Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Naupenda kivipi, uislamu umeelezwa vzr na yohana ,katika ufunuo 9

Uislamu umeanzishwa na roman catholic ,

Mtoto wa muhamad aliyeitwa fatma alifia ureno,
Leo hii wakatolik wanaenda ureno kuhiji kuhusu huyo fatma , wanadai aliwatokea watoto watatu, wanadai ni bikira maria ,

Ukitaka ushahidi jinsi roma ilivyoanzisha uislamu nitakupa
UNA USHAHIDI GANI WEWE AU UWO KUTOKA GOOGLE WA MA PDF.UISLAM UMEEPUKIKA NA NAJIS ZENU KAMA IZO WEWE UNA MPAKAZIA MWENZAKO HALI YA KUA NYOTE MSHONO MMOJA NA KITAMBAA KIMOJA .YESU ANA UMUNGU KAUTOA WAPI .TATIZO NYINYI MZUNGU AMBAE SI MKAAZI HALISI WA ULIMWENGU AMEKUAMINISHENI MENGI YALIYO KINYUME NA UKWELI JEE UNAWEZA KUNLETE MFANO MMOJA TU WA SURA YA QURAN WALIOITENGEZA AWO WAROMA UNAOSEMA NDO WALIOANZISHA UISLAM
 
Acha longo longo hakuna cha chapter ,

Nipe majibu hizo chapter hakuna majibu ,maana na wao wamedanganya ,wameungaunga

Njoo hapa nijibu haya maswali, sio kupelekana kasome kule ,sijui.kule,

Weka majibu hapa

Kila mtu aone
USISEME WAMEUNGANA NA WAKATI UWO NDO UKWELI ,HUNA JIPYA WEWE NA HOJA ZAKO ZA HASIRA NA POVU
 
Hii ndio inaitwa profession rubbish..hahaha
Ramliii iliyopitilolizaa...FAKE News

God was created when the first con-man met the first fooL...
sasa wewe jitathimini..nani kati ya hao wawili..
 
Sioni uhusiano wowote wa Papa, Alama 666 na unachokielezea kwenye hii maada yako
kwa maana 666 ni jumla ya jina la mpinga Kristo, so wote duniani wanaolazimisha kutumia code mbalimbali za kiutambulisho ni kuwa wanatumia alama 666? na ndio jina la Papa?, maana tumeambiwa ni hesabu za kibinadamu wala sio za kiroho na wala sio fumbo
1573521107902.png

kofia ya papa hiimkuu
 

Attachments

  • 1573521173557.png
    1573521173557.png
    169.8 KB · Views: 9
Mnyama=taifa
Chapa ya myama=siasa ya taifa
Kupigwa chapa=kufanywa uifate siasa ya taifa hilo
Huto uza wala kununua=kuwekewa vikwazo
Sanamu=uongo
Itatiwa pumzi=kutangazwa kuwa ni ukweli
Nayo sanamu=nao uongo
Itakuwa kiumbe hai=itakuwa ukweli
Watu wataambiwa waiabudu=waukubali uongo
Wasioiabudu watauwawa=wasioukubali watauliwa.

MFANO WA UONGO

Ushoga ni mapungufu ya kimaumbile homoni za kike zilizidi.

MAANDIKO
Na alaaniwe mwanamume anayelala na mwanamume kama mkewe.
Wafiraji hawatauona ufalme wa Mungu.

MADHARA

Ukiukataa uongo huo utafungiwa misaada na kufikia hata kuwekewa vikwazo vya kiuchumi.
 
Hivi wewe ina maana huwaoni kabisa wale wenye alama ya kama kovu lililopona kwenye paji la uso na mkononi ambao wanasujudu usiku na mchana
Kama kitabu cha ufunuo kinavyo sema ?
Mbona hilo kovu linaonekana waziwazi kabisa, au hadi nikuwekee picha ya paji la uso wa jilani yangu hapa...!
Tatizo lako wewe unawaza Sabato tu, hutoki nje ya Boksi la fuvu lako.
Elleni amekupumbaza kabisa.
Ameshindwa kusibitisha kwa nini jumapili iwe kama sabato kwa Roman Catholic
 
Mnyama ni Ibirisi Shetani.
Kama Wakatoriki wanaabudu sanamu ya Bikira Maria kwa mfano hai.
Basi hiyo sanamu ya Bikira Maria sio Bikira Maria halisi.
Bali ni Shetani Ibirisi anajionesha katika picha ya sanamu ili aabudiwe.
Shetani huwa anatumia masanamu na huwa ndani ya hiyo misanamu.
Unapo iabudu au kuisujudia basi hapo hapo unamsujudia Shetani moja kwa moja.
Mnyama kwa tafsiri ya kikamusi ni kiumbe wa Mungu na hakifiki kwenye kutenda makosa.
Ukiuliza maana ya sanamu nyingi ni kuwa zinatumika kwa kuonesha hadhi ya miungu.
Ndio maana Mungu amekataza hata kitendo cha kuzipa heshima sanamu.
Nadhani unazikumbuka sanamu za mungu Baali.
Wabudha, Wahindi, Warastafariani wana masanamu kwenye nyumba zao za Ibada ambazo zinawakilisha miungu yao halisi.
Hivyo mnyama unayezumzia ni miungu mingine ambayo ipo kwenya ufalme wa giza.
Hapo mnyama ni Shetani Ibirisi ambaye anafanya juu chini ili aabudiwe, na kusujudiwa.
Kuna watu wanamsujudia huyo Ibirisi aliyejigeuza mnyama, na wana chapa kwenye paji zao za uso na mkononi.
Hao ndio wanaoonywa hapo kwenye kitabu cha ufunuo.
Angalia wewe unaweza kuwa mmoja wao.
Mpaka hapo ushafeli mkuu Soma Sana biblia.
 
You got it wrong. Constantine hakuwa anaabudu miungu yeyote. Ni wewe unaelazimisha Constantine awe na miungu. Yeye alikuwa mfalme kwenye jamii iliyokuwa inaabudu miungu - and again that is an historical fact. Najua utataka kusema kuwa aliabudu mungu jua etc, lakini hiyo ilikuwa ni miungu ya Wagiriki (Wayuyani) na Costanine hakuwa Mgiriki bali Mrumi.
Sijawahi kutana na muzi wa ukweli anepindisha ukweli uwe uongo Kama wewe!!!!!

Wewe ukweli unaujua Ila unajaribu kuupindisha tu
 
Mpaka hapo ushafeli mkuu Soma Sana biblia.
Ina maana sanamu inauhai? Au picha yako inauhai? Shule ndugu wacha kupandikiza vitu usivyo vielewa. Mnyama ni manyama, sanamu ni sanamu kimoja kina uhai na kingine hakina uhai.
 
Ina maana sanamu inauhai? Au picha yako inauhai? Shule ndugu wacha kupandikiza vitu usivyo vielewa. Mnyama ni manyama, sanamu ni sanamu kimoja kina uhai na kingine hakina uhai.
Mkuu umeelewa lakini hiyo mada huko juu?
Haya Mambo ukitaza.a kwa jicho la kawaida unaona vitu vodpgo na vya kawaida lakini Ni vitu hatari na vimezungumziwa kwa lugha ya mifano
 
Mpaka hapo ushafeli mkuu Soma Sana biblia.
Ila ningefaulu kwa kusema Mnyama ni Roman Cathoric au sio ndugu.
Wasabato mna ugomvi na Kanisa Katoriki kwa kugombea waumini wa kujiunga na Kanisa lenu.

Hapa duniani kuna Imani za Shetani kabisa na wana Makanisa na ndani ya hayo Makanisa kuna chapa ziko wazi kabisa za namba 666. Kama inavyoandikwa katika

Ufunuo wa Yohana 13:18
" Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. "

Nenda YouTube bofya Satanic Church, utayaona hayo Makanisa na chapa ya 666.
Kama inavyoeleza Ufunuo 13: 18

Kanisa la Shetani na mungu wao ni Lucifer. Wanatoa kafara za Binadamu humo, wanamdhihaki Mungu humo na kutenda Makufuru yote.
Ila Wasabato humo mwote mmeziba masikio sababu ya kugombea waumini na Kanisa Katoriki huku mkirubuniwa na Bibi Allen Whitte na Silaha yenu ni kubwa ni Jumamosi na Sabato tu.

Hebu someni hapa muielewe nadharia ya Sabato.

Mambo ya Walawi 23:1 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
2 Nena na wana wa Israeli, na kuwaambia, Sikukuu za Bwana, ambazo mtazipigia mbiu kuwa ni makusanyiko matakatifu; hizi ni sikukuu zangu.
3 Mtafanya kazi siku sita; lakini siku ya saba ni Sabato ya kustarehe kabisa, kusanyiko takatifu; msifanye kazi ya namna yo yote; ni Sabato kwa Bwana katika makao yenu yote.
4 Sikukuu za Bwana ni hizi, ni makusanyiko matakatifu, ambayo mtayapigia mbiu kwa nyakati zake.
5 Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi wakati wa jioni, ni pasaka ya Bwana.
Na siku ya kumi na tano ya mwezi ule ule ni sikukuu kwa Bwana ya mkate usiotiwa chachu; mtaila mikate isiyochachwa muda wa siku saba.
7 Siku ya kwanza mtakuwa na kusanyiko takatifu msifanye kazi yo yote ya utumishi.
8 Lakini mtasongeza sadaka kwa Bwana kwa njia ya moto siku saba; siku ya saba ni kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
9 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
10 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Hapo mtakapokuwa mmekwisha ingia hiyo nchi niwapayo, na kuyavuna mavuno yake, ndipo mtakapomletea kuhani mganda wa malimbuko ya mavuno yenu;
11 naye atautikisa mganda mbele za Bwana ili kwamba ukubaliwe kwa ajili yenu; siku ya pili baada ya Sabato kuhani atautikisa.
12 Na siku hiyo mtakayoutikisa mganda, mtamsongeza mwana-kondoo wa kiume mkamilifu wa mwaka wa kwanza awe sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana.
13 Na sadaka yake ya unga itakuwa sehemu za kumi mbili za efa za unga mwembamba uliochanganywa na mafuta, ni kafara iliyosongezwa kwa Bwana kwa moto kuwa harufu ya kupendeza; na sadaka yake ya kinywaji itakuwa ni divai, robo ya hini.
14 Nanyi msile mkate, wala bisi, wala masuke machanga, hata siku iyo hiyo, hata mtakapokuwa mmekwisha kuleta sadaka ya Mungu wenu; hii ni amri ya milele katika vizazi vyenu katika makao yenu yote.
15 Nanyi mtajihesabia tangu siku ya pili baada ya Sabato, tangu siku hiyo mliyouleta mganda wa sadaka ya kutikiswa; zitatimia Sabato saba;
16 hata siku ya pili ya hiyo Sabato ya saba mtahesabu siku hamsini; nanyi mtamsongezea Bwana sadaka ya unga mpya.
17 Mtatoa katika makao yenu mikate miwili ya kutikiswa, itakuwa ya sehemu za kumi mbili za efa; itakuwa ya unga mwembamba, itaokwa na chachu, iwe malimbuko kwa Bwana.
18 Nanyi, pamoja na hiyo mikate, mtasongeza wana-kondoo saba, walio wakamilifu, wa mwaka wa kwanza, na ng'ombe mume mmoja, na kondoo waume wawili; watakuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana, pamoja na sadaka yao ya unga, na sadaka zao za kinywaji, sadaka ya harufu ya kupendeza iliyosongezwa kwa Bwana kwa njia ya moto.
19 Nanyi mtasongeza mbuzi mume mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wana-kondoo wawili waume wa mwaka wa kwanza kuwa dhabihu ya sadaka za amani.
20 Kisha kuhani atawatikisa pamoja na hiyo mikate ya malimbuko kuwa sadaka ya kutikiswa mbele za Bwana, pamoja na wale wana-kondoo wawili; watakuwa watakatifu kwa Bwana, wawe wa huyo kuhani.
21 Nanyi mtapiga mbiu siku iyo hiyo; kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; msifanye kazi yo yote ya utumishi; ni amri ya milele katika makao yenu yote, katika vizazi vyenu vyote
22 Nanyi hapo mtakapovuna mavuno ya nchi yenu, usivune kabisa kabisa pembe za shamba lako, wala msiyakusanye masazo ya mavuno yako; utayaacha kwa ajili ya huyo maskini, na mgeni; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.
23 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
24 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, kutakuwa na kustarehe kabisa kwenu, ni ukumbusho wa kuzipiga baragumu, ni kusanyiko takatifu.
25 Msifanye kazi yo yote ya utumishi; nanyi mtasongeza sadaka kwa Bwana kwa njia ya moto.
26 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
27 Lakini siku ya kumi ya mwezi huo wa saba ni siku ya upatanisho; itakuwa kusanyiko takatifu kwenu, nanyi mtazitesa nafsi zenu; nanyi mtasongeza sadaka kwa Bwana kwa njia ya moto.
28 Nanyi msifanye kazi yo yote siku hiyo; kwa kuwa ni siku ya upatanisho, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu mbele za Bwana, Mungu wenu.
29 Kwa kuwa mtu awaye yote asiyejitesa mwenyewe siku iyo hiyo, atakatiliwa mbali na watu wake.
30 Na mtu ye yote afanyaye kazi ya namna yo yote siku hiyo, mtu huyo nitamwangamiza atoke katika watu wake.
31 Msifanye kazi ya namna yo yote; ni amri ya milele katika vizazi vyenu, katika makao yenu yote.
32 Itakuwa kwenu sabato ya kustarehe kabisa, nanyi mtazitesa nafsi zenu; siku ya kenda ya mwezi wakati wa jioni, tangu jioni hata jioni, mtaishika hiyo Sabato yenu.
33 Kisha Bwana akanena na Musa, na kumwambia,
34 Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa saba ni sikukuu ya vibanda muda wa siku saba kwa Bwana.
35 Siku ya kwanza kutakuwa na kusanyiko takatifu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
36 Mtamsongezea Bwana sadaka kwa moto siku saba; siku ya nane kutakuwa na kusanyiko takatifu kwenu; nanyi mtamsongezea Bwana sadaka kwa moto; ni mkutano wa makini huu; msifanye kazi yo yote ya utumishi.
37 Sikukuu za Bwana ni hizi, ambazo mtazipigia mbiu ya kuwa ni makusanyiko matakatifu, ili mmsongezee Bwana sadaka kwa moto, sadaka ya kuteketezwa, na sadaka ya unga, na dhabihu, na sadaka za kinywaji, kila sadaka kwa siku yake;
38 zaidi ya hizo Sabato za Bwana, na zaidi ya matoleo yenu, na zaidi ya hizo nadhiri zenu zote, na zaidi ya sadaka zenu za hiari, ambazo mwampa Bwana.
39 Lakini siku ya kumi na tano ya mwezi wa saba, hapo mtakapokuwa mmekwisha kuyachuma mavuno ya nchi, mtaweka sikukuu ya Bwana muda wa siku saba; siku ya kwanza kutakuwa na kustarehe kabisa, na siku ya nane kutakuwa na kustarehe kabisa.
40 Nanyi siku ya kwanza mtajipatia matunda ya miti mizuri, na makuti ya mitende, na matawi ya miti minene, na mierebi ya vijitoni; nanyi mtafurahi mbele za Bwana, Mungu wenu, muda wa siku saba.
41 Nanyi mtaishika kuwa sikukuu kwa Bwana muda wa siku saba katika mwaka; ni amri ya milele katika vizazi vyenu; mtaishika katika mwezi wa saba.
42 Mtakaa katika vibanda muda wa siku saba; wazalia wote wa Israeli watakaa katika vibanda;
43 ili vizazi vyenu vipate kujua ya kuwa niliwaketisha wana wa Israeli katika vibanda, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri; mimi ndimi Bwana Mungu wenu.
44 Naye Musa akawaambia wana wa Israeli hizo sikukuu za Bwana.

Je Mbona hatuwaoni Wasabato mkiiadhimisha Sabato kama ilivyoamriwa na Mungu mwenyewe hapa.
Je Hamuoni hapo mnafanana na Wakatoriki tu.
 
Back
Top Bottom