Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,389
- 18,187
Nyie Wa Siku ya Saba,Naweza kuchelea kusema huujui usabato
Na nilichokiona kwako , UKWELI UNAKUCHOMA SANA
KUHUSU UPOTOVU WA RC HATA KINA LUTHER ,CALVIN WAMEUELEZEA SANA
SEMA BAADA YA KUFA HAO ,MAKANISA YAO YAKARUD ROMA NA KUPIGA MAGOTI
WASABATO SDA , BIBLIA WANAISOMA MWANZO MWISHO, WAMEJENGWA JUU.YA BIBLIA NA BIBLIA PEKEE, VITABU VYA EGW NI NURU NDOGO HATA YEYE ALIITA HIVO
kwakuwa umekuwa unatoa shutuma kuwa sisi tunawasakama WAKATOLIKI , nilikuomba uje hapa tufanye mjadala kuhusu MNYAMA AYA KWA AYA ukakimbia
Maana niliwahi kufanya hivo na wakatolik wenzako kina otorongongo WAKAKIMBIA MAANA WALIJIKUTA WANABANWA
NILIKUSHANGAA SANA HUJUI HATA MNYAMA NI NANI , MAANA BIBLIA IMEMUELEZA VZR ,TENA INAKWAMBIA ANAKAA JUU YA VILIMA 7 ,
NA PALE VATICAN IPO JUU YA VILIMA 7
KANISA KATOLIK LILIPOONA HUU UNABII UNASAMBAA SANA NA UNALIFUNUA
WALIWAUA WATU WENGI SANA ,BAADAE WAKAANZISHA KIKOS KAZ KIITWACHO MAJESUIT
sasa wewe nakushangaa unashupaza shingo ,umejaa lawama tupu,
Hebu toka nje ya box, mimi nimeishi mishen ya ROMA miaka 12 , nimezaliwa kwenye uislamu ,
Lakin niliamua kutoka nje ya box , nikajua mengi,
Sio unabak unalaumu,
Je unaweza kuniambia hizo AYA ZINAMUHUSU NANI KAMA SIO ROMA?
NA UTAKAPOSEMA SIO ROMA ,MIMI NIMEKUOMBA TUFANYE MJADALA TUKITUMIA BIBLIA NA HISTORIA ,tuthibitishe
Iwapo itathibitika upo sahihi ,mimi nitaamua kukubaliana na wewe.
Mimi nilishaikana iman ya kiislamu Ndan ya msikiti na kuachana nayo, ni baada ya kufanya nao mjadala wakashindwa kunijibu , zaid wakidai YESU ALIKUWA MUISLAMU NA ALISALI MSIKITINI
NIKAWAPA AYA QURAN 22:40 , NIKAWAULIZA MBONA MUHAMAD ANAYATAJA MAJENGO YA IBADA MANNE , NA ANATOFAUTISHA MSIKITI NA SINAGOGI ,WHY MNATAKA KUNIDANGANYA? hapo nikiwa kijana mdogo
Tulihojiana sana , ikabid waniruhusu niachane na UISLAMU,
SASA WEWE UMEBAK UNAKOMAA KISA BABA NI MKATOLIKI,
HEBU TOKA NJE YA BOX ,ujifunze taratibu
Kama kina martin luther waliokuwa makasisi , Alipotoka nje ya box alikuta kwa harakaharaka Makosa 95 .
View attachment 923281View attachment 923282View attachment 923284
Bi Hellena amesha waharibu ubongo wenu wote.
Hakuna mnacho waza zaidi ya Sabato, Jumapili. Roman Cathoric, Jumamosi, Papa na Vatikani, na aya za Biblia zinazotaja maeneo hayo.
Mtu akiku Challenge kwenye mada yako basi atakuwa Mkatoriki tu.
Sasa mimi nitaongea nini na wewe ?
Toka utotoni na kanisani kwenu mmekaririshwa aya zinazozunguka maeneo hayo hayo ya Papa na Sabato.
Akili yako imeishia humohumo mwa Jumamosi na Jumapili, mada zako zote ni za Jumamosi Jumapili na Papa.
Wewe wala hujawahi kuwa Mwislamu.
Ni afadhali kuwa Mwislamu kuliko kuwa Msabato ambaye kila ukiamka anawaza chuki dhidi ya Wakatoriki na kuiabudu siku ya Jumamosi.
Stay Away From Ellen G. White.