dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Kuna nondo gani zilizowekwa hapa, au kwa kuwa
amezungumzia ubaguzi wa dini ambao wewe ni shabiki.
amezungumzia ubaguzi wa dini ambao wewe ni shabiki.
Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.