Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Dr.anachonifurahisha hajawahi kujibu huu upuuzi hata siku moja.
Ndio ujue wagalatia na mfumo Kristo ume tawala nchi hii. Hoja kama hizi watu wana zikimbia kwasababu zinasema ukweli.Nachoshindwa kuelewa mtu ameshaachia ngazi.bado anaandamwa.
Hizo ni porojo za mfumo Kristo, hoja za ukweli kama hizi wanazikimbiaKama mashirika ya social security yapo hivi nna uhakika baada ya miaka 30 kuna watu hawatakuja kulipwa mafao yao. Social security za Tanzania zina operate kama ponzi scheme.
Wewe ni mdini mwenye chuki binafsi zidi ya uislamu na self interest hapo NSSF. Taarifa za kuaminika ni kwamba waimba kwaya mmejazana hapo NSSF Ila ajira zikitolewa kwa waislamu mnalalamika. Mmeacha mashirika ambayo yana uozo Wa kupindukia lakini mmeng'ang'ana kumshambulia Dr Dau na watumishi waislamu sababu tuu ya Imani yao.
Mazoea yatawashinda, dunia ya leo tofauti na ile mliozoea, waislamu Wa nchi hii washachoshwa na tabia za watu kama wewe ambazo zinalipeleka hili taifa pabaya.
tangia mara ya kwanza kashfa ya udini ya dau imeletwa hapa,kiukweli nilichoka na wala hafananii na kile alichokianzisha ndani ya nssf.
najiuliza sababu ya jk kumbeba miaka yote ilikuwa ni nini au ndo mambo yale alosema makamba kuwa utawala uliopita ulikuwa wa kubebana sana
Utashangaaa watu wanaweza kumtetea ...pale Kilimanjaro kwa mafano ..lie Bilioni 70 aliozamisha kwenye jengo ambalo hadi Saza halina wapangaji Nina uhakika kabisa angekopesha Halmashauri AU Tanroad ....barabara zote za mji mzima zingejengwa na maeneo ya wazi...hadi uwanja wa michezo memorial ...,masoko etc na wanamchi wangelipa Kodi na Halmashauri ingeweza kulipa mkoopo Ndani ya Miaka 10 ....Nondo Kama hizi ndio zinahitajika na Idara ya Usalama wa Taifa inapaswa ianzie hapa kupata details za kutosha.
Hapa naona kama kuna ukweli kwa asilimia kubwa.
Hii ni hujuma ya kutisha kabisa kwa shirika nyeti kama NSSF.
Sasa ni zamu yenu maka.fi.ri....mjinafasi kelele zann?
Unafahamu ni kwa kiasi gani serikali yako imekopa NSSF? Unafahamu NSSF ni miongoni mwa mashirika yaliyojenga UDOM?Utashangaaa watu wanaweza kumtetea ...pale Kilimanjaro kwa mafano ..lie Bilioni 70 aliozamisha kwenye jengo ambalo hadi Saza halina wapangaji Nina uhakika kabisa angekopesha Halmashauri AU Tanroad ....barabara zote za mji mzima zingejengwa na maeneo ya wazi...hadi uwanja wa michezo memorial ...,masoko etc na wanamchi wangelipa Kodi na Halmashauri ingeweza kulipa mkoopo Ndani ya Miaka 10 ....
Hapa Dar jengo la Mzizima Tower nalo la ghorofa 30 linajengwa kwa Bilioni 70 ...lakini ajabu jengo la Mzizima,...gharama zake zinakuwaje Sawa na gharama za jengo la ghorofa 5 tu ..Kilimanjaro ????
tangia mara ya kwanza kashfa ya udini ya dau imeletwa hapa,kiukweli nilichoka na wala hafananii na kile alichokianzisha ndani ya nssf.
najiuliza sababu ya jk kumbeba miaka yote ilikuwa ni nini au ndo mambo yale alosema makamba kuwa utawala uliopita ulikuwa wa kubebana sana
Huo ndo ukweli gani sasa? Tatizo waislamu akili zenu kama nyumbu.. Mkiambiwa ukweli kwamba NSSF chini ya Dr. Dau ime under perform mnaanza kuona eti serikali inaonea waislam.. Mnaanza kuleta hoja mufilisi za kuonesha viongozi walio wakristu pasipo kutambua hiyo siyo hoja.... ni sawa na mama afanye ukahaba halafu mumewe akimfuma anataka kumpa kibano mama anakimbilia kubeba katoto kake kachanga ili aonewe huruma... stop that sh!tHizo ni porojo za mfumo Kristo, hoja za ukweli kama hizi wanazikimbia
www.jamiiforums.com/threads/tuhuma-za-udini-dhidi-ya-dr-ramadhani-dau-wa-nssf-ukweli-ni-upi.1013764/
Mleta mada Jagiro kuna ukweli mwingi katika hayo uliyoyasema.
Huyu DHR kweli ni upande wa pili, utendaji wake umefail sababu job interviews zilizoitishwa na nssf kama ile ya waterfront,ifm,duce na zinginezo nyingi zilizidisha idadi ya watu huku mahitaji ya shirika ni wachache huu ni ufujaji na ubovu wa director of HR.
Zipo tetesi yeye mwenyewe anahusika na uuzaji wa nafasi za ajira kwa waombaji through madalali wa mjini.
Kiukweli watu wengi wanquestion elimu yake.
Kuna mtoto wa kigogo mmoja wa jeshi aliajiriwa hapo bila nafasi yake kutangazwa naye alikuwa ni mwislamu.
hayo yameshasemwa sana hakuna jipya hapo, na dr dau keshaondolewa nssf, ataletwa mwingine kutoka kanisani mambo yote yataenda vizuri. save your breath mkuu.