Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Kwakweli maswali yamekushinda ,pole sana mimi nimefatilia toka mwanzo labda utajibu ,inaonesha hujui kitu, pole sana

Nime-attach kitabu kwenye moja ya posts za huyo aliedai nakimbia maswali. Download and read it then come back here so that I respond to whatever question you may have.
 
Hayo maneno hata manabii waliojaa hapa tz wanasema hivo

Njoo hapa nipinge mada yangu kwa hoja , wapi nimekosea , na kipi ni sahihi,

Sio kukariri maneno na kutoa lawama ,haisadii

IMG_2384.JPG

Mkuu kwa kutulia kabisa naomba usome hayo maandiko na uniambie kweli wewe umekutana na YESU
Maana naona mpaka sasa usomapo agano la kale ule utaji wakukalia moyoni nawe usipate kujua kuwa YESU KRISTO huo utaji huondolewa
1cor 3:16
 
Attachments

  • IMG_2384.JPG
    IMG_2384.JPG
    276.5 KB · Views: 46
View attachment 924274

Mkuu kwa kutulia kabisa naomba usome hayo maandiko na uniambie kweli wewe umekutana na YESU
Maana naona mpaka sasa usomapo agano la kale ule utaji wakukalia moyoni nawe usipate kujua kuwa YESU KRISTO huo utaji huondolewa
1cor 3:16
Hizo aya ndio zimekuambia AMRI KUMI zimeishia msalaban? Mbona mnabaka maandiko hivo?
 
Nime-attach kitabu kwenye moja ya posts za huyo aliedai nakimbia maswali. Download and read it then come back here so that I respond to whatever question you may have.
Acha bla blaa ,mjadala hauwez kwenda kwa staili hiyo, umeambiwa jibu maswali unaleta PDF, kwahiyo tufanye mjadala kwa kutumiana pdf?

Wewe kama majibu yapo kwenye hiyo pdf , yanyofoe au copy then paste hapa

Kujibu maswali,
ACHA KUKIMBIA KIMBIA
 
Siku kanisa katoliki likiamru hayo uliyoyaandika nitaamini ulichoandika,lkn kwa sababu sijaona uwepo wa mambo uliyoyaandika ,siwezi kuamini kabisa maana chuki ya wasabato kwa kanisa hili katoliki imejaa kibubu...
Acheni chuki zisizo na msingi na badala yake mjikite ktk kupeleka roho za watu mbinguni.
Eti chuki ,wewe unataka uthibitisho gani?

Kama kuua watakatifu limeua zaid ya million 100, hata papa alijitokeza kuomba msamaha

Kama kubadili amri na majira limebadili, amri kumi wamezichakachua, na majira mpaka sasa siku inaanzia saa 6 usiku ,tofaut na maandiko

Kama kukufuru wamekufuru, PAPA Anajiita jina la Mungu, BABA MTAKATIFU

Kama unabii usemavyo, Mnyama anakaa kwenye vilima 7, ni kweli mji wa vatican upo juu ya vilima 7 ,ukitaka utatajiwa

Kama upagan wote ,umejaa roma tunauona

WEWE UNATAKA USHAHID GANI?

ASILIMIA 99 UNABII UMETIMIA JUU YA ROMA,

KAMA CHUKI BASI ANAZO MUNGU ALIYETOA UNABII ,

IMG-20181106-WA0031.jpeg
FB_IMG_1540964215006.jpeg
FB_IMG_1540840391863.jpeg
FB_IMG_1540769453468.jpeg
FB_IMG_1540027409006.jpeg
tapatalk_1539803186523.jpeg
 
Umehama Topic na kuingia kusikojulikana

Alama ya mnyama

Sabato ndio mhuri
Tuchague lipi sasa
Usikurupuke,

Mwisho nimeonesha Alama ya mnyama ni ibada ya jumapili

Alama ya Mungu ni ibada ya sabato
 
Acha bla blaa ,mjadala hauwez kwenda kwa staili hiyo, umeambiwa jibu maswali unaleta PDF, kwahiyo tufanye mjadala kwa kutumiana pdf?

Wewe kama majibu yapo kwenye hiyo pdf , yanyofoe au copy then paste hapa

Kujibu maswali,
ACHA KUKIMBIA KIMBIA

Hata nikifanya unachokitaka NI OBVIOUS KUWA HUTAELEWA. Am done with you - seems we are from different levels of academic intelligence.
 
Hahahaaaa wewe jamaa umenifurahisha , hebu nyofoa majibu ulete hapa,
 
Hata nikifanya unachokitaka NI OBVIOUS KUWA HUTAELEWA. Am done with you - seems we are from different levels of academic intelligence.
Mkuu kubali ngoma ngumu, hautachekwa,
Mimi kuna mtu tulikuwa tunafatilia nae huu mjadala tulibet ,mimi nimeweka elfu kumi, nikabet hutaweza kujibu swali hata 1,

Nakweli ,nimekula hela, msichojua ni kuwa wasabato hawabahatishagi , huu unabii ni wasabato pekee wanaouelezea kwa ufasaha na evidence, japo mimi kuna mambo napingana nao wasabato, ila nilikuwa na uhakika hutaweza kujibu, sio wewe tu hata aje nani ,mimi nipo tayari kuweka dau, Mnyama ni romani catholic au upapa , na alama yake ni jumapili, ukibisha njoo na ushahidi kwa kujibu hayo maswali, sio kupachika PDF .
 
Don't make me laugh!
Mtu mwingine anaweza akasema mnyama ni magufuli na alama ni jembe na nyundo. Hatakuwa amedai tofauti na wewe ulivyofanya hapa.
The key here ni USHAHIDI USIO NA SHAKA. Unao??? Ulete hapa tuuone. Mimi nimekupa link na kitabu, hutaki hata kuusoma ukatoa makosa yaliyomo. Unataka majibu ya aina gani, ramli?

BTW: Jumapili inakaaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu? Sikutegemea kusoma kitu ridiculous kama hiki tena kutoka kwa mtu anaejisifia kujua hivi unavyojisifia.

Soma hapa (Ufunuo 13: 16 - 18) halafu niambie Jumapili ina-fit vipi kuwa alama inayoongelewa hapa.

16 Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, 17ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
 
Usikurupuke,

Mwisho nimeonesha Alama ya mnyama ni ibada ya jumapili

Alama ya Mungu ni ibada ya sabato

Ibada ya Jumapili inawekwaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu?

Kuna kipindi huwa najiuliza kama Wasabato huwa wanasoma Biblia tunayosoma sisi wengine! You guys; have you been put under a delusion?
 
Jibu maswali uliyoulizwa, acha kutafuta vichaka,

Unajibu maswali kwa kuleta link?una akili kweli wewe
 
Ibada ya Jumapili inawekwaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu?

Kuna kipindi huwa najiuliza kama Wasabato huwa wanasoma Biblia tunayosoma sisi wengine! You guys; have you been put under a delusion?
Mtoa mada kaeleza vzr, wewe kwa akili yako unadhani , kuwekwa kwenye paji na mkono, ni kupigwa Alama ya moto?

Hapo ni kuhusu IBADA na mtoa mada kaeleza vzr, Unataka kusema Kama mtu alikuwa mwema ,amefata maagizo ya Mungu, Akija akakamatwa akapigwa hizo chip, tayar huyo ni wa motoni? Inaingia akili kweli?

UMEULIZWA MASWALI ,hutaki kujibu unaleta ngonjera,
 
Hizo aya ndio zimekuambia AMRI KUMI zimeishia msalaban? Mbona mnabaka maandiko hivo?

Ndugu yangu nakuona wewe ni mjuzi sana wa maandiko katika ufahamu wa mwili
Kwasababu mimi si mtoto tena katika kumjua Yesu basi naishia hapo maana bado chakula kigumu hukiwezi
 
Don't make me laugh!
Mtu mwingine anaweza akasema mnyama ni magufuli na alama ni jembe na nyundo. Hatakuwa amedai tofauti na wewe ulivyofanya hapa.
The key here ni USHAHIDI USIO NA SHAKA. Unao??? Ulete hapa tuuone. Mimi nimekupa link na kitabu, hutaki hata kuusoma ukatoa makosa yaliyomo. Unataka majibu ya aina gani, ramli?

BTW: Jumapili inakaaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu? Sikutegemea kusoma kitu ridiculous kama hiki tena kutoka kwa mtu anaejisifia kujua hivi unavyojisifia.

Soma hapa (Ufunuo 13: 16 - 18) halafu niambie Jumapili ina-fit vipi kuwa alama inayoongelewa hapa.

16 Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, 17ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
Copy na kupaste , kwenye hiyo Pdf yako, ulete majibu utuambie

Mnyama ni nani

Pembe ni nani

Hizo pembe kumi ni zipi

Lin uislamu ulifanya makufuru

Lin uislamu ulikaa juu ya pembe 7 na hizo pembe ni nini?

Lin uislamu ulibadil amri za Mungu

NJOO UTUELEZE UJIBU MASWALI HAYA ,
 
Mtoa mada kaeleza vzr, wewe kwa akili yako unadhani , kuwekwa kwenye paji na mkono, ni kupigwa Alama ya moto?

Hapo ni kuhusu IBADA na mtoa mada kaeleza vzr, Unataka kusema Kama mtu alikuwa mwema ,amefata maagizo ya Mungu, Akija akakamatwa akapigwa hizo chip, tayar huyo ni wa motoni? Inaingia akili kweli?

UMEULIZWA MASWALI ,hutaki kujibu unaleta ngonjera,

Parece que estoy comunicandome con un loco!
 
I guess any intelligent person will understand what is going on here.
Hahahahaaaaa Jibu maswali, unajiaibisha tu,nyie ndio wadandiaji wa mada tu, kazi kupinga hamna evidence, kweli wewe una akili timamu, unaulizwa swali huleti majibu, una attach PDF unasema majibu yapo humo, sisi hatujayaona

Copy and paste lete hapa kama kweli wewe mwanaume uliyekamilika unayejua unabii ni nini
Aya 1 tu umekimbia
 
Back
Top Bottom