Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Ukweli kuhusu Dr. Dau na NSSF

Majipu mengi ni cristian , kuwekeza si kosa majengo yatakuwepo na yatalipa tu!
 
Imekaa kimajungu majungu sana. Hawa ndio wale wavivu hawataka kufanya kazi, lakini wanataka vyeo. Yuko toka Enzi za Mkullo na hajawa Manager sasa mapovu yanamtoka. Ninachojua mimi kuondoka kwa Dr kumeumiza wengi. Ana mema mengi amefanya na wanamlilia. Yule ni binadamu hawezi kua 100% mzuri lakini ulivyoeleza its like hana jema hata moja.
Acha majungu, chapa kazi uone kama hutapewa cheo.
 
Inga wewe jema alilofanya ni lipi zaidi ya kuiba pesa za wafanyakazi na kutengeneza mtabaki ya dini,huyu angepaswa awe jela
 
Inga wewe jema alilofanya ni lipi zaidi ya kuiba pesa za wafanyakazi na kutengeneza mtabaki ya dini,huyu angepaswa awe jela

Ulishawahi kuomba mafao yako ukaambiwa hayapo maana yameibwa..??? Au pesa za wafanyakazi ni zipi.
 
P
Umeelezwa sana ya udini vipi umegusa managerial posts za PSPF..... PPF.... LAPF na GEPF? Umeona huko ni dini na kabila gani zimeshika hatamu?

PSPF now linapumulia mirija liko mbioni kufilisika... PPF iko hoi hujajiuliza why NSSF bado ni leading fund yenye mtaji Mkubwa na ufanisi kuliko mifuko yote?

SSRA unafahamu ndiye regulator mkuu wa hii mifuko na unafahamu credits walizoipa NSSF?

Dau amelifanya NSSF liwe na ufanisi kuliko nyakati zote....

Nakumbuka wakati ule TANESCO mliendesha vita nzito kumwondosha Dr Idriss Rashid ambaye aliifanya TANESCO kuwa strong kwa muda mfupi na aliweka mipango kabambe kama ingetekelezwa na hawa mgao na uhaba wa umeme ingekuwa historia but now TANESCO inatengeneza hasara ya zaidi ya billion 450!!!!

bwana yesu asifiwe sana!
Pspf si alikuwepo mujahidina na akamkabithi mujahidina Adam mayingu tena mtu wa IT na ndo anamaliza kabisa,alipoteuliwa mama Carina wangwe Nssf mlipiga kelele ooh kasoma IT hawezi kukaimu mbona huko pspf hamsemi,
 
wanaonufaika na huyu jamaa utawajua tu through their defensing point, huyu jamaa bwana kaharibu shirika wala hatutaki kumung"unya maneno, ingawa mtoa maada kakosea kidogo kusema wamejaa wapemba, hilo siliafiki, nao wana right ya kuajiriwa kama watanzania wengine, ila hilo la udini na ubadhirifu ni true story, tunasubiri tu jipu kutumbuliwa, nyie mjipe moyo tu wa kumtetea lakini ukweli ndiyo huo
 
Ulishawahi kuomba mafao yako ukaambiwa hayapo maana yameibwa..??? Au pesa za wafanyakazi ni zipi.
We sijui uko nchi gani,hukuona kwenye TV watu waliokosa pesa wakawa wanapiga kelele kule mlimani city sometimes last year ?walienda benk wakaambiwa Nssf hawana hela sasa unataka nini zaidi ya hapo
 
Kitambo kipindi nipo chuo kuna jamaa yangu alikuwa UDBS aliniambia anasubiria kumaliza chuo yeye anao uhakika wa kazi Nssf sababu Jamaa yake Haruna Mbeyu na Dau Mabest kwahiyo tabu Hana kweli jamaa amemaliza ndani ya mwezi mmoja tu akapata kazi Nssf...kwenye hii thread nimejifunza kitu
"Unaushahidi na unalolisema au unataaja majina ya watu tu, usiandike udaku andika facts"
 
Nilianza kusoma nilipofika hapa " Dr amejaza hadi wapemba" nikaacha maana naamini wote wanaomuita Dr Dau mdini ni watu wenye chuki uislamu na waislamu. Ila huyu ni ameingezea na ubaguzi, siamini mwaka 2016 bado kuna watu wana ubaguzi wa kijinga jinga hivi.
mi ilibidi nirudie kusoma 'wapemba' nilihisi labda nimekosea...

Mtu unaweza kuwa na hoja ya msingi...ila ukaangushwa na jinsi utakavyoielezea.
 
"Unaushahidi na unalolisema au unataaja majina ya watu tu, usiandike udaku andika facts"
Ni ukweli maana kuna Dada mmoja nimesoma nae anaitwa fatuma ni muislamu wa kiaina alipata kazi atapelekwa singida kama sijasahau,yeye anakiri wazi kuwa jina lake ndo lililompa kazi n huwa wanapewa majibu ya interview,yeye mwenyewe alishangaa hali hiyo
 
"Unaushahidi na unalolisema au unataaja majina ya watu tu, usiandike udaku andika facts"

Sasa Mimi nilikuwa nae chuo...unataka ushahidi gani...wewe kweli nyumbu mtu nilikuwa nae na mshikaji wangu vipi unataka ushahid gani tena
 
Hivi tunasema Nssf kuna/kulikua na udini kwa kulinganisha na wapi?..

Lazima tuweke mizania ili hoja iwe na mashiko kama ya watu waliotimiza miaka 7 ya elimu ya msingi...

Tufanye comparison, Then tuwe na jibu..

Binafsi ninachokiona ni Khofu tu..

Ni kama vile watu walivyoanza kumnanga JPM..hakuna kingine ni Khofu tu..

Ndugu yangu mtoa mada, Wazungu wana ka msemo

'The only thing to fear....is fear itself'.
 
Sasa Mimi nilikuwa nae chuo...unataka ushahidi gani...wewe kweli nyumbu mtu nilikuwa nae na mshikaji wangu vipi unataka ushahid gani tena

"Huo si ushahidi bali ni story ambazo zinaweza kuwa za kutengeneza tu", tunataka material facts ondoa udaku wako
 
Ni ukweli maana kuna Dada mmoja nimesoma nae anaitwa fatuma ni muislamu wa kiaina alipata kazi atapelekwa singida kama sijasahau,yeye anakiri wazi kuwa jina lake ndo lililompa kazi n huwa wanapewa majibu ya interview,yeye mwenyewe alishangaa hali hiyo

teh!teh!teh! mkuu achana na nyumbu huyo halafu muhusika nilikuwa nae Mimi nipo Coet yeye yupo Udbs.tatizo wanapenda kubishana kuna baadhi ya watu watakuwa wanafanya Dau alikuwa anaonekana mdini tatizo wapambe waliokuwa wanapeleka watu kwa vimemo...
 
"Huo si ushahidi bali ni story ambazo zinaweza kuwa za kutengeneza tu", tunataka material facts ondoa udaku wako

teh!teh!teh!teh! unataka aina gani ya fact wewe nyumbu..mshikaji wangu mpaka sasa yupo hapo Nssf sasa unataka fact ipi au una undugu na huyo haruna..hebu nipe facts zako basi
 
teh!teh!teh! mkuu achana na nyumbu huyo halafu muhusika nilikuwa nae Mimi nipo Coet yeye yupo Udbs.tatizo wanapenda kubishana kuna baadhi ya watu watakuwa wanafanya Dau alikuwa anaonekana mdini tatizo wapambe waliokuwa wanapeleka watu kwa vimemo...

"Wewe ni mpiga umbeya tu hauna lolote, hatutaki story za kutengeneza hapa, zungumza mambo yenye tija...."
 
Mwenye data ya mashirika mengine atuwekee hapa tufanye comparison shirika lipi hasa kuna udini! KUNA MTU ASHAWAHI KUZI- UPLOAD HUMU
acha kutokwa na povu uovu hauhalalishwi na uovu mwingine tunaongelea nssf kama una data za mashirika mengine lete, jibu hoja alizoleta mleta mada au unataka kuhalalisha issue ya kwamba na sisi tunajazana hapa kwa vile nyie mnajazana kule? jibu hoja alafu anzisha uzi wako wa shirika unalolijua liko ivo kinyume chake sasa
 
tunataka dau aulizwe kuhusu uwekezaj kama kule kigoma majengo yamejengwa kwa cost kubwa halafu hayana faida yoyote nani alifanya feasibility study ku justify ukweli au hitaj la hilo jambo? serikali itunge sheria kuiondoa mifuko ya jamii ktk uwekezaj wa moja kwa moja kama kuna taasis inataka kuchukuau ela basi kuwe na mfumo wa kukopeshwa kama benki unavyokopesha badala ya kua mbia ktk uwekezaj wao wabaki na primary objective ya kuhudumia ela za watu!!! ela isipokua yako lazima uwe na tamaa ya kutaka kuitumia hasa ukiwa umekabidhiwa kuitunza!!!
 
teh!teh!teh!teh! unataka aina gani ya fact wewe nyumbu..mshikaji wangu mpaka sasa yupo hapo Nssf sasa unataka fact ipi au una undugu na huyo haruna..hebu nipe facts zako basi

"Achana na ushamba wa kutaja majina ya watu hapa, huyo rafiki yako yuko tayari kuthibitisha hayo unayoyasema?, utashitakiwa kwa defamation mbumbumbu we"
 
"Wewe ni mpiga umbeya tu hauna lolote, hatutaki story za kutengeneza hapa, zungumza mambo yenye tija...."

Acha kutoka povu mkuu utakuwa na wewe ulikuwa unasubiria ajira ya kimemo pale Nssf...tatizo mkiambiwa ukweli mnatoka vipi mkuu facts zako zipo wapi labda nitakuamini aiseee
 
Back
Top Bottom