Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Utaratibu wa Sunday services ulianzishwa na mfalme wa Kirumi Constantine baada ya kuwa Mkristo. Hio ni historical fact. Na most likely utaleta ule uzushi wenu kuwa alitimiza unabii wa "kubadilisha majira na sheria", lakini there are two flaws with this reasoning:
1. Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkristo na mstari wa kubadili majira na sheria unaendana na mstari mwingine unaoeleza kuwa ".... hataabudu miungu ya baba zake...".
2. Constantine hakuanzisha au kubadilisha kalenda (ambayo interestingly Wasabato bado wanaitumia).

Nani alieacha kuabudu miungu ya baba zake na pia kuanzisha kalenda? Mtume Muhammad. Baba zake waliabudu miungu 360 akiwemo Allah na ali-attempt kubadilisha kalenda (waislamu hadi leo wana kalenda yao ambayo haiko based na kuzaliwa Yesu Kristo.

Anything else?
Nimegundua kitu. Kumbe unajua sana ila Imani yako inakutatiza. Kumbe unajua kuwa Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkiristo. Ukijua hii kitu unaweza ukawa unakaribia kuujua ukweli. Sasa unaweza eleza miungu ya baba zake ilikuwa ipi. Tusaidie hilo mkuu.(Nakuomba tena usituwekee link) Itaje tu miungu ya baba zake na Constantine ambaye umemtaja hapo juu na kutoka kwenye hiyo miungu tutajifunza kitu. Tunasubiri tu utaje miungu ya baba zake Constantine ambayo aliahidi kutokuiabudu. Kwa kizungu ''list/mention/name of gods'' Tunasubiri Mkuu wangu
 
Sasa hivi unaukana UKATOLIK hadharani? Kwakuwa wanaabudu sanamu ?

Halafu hakuna sehemu nimemtaja EGW,acha kuweweseka

Hii ni biblia nimeichambua ,

Jenga hoja

HUYO MNYAMA ANAYEZUNGUMZWA HAPO NI YULE WA UFUNUO 13

KWANZA INAONESHA HUMJUI MNYAMA NI NANI
Barikiwa mtumishi,endelea kumchambulia Neno ambalo ni ushindi,
 
Mnyama ni Ibirisi Shetani.
Kama Wakatoriki wanaabudu sanamu ya Bikira Maria kwa mfano hai.
Basi hiyo sanamu ya Bikira Maria sio Bikira Maria halisi.
Bali ni Shetani Ibirisi anajionesha katika picha ya sanamu ili aabudiwe.
Shetani huwa anatumia masanamu na huwa ndani ya hiyo misanamu.
Unapo iabudu au kuisujudia basi hapo hapo unamsujudia Shetani moja kwa moja.
Mnyama kwa tafsiri ya kikamusi ni kiumbe wa Mungu na hakifiki kwenye kutenda makosa.
Ukiuliza maana ya sanamu nyingi ni kuwa zinatumika kwa kuonesha hadhi ya miungu.
Ndio maana Mungu amekataza hata kitendo cha kuzipa heshima sanamu.
Nadhani unazikumbuka sanamu za mungu Baali.
Wabudha, Wahindi, Warastafariani wana masanamu kwenye nyumba zao za Ibada ambazo zinawakilisha miungu yao halisi.
Hivyo mnyama unayezumzia ni miungu mingine ambayo ipo kwenya ufalme wa giza.
Hapo mnyama ni Shetani Ibirisi ambaye anafanya juu chini ili aabudiwe, na kusujudiwa.
Kuna watu wanamsujudia huyo Ibirisi aliyejigeuza mnyama, na wana chapa kwenye paji zao za uso na mkononi.
Hao ndio wanaoonywa hapo kwenye kitabu cha ufunuo.
Angalia wewe unaweza kuwa mmoja wao.
Lakini ili ibilisi aweze kufanya Kazi zake sawia ni lazima amtumie mwanadamu,plz tuambie mnyama ni nani??
 
Nimegundua kitu. Kumbe unajua sana ila Imani yako inakutatiza. Kumbe unajua kuwa Constantine alikuwa mpagani kabla hajawa Mkiristo. Ukijua hii kitu unaweza ukawa unakaribia kuujua ukweli. Sasa unaweza eleza miungu ya baba zake ilikuwa ipi. Tusaidie hilo mkuu.(Nakuomba tena usituwekee link) Itaje tu miungu ya baba zake na Constantine ambaye umemtaja hapo juu na kutoka kwenye hiyo miungu tutajifunza kitu. Tunasubiri tu utaje miungu ya baba zake Constantine ambayo aliahidi kutokuiabudu. Kwa kizungu ''list/mention/name of gods'' Tunasubiri Mkuu wangu

You got it wrong. Constantine hakuwa anaabudu miungu yeyote. Ni wewe unaelazimisha Constantine awe na miungu. Yeye alikuwa mfalme kwenye jamii iliyokuwa inaabudu miungu - and again that is an historical fact. Najua utataka kusema kuwa aliabudu mungu jua etc, lakini hiyo ilikuwa ni miungu ya Wagiriki (Wayuyani) na Costanine hakuwa Mgiriki bali Mrumi.
 
Hebu tusaidie wasabato wameachaje mafundisho ya Yesu. Yaani ni fundisho lipi waliloliacha. nahisi kama huelewi maswali vizuri ila hili ni rahisi utalielewa. Taja mafundisho ya ya Yesu ambayo wasabato wameyaacha
Wewe ni Msabato au Mkristo ?
Jibu kwanza hili swali.
 
You got it wrong. Constantine hakuwa anaabudu miungu yeyote. Ni wewe unaelazimisha Constantine awe na miungu. Yeye alikuwa mfalme kwenye jamii iliyokuwa inaabudu miungu - and again that is an historical fact. Najua utataka kusema kuwa aliabudu mungu jua etc, lakini hiyo ilikuwa ni miungu ya Wagiriki (Wayuyani) na Costanine hakuwa Mgiriki bali Mrumi.
Yaani wewe unachekesha sana!! Kwa hiyo unaezakusema yeye hakuwa na miungu au mungu. Acha kujidanganya. Yeye aongoze watu wenye kuabudu miungu akiwepo mungu jua na yeye asiabudu.
Kumbuka huyu jamaa alitangaza tu ni Mkiristo lakini hakubatizwa hadi wakati anakaribia kufa ndio akabatizwa
Kwa herufi kubwa kabisa huyo uliyemtaja alikuwa miongoni mwa miungu wake
A Christian who Worshiped the Sun?
''Constantine grew up in the court of the emperor Constantine Chlorus, who was a Neoplatonist and a devotee of the Unconquered Sun. His mother, Empress Helena, was a Christian who traveled through the Middle East searching for key sites connected to Jesus. According to the ancient texts, she was the one who identified the most important places known in the Bible. Young Constantine didn't appear as a follower of his mother's religious interests. He worshiped the Sun, or was devoted to Mithraism''

By Natalia Klimczak

Hide References
References:
Ramsay MacMullen, Christianizing the Roman Empire, 1986
Charles M. Odahl, Constantine and the Christian Empire, 2004.
Michael Grant, Constantine the Great: The Man and His Times,1994.
http://www.biblicalcatholic.com/apologetics/ConstantinePaganChristian.htm
http://sententias.org/2013/05/19/was-constantine-a-christian-or-pagan/
.
 
Angalia reference zako. Source ni Msabato, should I say more? Why don't you seek an alternative source so that you make comparisons? Umeshikiwa akili kwani?
 
Ni nani walikuwepo
Matendo ya Mitume 11 : 26 inasema kuwa Wakristo wa Kwanza walijitambulisha kwa mara ya kwanza, katika Mji wa Antiokia, baada ya Yesu Kristo kupaa mbinguni.
Huko nyuma Ukristo haukuwepo kulikuwa na Uyahudi.
Sasa ninyi mnaojiita wa SDA mmetokea wapi ?
Nani aliye wanzisha na lini ?
 
Namsubiri aje hapa aseme aliambiwa na nani kuwa hao Wakristo wa kwanza walikuwa wanasali Jumamosi.
 
Kusoma biblia na kutafasri/ knowledgeable vitu viwili tofauti. Ukifanikiwa kusoma somo la ATR (African traditional religion) inaweza kukusaidia kidogo. Tatizo la wasabato badala ya kuhuburi neno/ injili wao wako busy kukashifu imani za wengine. Na ukiona dhehebu/ mtu fulani anakashifu imani ya mwingine tambua mapema ana taarifa za kutosha na nirahisi kurubuniwa.
 
acha wizu wa kiboya wewe.. Pambaneni na hali yenu... Hao mnaoshinda kwenye mitandao kuwachafu, ndio wanabarikiwa kila siku na mwenyezi Mungu, nyie mnabaki makapuku na majungu yenu..! Pambavu kabisa wewe.
Povu la nini?

Anayewachafua basi wakwanza ni Mungu mwenyewe

Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa, kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele". ISAYA 24:3-5.

NDIO MAANA MNAHANGAIKA SASA HIVI NA USHOGA , NA HAMTAFANIKIWA MAANA MMEZIASI SHERIA NA MMEIBADILI AMRI YA MUNGU

MUNGU KASEMA ikumbuke siku ya sabato..

PAPA KASEMA shika kitakatifu siku ya DOMINICA
FB_IMG_1541729153307.jpeg
 
Wewe ni Msabato au Mkristo ?
Jibu kwanza hili swali.
Hivi wewe unadhani kuabudu ibada ya jumapili

Kufanya ibada za wafu

Kunywa pombe usilewe

Kufanya siku kuu za kipagani kama x mass ,easter

Kuabudu masanamu

Kupata komunyo

Na mapokeo mengine ya ROMA

ndio UKRISTO?

HEBU NIAMBIE UKRISTO NI NINI?
FB_IMG_1541730207584.jpeg
FB_IMG_1541729067752.jpeg
FB_IMG_1541730363955.jpeg
 
Back
Top Bottom