Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Yaani wewe acha nicheke kwanza

Hahahhaaaaaaaaaaaaaa

UMEKAAA HAPA UNAWAPINGA WASABATO

SASA UMEENDA KWENYE BLOG YANGU UMEKOPY NA KUPASTE HUKU, hili somo niliiandaa kwa mwaka mzima

Sasa LISOME TENA , HALAFU NJOO UPINGE TENA WASABATO,

HILO SOMO NIMEELEZA HADI ALAMA YA MNYAMA AMBAYO NI IBADA YA JUMAPILI

NIMEELEZEA WANYAMA WOTE WANNE, HADI MNYAMA WA NNE AMBAYE NI UTAWALA WA ROMA YA KIDINI, ULIVYOIBUKA


HAYA NJOO NIAMBIE UNANIPINGA NINI?

KAMA HILO SOMO UNALIKUBALI ,UNAWAPINGA WAPI WASABATO?

NINA BLOG MBILI NINAWEKA MASOMO KONK KAMA.HAYO.....
 
Tuambie hiyo alama ni nini?

Je kila mtu duniani atakayepigwa ALAMA kama usemayo tayari huyo ni washetani? Hata kama matendo yake ni mazuri?

Usitafsiri biblia kama Katekisimu
Suala uliloliandika haujalifanyia utafiti.

Rudi bible college ukachimbue kwa undani.

Pia punguza story za vijiweni.
 
Suala uliloliandika haujalifanyia utafiti.

Rudi bible college ukachimbue kwa undani.

Pia punguza story za vijiweni.

Amekaririshwa habari ya "upinga" Kristo wa Papa japo sifa za Mpinga Kristo zimeandikwa humo humo kwenye Biblia anayojisifia kuisoma!
 
Leta majibu ndugu, sio kuleta pdf

Unajidhalilisha tu sasa. Kuna pdf gani kwenye hizo posts nilizokupa mfano wake? Au hujui maana ya pdf?
Btw; ukipewa document iliyo kwenye pdf format wewe macho yanapofuka?

Si ukubali tu kuwa aidha (a) lugha inakupiga chenga, (b) huna mental capacity ya kukuwezesha kuelewa , au (c) vyote (a) na (b) vinahusika?
 
Uislam upo kwenye Ufunuo aya ya 9. Soma hapo ,usipoelewa uliza upte ufafanuzi. Yaani wewe hujui kuwa Vatican kuna siasa na dini, kwamba papa akienda nchi nyingine anapigiwa mizinga 21 kama raisi
 
Hebu tusaidie wasabato wameachaje mafundisho ya Yesu. Yaani ni fundisho lipi waliloliacha. nahisi kama huelewi maswali vizuri ila hili ni rahisi utalielewa. Taja mafundisho ya ya Yesu ambayo wasabato wameyaacha
 
Uislam upo kwenye Ufunuo aya ya 9. Soma hapo ,usipoelewa uliza upte ufafanuzi. Yaani wewe hujui kuwa Vatican kuna siasa na dini, kwamba papa akienda nchi nyingine anapigiwa mizinga 21 kama raisi

Ina maana kwako kuwa Papa kupigiwa mizinga kama head of state of Vatican ndio kawa kilelezo cha utawala wa mwisho? Utawala wake umegawanyikaje kama ndio hivyo?
 
Hebu tusaidie wasabato wameachaje mafundisho ya Yesu. Yaani ni fundisho lipi waliloliacha. nahisi kama huelewi maswali vizuri ila hili ni rahisi utalielewa. Taja mafundisho ya ya Yesu ambayo wasabato wameyaacha

Inaelekea hamjui maana ya sentensi hii kwenye Ufunuo;
"...akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu..." (Ufu 12: 17).
Wazishikao Amri na wenye kuwa na ushuhuda wa Yesu ndio wamekuwa persecuted na Uislamu tangu ulipoanza hadi kesho. Who are those two?
Jews and Christians respectively. Ama "watu wa Kitabu" kama wanavyojulikana katika Qur'an
 
Roho za watu zinapelekwaje mbinguni wakati Biblia inasema Mpatanishi kati ya Mungu na mwandamu ni Yesu na wengine wanasema mpaninishi ni bikra Maria. Biblia inasema mtu anabatizwa baada ya kuamini, wengine wanabatiza watoto wachanga( watoto wanaaminije sasa)
Aaron anachojaribu kufanya ni ktualika tujadiliane ni wapi tumekosea kwa kufuata mapokeo ya wanadamu ili tufuate mafundisho ya Mungu
Hayo niliyotaja ni machache yapo mengi.

Kuna hawa walokole wanasema sharia na amri zilikufia msalabani. Sasa niwaulize tunaruhisiwa kuua,kuiba,kuzini, kuserma uongo watakuambia hapana, sasa ziliishiaje msalabani ? hawana majibu
Wasabato hawana chuki na Wakatoliki. Ina maana ukimuomba mtu aache jambo baya unamchukia?
 
Nime-attach kitabu kwenye moja ya posts za huyo aliedai nakimbia maswali. Download and read it then come back here so that I respond to whatever question you may have.
Hivi kila mtu akiweka link tusome tutafika kweli. Tunaomba usome hala utujulishe ulichoelewa,acha ubabaishaji
 
Ibada ya Jumapili inawekwaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu?

Kuna kipindi huwa najiuliza kama Wasabato huwa wanasoma Biblia tunayosoma sisi wengine! You guys; have you been put under a delusion?
Ukiulizwa jambo moja tu kuwa ibada ya jumapili ilikujaje ku substitute jumamosi utakuwa na majibu .Hebu tusadie hilo kibiblia tafadhali(tunaomba usiweke link)
 
Hivi kila mtu akiweka link tusome tutafika kweli. Tunaomba usome hala utujulishe ulichoelewa,acha ubabaishaji

Mbabaishaji ni nani; yule anaejisomea na hivyo kufanya informed judgement ya maada husika au yule anaesubiri wenzie wasome ili wamwambie walichosoma? Utafanyaje comparisons ya different schools of thought kama husomi relevant material from both angles?
 
Ukiulizwa jambo moja tu kuwa ibada ya jumapili ilikujaje ku substitute jumamosi utakuwa na majibu .Hebu tusadie hilo kibiblia tafadhali(tunaomba usiweke link)

Utaratibu wa Sunday services ulianzishwa na mfalme wa Kirumi Constantine baada ya kuwa Mkristo. Hio ni historical fact. Na most likely utaleta ule uzushi wenu kuwa alitimiza unabii wa "kubadilisha majira na sheria", lakini there are two flaws with this reasoning:
1. Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkristo na mstari wa kubadili majira na sheria unaendana na mstari mwingine unaoeleza kuwa ".... hataabudu miungu ya baba zake...".
2. Constantine hakuanzisha au kubadilisha kalenda (ambayo interestingly Wasabato bado wanaitumia).

Nani alieacha kuabudu miungu ya baba zake na pia kuanzisha kalenda? Mtume Muhammad. Baba zake waliabudu miungu 360 akiwemo Allah na ali-attempt kubadilisha kalenda (waislamu hadi leo wana kalenda yao ambayo haiko based na kuzaliwa Yesu Kristo.

Anything else?
 
Ina maana kwako kuwa Papa kupigiwa mizinga kama head of state of Vatican ndio kawa kilelezo cha utawala wa mwisho? Utawala wake umegawanyikaje kama ndio hivyo?
Maana yangu hapo ni kuonyesha kuwa ni kiongozi wa Dini na siasa
 
Wala haihitaji elimu kubwa ya theology, kwa kuangalia na kuchunguza kwa makini tu hata sisi wa upande mwingine tusiofungamana tunajua kabisa alama ya mnyama ni jumapili, kwahiyo kanisa katoliki ni baba wa alama ya mnyama na matawi yake ni watoto wake

Unfortunately you are wrong. Asie na akili (elimu kubwa) hataelewa. sio maneno yangu haya; soma hapa:


Ufunuo 13: 18
Hapa ndipo hekima inapohitajiwa: Yeye aliye na akili na apige hesabu ya namba ya yule mnyama-mwitu, kwa maana ni namba ya mwanadamu;+ na namba yake ni 666.
 
Kwani dini c zimeletwa ila mnajifanya mnajua bibilia kuliko Waisrael, mm nasema hamna kitu ni ujinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…