetu, na wengineo ambao wamekuwa labeled na kundi la kwanza kama mafirauni au wakorintho. Hili jambo liko wazi sana na kwa sababu anatumia secret informers watu wamekuwa waoga hata kuongea.

Binafsi nasikitika udini nilioushuhudia kwa msomi huyu. Udini ulihusisha mambo mengi;

  1. Kutoa vyeo kwa upendeleo. La kwanza alipofika alianziha scheme of work yak echini ya mwamvuli wa consultant “REDMA”. Kwenye hili kupanda ngazi kwa mfanyakazi hakukuangalia muda wa ajira wa mfanyakazi. NSSF ni moja ya taasisi za ajabu ambapo, mfanyakazi mwenye level ya elimu, say degree aliyetumikia Shirika kwa miaka 18 na rekodi nzuri ya performance, ana mshahara sawa na aliyeajiriwa mwezi uliopita!. Hili alilifanya makusudi hili kuwainua wapya na kuwakandamiza wa zamani. Uliza staff yeyote wa Shirika mwenye muda wa kabla ya Dr atakwambia jinsi alivyopandisha vyeo watu wake na kuwakandamiza ‘mafirauni” kama wanavyowaita.
Alianza kwanza na umeneja, na alitumia accomplices kama kina Dr Asad ambaye alikuwa mjumbe wa board lkn alitumika kama ‘consultant” katika kuendesha udahili na kutoa marks za upendeleo kwa candidates wa umeneja.


  1. Ajira za udini na undugu. Alipofika alihakikisha idara nyeti zote ameweka watu wa dini yake, au la basi boss wa idara anakuwa wa dini yake na surbodinates wote wanakuwa hawana nafasi ya kutoa ushauri. Kwanza alitangaza ajira za Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu (DHRA), cha ajabu watu wazito na wenye CV nzito walipigwa chini akachukuliwa Matesa, ambaye hata elimu yake ni questionable. Hili linaweza likathibitishwa na tume huru kwa kuwapitia walioomba hiyo nafasi na kuonyesha applications zilizofunikwa.
Huyu aliwekwa kwa makusudi kwani baada ya hapo ajira zilizofuata zilikuwa za ‘Msikitini”. Unaweza usielewe hili lakini ndio ukweli wenyewe. Inasikitisha pale watoto wa wakulima walipoitwa kwenye usaili toka sehemu mbalimbali za Tanzania kwa gharama kubwa, ili kujustify open recruitment process, lakini hatimaye wanaoajiriwa ni yale majina aliyopelekewa Dr na wazee wanapokutana misikitini. Uliza watu walioitwa kwenye usaili watakwambia pale unaajiriwa kwa kigezo cha dini.

Matesa bila aibu ameajiri watoto wake waume wa watoto wake na wake wa watoto wake.

Dr. amejaza hadi wapemba kwenye ofisi zetu, kisa mke wake ana asili ya Pemba. Zunguka ofisi zote za mikoa ni nadra kuwakosa wapemba. Hapa ujazungumzia watu wa Kisarawe.

Lakini la kuchekesha zaidi ni ajira za mafungu na bila kutangaza wala interview zinazofanyika mara kwa mara. Ni kawaida sana kukuta wanaletwa wafanyakazi kama 6 au 18 na kuambiwa wakaripoti idara mbalimbali na zile idara/sehemu zinashangaa kwa sababu hawana uhitaji wa watu hao.

Zamani tulikuwa na utaratibu m,adereva na wahudumu wa ofisi wanaajiriwa na mameneja wa mikoa, faida ya huu utaratibu zinajulikana. Lakini sasa hivi matesa kajaza madereva wake mikoani hata wasio na sifa. Kuna dereva moja halishindwa kuendesha gari, ikabidi ampe kazi nyingine na kumleta mtu wake tena.

Kuna wafanyakazi waliopachikwa ngazi ya ‘officer’ wakati hawana degree kama requirements za position zinavyotaka.

Kwenye idara ya uwekezaji alihakikisha anajaza watu wake ili kulinda uozo wake.

  1. Kufukuzwa kazi kundi moja na kutofukuzwa kundi lingine.
Hii ni kwa wote wakubwa na wadogo. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala Mr Mniwako alifukuzwa bila sababu za msingi na Dr hakuona ni kuchezea fedha za umma kumlipa mamilioni ya shilingi, hili kuzuia kushtakiwa.

Pitia kesi mbalimbali za nidhamu utagundua wafanyakazi wengi walifukuzwa kwa kuonewa na ndo maana wengi wamefungua kesi.

UBADHIRIFU

Hapa ndipo penye uvundo wa karne.

Dr pamoja na kujitia ni mtu wa dini huwa nashangaa sana madhambi ya ubadhirifu anayofanya. Kwa picha ya nje, ongea na macontrakta watakwambia madeni wanaoidai NSSF na jinsi wanavyopigwa dana dana, ongea na wanachama watakiri kuwahi kucheleweshewa malipo bila sababu za msingi, kadhalika wafanyakazi wa Shirika kucheleweshewa mishahara na malipo mbalimbali. Kwa ufupi kwa tulio ndani hali ya kifedha ni mbaya.

Lakini yote hii imesabnabishwa na ufisadi uliokithiri, na ninatoa rai ya kuwepo kwa special audit kwenye hili. Kwa nature bya shughuli za shirika huwa tuna balance short term investments na long term investments kulingana na projected short tern na long term liabilities. Lakini kwa utawala huu fedha zote zililazimishwa kwenda long term investments. Sababu iko wazi, hata kama hizo long term investments hazilipi, commission yake ni kubwa, yaani ni rahisi ‘kupiga’ fedha kubwa.

Angalia majengo makubwa Kigoma, Kahama, Arusha, Kilimanjaro na kwingineko. Yamejengwa kwa gharama kubwa(inflated costs) na hamna wapangaji! Hivi ni mabilioni mangapi ya watanzania yamezikwa? Dege beach, daraja la kigamboni etc.

Viwanja vilivyonunuliwa kwa inflated price ni vingi mno!

Tunamshukuru sana Mkulo aliyejenga asset base kubwa ambayo kina Dr wanaibomoa. Na kuna wajinga wanamsifu Dr kwa miradi isiyolipa naya kifisadi aliyoifanya, badala ya Kumsifu Mkulo kwa sound financial management iliyosababisha tuwe na strong asset base!

Kwenye ewekezaji kuna uvundo mwingi, rai yangu kuwe na SPECIAL AUDIT.


KUSHUKA KWA UFANISI

Kwa maelezo hayo juu ni wazi ufanisi utashuka. Ufanisi umeshuka sana hasa eneo la uandikishaji wanachama wapya na ukusanyaji michango. Kwa kiasi kikubwa hili limetokana na utawala wa kiimla na ushirikishwaji duni wa wafanyakazi kwenye uaandaaji mipango na mikakati inayotekelezeka.

Dr amekuwa aki dictate malengo mapya bila kuwa na justification. Mfano kuweka malengo ya kuandikisha wanachama 500,000 toka sekta isiyo rasmi wakati shirika toka lianze lina wastani wa idadi ya wanachama 500,000! Na hapo hamna mikakati na resources za kutosheleza zilizowekwa.

Vilevile kumekuwa na upangaji wa wafanyakazi kwenye idara husika bila kuwahusisha idara husika.

Sababu mojawapo ya kuweka malengo makubwa hata yasiyofikika hili aweze kutumia pesa zaidi kwani sheria yetu inataka matumizi yasizidi asilimia 15 ya kipato.


KUONGEZEKA KWA GHARAMA

Kutokana na maelezo ya juu nidhahiri gharama zitapanda. Shirika limekuwa na wafanyakazi wengi kuliko wanaohitajika sababu tu mtu alikuwa na ajenda ya kuajiri ‘wenzetu’ bila kuangalia mahitaji.

Vilevile vimeundwa vyeo vipya vingi hili kutengeneza nafasi za ‘wenzetu’. Pia uwekezaji uliopitiliza usiozingatia miiko, ufanisi, urari na uhitaji kwa wakati uliopo.



RAI KWA WANACHAMA NA WATANZANIA

  1. Hasara kwa shirika ni kubwa sana. Bahati mbaya vyombo vya udhibiti kama bodi havina nguvu na wamekuwa wakifaidika kwa malipo mbalimbali. Najua kwenye bodi kuna uwakilishi wa wafanyakazi kupitia Shirikisho, lakini wameshindwa kulinda maslai ya wanachama. Nawashauri mdai mabadiliko hili wawakilishi kwenye bodi wapigiwe kula kama ilivyo Kenya.

  2. Iundwe tume huru hili kuchunguza shutuma hizi ambazo ni nzito na nina uhakika ukweli utawekwa wazi. Ili la tume huru ni muhimu sana kwani litaondoa propaganda zinazoendelea na kuwachanganya watanzania, wasijue ukweli ni upi.
 
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.

Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.

Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.

Umeelezwa sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!

bwana yesu asifiwe sana!
 
Kwa jinsi nilivyofuatilia mjadala huu inawezekana Dr Dau kaondolewa pale kwa kupikiwa jungu, na nadhani kilichomponza ni Dini yake tu basi, kama ingekuwa ni Ufisadi angekuwa anachunguzwa saa hizi na vyombo vya usalama na angekuwa ameishahojiwa kwa ufisadi, Lakini kusubiri kupangiwa Ubalozi inathibitisha kuwa huyu mtu ni safi!
 
Kwa kifupi NSSF imekuwa ikitoa contract mara mbili mbili kwa mradi mmoja na ku-inflate actual figures.Ile kamati ya PAC ili-overlook hili shirika,sijui kwanini

We hata mfumo wa masharika ya uma hujui kabisaa!


Umeandika kwa akili kidogo sanaaa!
 
Back
Top Bottom