Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Ukweli kuhusu alama ya mnyama

Kanisa katoliki hujiita mama wamakanisa. Katika barua waliotumiwa maaskofu wote wa ulimwengu, Cardinal Joseph Ratzinger aliandika hivi: "Yapasa izidi kueleweka waziwazi ya kwamba kanisa moja lilio takatifu, la kikatoliki na la mitume linalozaa dunia nzima, hilo sio dada bali ni mama wa makanisa yote" (Daily telegraph, September 4, 2000).

Matangazo ya aina hii huchangia kuhakikisha ya kwamba kanisa katoliki ndilo linalo utimiza unabii wa Ufunuo 17:5.
FB_IMG_1540793527053.jpeg
 
Copy na kupaste , kwenye hiyo Pdf yako, ulete majibu utuambie

Mnyama ni nani

Pembe ni nani

Hizo pembe kumi ni zipi

Lin uislamu ulifanya makufuru

Lin uislamu ulikaa juu ya pembe 7 na hizo pembe ni nini?

Lin uislamu ulibadil amri za Mungu

NJOO UTUELEZE UJIBU MASWALI HAYA ,
Hakuna mwenye ubavu wakujibu hayo maswali, maana watakamatwa kwa uongo
 
Ndugu yangu nakuona wewe ni mjuzi sana wa maandiko katika ufahamu wa mwili
Kwasababu mimi si mtoto tena katika kumjua Yesu basi naishia hapo maana bado chakula kigumu hukiwezi
Wewe unayeyajua maandiko kwa ujuz wa roho

Njoo utujuze hapa roho kakufunulia vipi, eti mnyama wa ufunuo 13 ni nani? Ukishindwa basi huyo ni roho mchafu
 
Don't make me laugh!
Mtu mwingine anaweza akasema mnyama ni magufuli na alama ni jembe na nyundo. Hatakuwa amedai tofauti na wewe ulivyofanya hapa.
The key here ni USHAHIDI USIO NA SHAKA. Unao??? Ulete hapa tuuone. Mimi nimekupa link na kitabu, hutaki hata kuusoma ukatoa makosa yaliyomo. Unataka majibu ya aina gani, ramli?

BTW: Jumapili inakaaje kwenye paji la uso au mkono wa mtu? Sikutegemea kusoma kitu ridiculous kama hiki tena kutoka kwa mtu anaejisifia kujua hivi unavyojisifia.

Soma hapa (Ufunuo 13: 16 - 18) halafu niambie Jumapili ina-fit vipi kuwa alama inayoongelewa hapa.

16 Pia alimlazimisha kila mmoja, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, mtu huru na mtumwa, atiwe chapa kwenye mkono wake wa kuume au kwenye kipaji chake cha uso, 17ili kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza isipokuwa amekuwa na hiyo chapa, ambayo ni jina la huyo mnyama au tarakimu za jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.
Ningeshangaa sana ,ujibu hayo maswali,
 
Katika Dan. 7:25 tunasoma “naye atawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu”,

Upapa uliua watakatifu takribani milioni 50 kwa kiwango cha chini,hakuna taasisi iliyowahi kuua watu wengi kiasi hicho

maana yake ni mateso makubwa ya wakristo. Yeyote aliye na ufahamu katika historia, atafahamu ya kwamba maelezo haya yanaulenga Upapa. Mateso makali dhidi ya wakristo wakati wa zama za giza (Kuwahoji watu kuhusu imani yao, kuwachoma wazushi, vita vya kidini) haya yote yanajulikana na yamo katika kurasa za historia.
FB_IMG_1541586001307.jpeg
FB_IMG_1540964215006.jpeg
 
MNYAMA WA 666/
PEMBE NDOGO:
MNYAMA = Ufalme, Serikali, Nguvu ya kisiasa
(utawala) - Daniali 7:23
PEMBE = Mfalme au Ufalme - Danieli 7:24; 8:5, 21,
22; Zekaria 1:18, 19; Ufunuo 17:12
“MNYAMA“ na "PEMBE NDOGO"
1) “Pembe ndogo" ana “macho ya mwanadamu."
Danieli 7:8.
... “Mnyama" ana “hesabu ya kibinadamu." Ufunuo
13:18.
2) “Pembe ndogo" “anawadhoofisha watakatifu
wake Aliye juu." Danieli 7:35.
... “Mnyama" pia “anafanya vita na watakatifu."
Ufunuo 13:7.
3) “Pembe ndogo" hunena " maneno makuu
kinyume chake Aliye juu." Danieli 7:25.
... “Mnyama" pia “Akafunua kinywa chake
amtukane Mungu." Ufunuo 13:6.
4) “Pembe ndogo" aliibuka kati ya pembe kumi
(Majimbo 10 ya Rumi.) Danieli 7:8.
... “Mnyama“ akapokea “nguvu, kiti cha enzi, na
uwezo mwingi" kutoka Rumi
... (baada ya kuundwa kwa majimbo 10). Ufunuo
13:2.
SIFA ZA MNYAMA WA 666/ PEMBE NDOGO:
Zipo sifa nyingi za kumtambulisha, hebu na
tuangalie baadhi ya sifa hizo:
1. Aliibuka kutoka kwa mnyama wa nne (Danieli
7:7,8)
2. Aliibuka kati ya pembe kumi (Danieli 7:8)
3. Aliibuka baada ya pembe kumi (Danieli 7:24)
4. Alikuwa tofauti/mbali na wale wa kwanza (Dan.
7:24)
5. Alikuwa hodari kuliko wenzake (Danieli 7:20)
6. Aliangusha falme tatu (Danieli 7:8,20).
Heruli A.D.493, Vandals A.D.534 na Ostrogoths
A.D. 538.
7. Alikuwa na macho kama ya mwanadamu na
alinena maneno makuu kinyume chake Aliye juu
(Danieli 7:8,25; Ufunuo 13:5).
“Papa si mwakilishi tu wa Kristo Yesu, bali ni Yesu
Kristo aliyefichwa ndani ya vazi la mwili.” The
Catholic National, Julai, 1895.
Hapa duniani tunashikilia pahali pa Mungu Aliye
Juu (Nafasi ya Mungu Mwenyezi). Papa Leo XIII,
Encyclopedia, Juni 20, 1894).
Lakini Petro akamuinua, akasema, Simama, mimi
nami ni mwanadamu; Matendo 10:25,26.
Anayestahili kupigiwa magoti (kusujudiwa) ni
Mungu pekee wala siyo mwanadamu. Soma pia
Ufunuo 19:10.
Luka 5:21; 1Timotheo 2:5
8. Kuwadhoofisha watakatifu (Danieli 7:25; Ufunuo
13:7)
Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao
wazishikao amri za Mungu, na imani ya YESU.
Ufunuo 14:12
Upapa uliwatesa na kuwaangamiza wale wote
waliokuwa kinyume nao, historia iko wazi kabisa
juu ya hili na hata Papa Yohana Paulo II aliwahi
kuomba msamaha kwa niaba ya kanisa la Rumi
(Katoliki) kwa mauaji na mateso yaliyofanywa na
kanisa.
9. Kubadili majira na sheria (Danieli 7:25)
“Jumapili ni amri ya Kikatoliki, na uabuduaji wake
waweza kuhifadhiwa tu chini ya misingi ya
kikatoliki…. toka mwanzo hadi mwisho wa
maandiko hapana kurasa hata moja inayoidhinisha
badiliko hili la ibada ya kila juma toka siku ya
mwisho kwenda ya kwanza.” Chapa ya Katolika
Sydney, Australia, Agosti 1900.
“Kanisa Katoliki linadai kwamba badiliko
walilifanya wao….na badiliko hilo ni alama ya
madaraka yake ya kanisa na mamlaka waliyo nayo
katika masuala ya kidini.” Letter, Oct. 28, 1895,
from C. F. Thomas
“Jumapili ni alama yetu ya madaraka…. Kanisa liko
juu ya Biblia, na huku kuhamishwa kwa utunzaji
wa Sabato ni kizibiti cha ukweli huo.” Catholic
Record, September 1, 1923.
“Papa ana mamlaka ya kubadilisha nyakati,
kubadili sheria, na kutupilia mbali vitu vyote, hata
mafundisho ya Kristo.” Decretal De Translat.
Espiscop. Cap.
“The Pope can modify divine law.” Prompta
Bibliotheca, Papa, art. 2.
Amebadili amri kumi za MUNGU – Amri ya pili
imetolewa na amri ya kumi imegawanywa ili
kutimiza idadi.
“Labda jambo la kijasiri la mabadiliko yaliyofanywa
na kanisa yalitokea katika karne ya kwanza. Siku
takatifu, Sabato, zilibadilishwa kutoka jumamosi
kwenda jumapili….sio kwa maagizo yoyote
yaliyoandikwa katika Biblia, lakini kwa kanisa
kujisikia lina mamlaka…. watu wanaofikiri kwamba
Biblia ndiyo mamlaka ya pekee, inabidi wawe Wa
Sabato, watunze Jumamosi.” Saint Catherine
Catholic Church, Sentinel, May 21, 1995.
10. Alitawala kwa wakati, nyakati mbili na nusu
wakati, au miezi 42 (Danieli 7:25; Ufunuo 13:5).
Upapa ulipata nguvu nyingi sana mwaka A.D
538-1798, uliwatesa na kuwaangamiza wale wote
waliokuwa kinyume nao.
“Vigilus…alikuwa Papa mwaka 538 BK chini ya
ulinzi wa majeshi ya Belisarius.” History of the
Christian Church, vol. 3, p.271
Miaka 1260: 538 BK 1798 BK
Kanuni ya siku = mwaka (Kiunabii) soma Ezra 4:6;
Hesabu 14:34; Ezekieli 4:6.
11. Alipata jeraha la mauti na jeraha la mauti
likapona (Ufunuo 13:3)
“Berthier entered Rome on the Tenth of February,
1798, and proclaimed a republic…. the Pope and
the Papacy was dead.” The Modern Papacy, Rev.
Joseph Rickaby. S.J… p. 1, Catholic Truth Society,
London
“Katika mwaka wa 1798 yeye (Berthier)…aliingia
Roma, AKAFUTA SERIKALI YA PAPA akasimamisha
utawala usio wa kidini.” The Encyclopedia
Americana, 1941 edition
POPE PIUS VI
Pontificated:
- 15 February 1775 – 29 August 1799
Died on 29th August, 1799
Condemned the French Revolution and was
expelled from the Papal States by French troops
from 1798 until his death.
Upapa ulirejeshewa mamlaka yake uliyokuwa
umenyang’anywa (10.02.1798), baada ya
kusainiwa mkataba wa Lateran (The Lateran
Treaty) uliosainiwa tarehe 11.02.1929 kati ya
PIETRO Cardinal GASPARRI [Kwa niaba ya Papa
PIUS XI (Papa PIUS Undecimus)] na BENITO
MUSSOLINI. Ingia kwenye mtandao utaupata huo
mkataba.
12. Jina lake huleta hesabu ya 666 (Ufunuo 13:18)
“What are the letters inscribed in the pope’s crown,
and what do they signify if anything?”
“The letters inscribed in the Pope’s mitre are these:
VICARIUS FILII DEI, which is the Latin for Vicar of
the Son of God.” Our Sunday Visitor, April 18, 1915
V . . 5 F . . 0 D . . 500
I . . 1 I . . 1 E . . 0
C . . 100 L . . 50 I . . 1
A . . 0 I . . 1
R . . 0 I . . 1 TOTAL 501
I . . 1
U . . 5 TOTAL 53
S . . 0
TOTAL 112
GRAND TOTAL 112 + 53+ 501 = 666
13. Yeye ni mama wa makahaba (Ufunuo 17:5 )
Woman, Pure - True Church - Jeremiah 6:2; 2
Corinthians 11:2; Ephesians 5:23-27
Woman, Corrupt - Apostate church - Ezk.
16:15-58; 23:2-21; Hos. 2:5; 3:1; Rev. 14:4
Ukahaba unaosemwa hapa ni ukahaba wa kiroho,
yaani kutofuata maagizo na mafundisho ya Kristo
aliye kichwa cha kanisa (mwanamke).
Kanisa Mama: “Lakini kwa vile Jumamosi, si
Jumapili, ndiyo imetamkwa katika Biblia, ni jambo
la kujiuliza kwamba ambao si wakatoliki
wanaosema wanachukua dini yao moja kwa moja
ndani ya Biblia na sio kutoka kwa kanisa
wanaitunza Jumapili badala ya Jumamosi? Ndiyo
kwa kweli kuna utata, lakini mabadiliko yalifanywa
karne ya 15 kabla uprotestanti haujazaliwa….
Wameendelea kutunza desturi hata kama ni juu ya
mamlaka ya kanisa katoliki na siyo katika Biblia.
Kule kutunza Jumapili kunabaki kukumbushia
kanisa Mama ambalo makanisa yasiyo ya kikatoliki
yalitoka – kama mvulana anayekimbia kutoka kwa
mama yake lakini bado mfukoni ana picha ya
mama yake au kifungio cha nywele zake.” The
Faith of Millions, Rev. John O’Brian, pp. 421,422
14. Ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao
wakaao juu ya nchi wamelevywa kwa mvinyo wa
uasherati wake (Ufunuo 17:2 )
Ufunuo 17:18
Mvinyo wa uasherati – mafundisho ya uongo
yaliyo kinyume na mafundisho ya Kristo, Matendo
20:28-30; Warumi 16:17-20
FB_IMG_1541586090838.jpeg
 
Ondokeni, mwende zenu; maana hapa sipo mahali pa raha yenu; kwa sababu ya uchafu mtaangamizwa, naam, kwa maangamizo mazito sana.” Mika 2:10.

“Kimbieni kutoka kati yake Babeli, kila mtu na ajiokoe nafsi yake; msikatiliwe mbali katika uovu...Enyi watu wangu; tokeni katikati yake, mkajiokoe nafsi zenu na hasira kali ya BWANA, kila mmoja wenu.” Yeremia 51:6, 45.

FB_IMG_1540964219457.jpeg
 
Mbona nimeeleza muhuri unatakiwa uweje ,soma vizuri maana nimeshalieleza kwenye uzi

Umesema Mungu atatia sheria yake moyoni,

Kwanza inaonesha hujasoma uzi ukauelewa, umeusoma haraka haraka,

Sijautumia huo mstari kuonesha ni sabato tu, nimeutumia huo mstari kuonesha MUHURI UNAPOWEKWA KWENYE AKILI/MOYON MUNGU ALIMAANISHA NINI, soma tena ,

Umezungumzia SABATO KUWA ZIPO NGAPI, sabato mpaka sasa IMEBAKI MOJA TU, AMBAYO IPO KWENYE AMRI KUMI,

Kipindi cha wana israeli sabato zilikuwepo nyingi , hizo sabato ziliishia msalabani, ndio zile ambazo zimesemwa wakolosai 2:16

Sabbaths days

Umesema nimenukuu kutoka chanzo cha kikatoliki, ndio nimenukuu kuthibitisha ALAMA.YA MNYAMA NI IBADA YA JUMAPILI,

Ukitaka ushahidi , ingia google angalia record ya hiyo makala utaikuta hiyo QUOTATION, tena utazipata nyingi,

SABATO NI TAKATIFU NA MUNGU AMESHAITAKASA ,

ILA UNAPOIVUNJA AU KUFANYA UJUAYO WEWE, UNAKUWA UMEINAJISI ,

NDIO MAANA MUNGU ANATUASA TUITAKASE

kupitia nabii isaya alisema tena

Isaya 58:13

If you keep your feet from breaking the Sabbath and from doing as you please on my holy day, if you call the Sabbath a delight and the LORD's holy day honorable, and if you honor it by not going your own way and not doing as you please or speaking idle words,

HAYA WEWE MUNGU ALIKUUMBA MTAKATIFU, ILA UNAPOFANYA DHAMBI UNAKUWA NAJISI

SIMPLE LIKE THAT..
Mkuu nimeomba maelezo machache kwa ajili ya kujifunza. Na hii ni baada ya kuusoma uzi wako vizuri kabisa. Ninakuomba kwa nia njema kabisa ili nijifunze. Ila kama niliyoomba yapo nje ya uwezo wako basi nakutakia siku njema.
 
Alama ya mnyama = jumapili
Je mnyama mwenyewe Unamfahamu?
MNYAMA WA 666/
PEMBE NDOGO:
MNYAMA = Ufalme, Serikali, Nguvu ya kisiasa
(utawala) - Daniali 7:23
PEMBE = Mfalme au Ufalme - Danieli 7:24; 8:5, 21,
22; Zekaria 1:18, 19; Ufunuo 17:12
“MNYAMA“ na "PEMBE NDOGO"
1) “Pembe ndogo" ana “macho ya mwanadamu."
Danieli 7:8.
... “Mnyama" ana “hesabu ya kibinadamu." Ufunuo
13:18.
2) “Pembe ndogo" “anawadhoofisha watakatifu
wake Aliye juu." Danieli 7:35.
... “Mnyama" pia “anafanya vita na watakatifu."
Ufunuo 13:7.
3) “Pembe ndogo" hunena " maneno makuu
kinyume chake Aliye juu." Danieli 7:25.
... “Mnyama" pia “Akafunua kinywa chake
amtukane Mungu." Ufunuo 13:6.
4) “Pembe ndogo" aliibuka kati ya pembe kumi
(Majimbo 10 ya Rumi.) Danieli 7:8.
... “Mnyama“ akapokea “nguvu, kiti cha enzi, na
uwezo mwingi" kutoka Rumi
... (baada ya kuundwa kwa majimbo 10). Ufunuo
13:2.
SIFA ZA MNYAMA WA 666/ PEMBE NDOGO:
Zipo sifa nyingi za kumtambulisha, hebu na
tuangalie baadhi ya sifa hizo:
1. Aliibuka kutoka kwa mnyama wa nne (Danieli
7:7,8)
2. Aliibuka kati ya pembe kumi (Danieli 7:8)
3. Aliibuka baada ya pembe kumi (Danieli 7:24)
4. Alikuwa tofauti/mbali na wale wa kwanza (Dan.
7:24)
5. Alikuwa hodari kuliko wenzake (Danieli 7:20)
6. Aliangusha falme tatu (Danieli 7:8,20).
Heruli A.D.493, Vandals A.D.534 na Ostrogoths
A.D. 538.
7. Alikuwa na macho kama ya mwanadamu na
alinena maneno makuu kinyume chake Aliye juu
(Danieli 7:8,25; Ufunuo 13:5).
“Papa si mwakilishi tu wa Kristo Yesu, bali ni Yesu
Kristo aliyefichwa ndani ya vazi la mwili.” The
Catholic National, Julai, 1895.
Hapa duniani tunashikilia pahali pa Mungu Aliye
Juu (Nafasi ya Mungu Mwenyezi). Papa Leo XIII,
Encyclopedia, Juni 20, 1894).
Lakini Petro akamuinua, akasema, Simama, mimi
nami ni mwanadamu; Matendo 10:25,26.
Anayestahili kupigiwa magoti (kusujudiwa) ni
Mungu pekee wala siyo mwanadamu. Soma pia
Ufunuo 19:10.
Luka 5:21; 1Timotheo 2:5
8. Kuwadhoofisha watakatifu (Danieli 7:25; Ufunuo
13:7)
Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao
wazishikao amri za Mungu, na imani ya YESU.
Ufunuo 14:12
Upapa uliwatesa na kuwaangamiza wale wote
waliokuwa kinyume nao, historia iko wazi kabisa
juu ya hili na hata Papa Yohana Paulo II aliwahi
kuomba msamaha kwa niaba ya kanisa la Rumi
(Katoliki) kwa mauaji na mateso yaliyofanywa na
kanisa.
9. Kubadili majira na sheria (Danieli 7:25)
“Jumapili ni amri ya Kikatoliki, na uabuduaji wake
waweza kuhifadhiwa tu chini ya misingi ya
kikatoliki…. toka mwanzo hadi mwisho wa
maandiko hapana kurasa hata moja inayoidhinisha
badiliko hili la ibada ya kila juma toka siku ya
mwisho kwenda ya kwanza.” Chapa ya Katolika
Sydney, Australia, Agosti 1900.
“Kanisa Katoliki linadai kwamba badiliko
walilifanya wao….na badiliko hilo ni alama ya
madaraka yake ya kanisa na mamlaka waliyo nayo
katika masuala ya kidini.” Letter, Oct. 28, 1895,
from C. F. Thomas
“Jumapili ni alama yetu ya madaraka…. Kanisa liko
juu ya Biblia, na huku kuhamishwa kwa utunzaji
wa Sabato ni kizibiti cha ukweli huo.” Catholic
Record, September 1, 1923.
“Papa ana mamlaka ya kubadilisha nyakati,
kubadili sheria, na kutupilia mbali vitu vyote, hata
mafundisho ya Kristo.” Decretal De Translat.
Espiscop. Cap.
“The Pope can modify divine law.” Prompta
Bibliotheca, Papa, art. 2.
Amebadili amri kumi za MUNGU – Amri ya pili
imetolewa na amri ya kumi imegawanywa ili
kutimiza idadi.
“Labda jambo la kijasiri la mabadiliko yaliyofanywa
na kanisa yalitokea katika karne ya kwanza. Siku
takatifu, Sabato, zilibadilishwa kutoka jumamosi
kwenda jumapili….sio kwa maagizo yoyote
yaliyoandikwa katika Biblia, lakini kwa kanisa
kujisikia lina mamlaka…. watu wanaofikiri kwamba
Biblia ndiyo mamlaka ya pekee, inabidi wawe Wa
Sabato, watunze Jumamosi.” Saint Catherine
Catholic Church, Sentinel, May 21, 1995.
10. Alitawala kwa wakati, nyakati mbili na nusu
wakati, au miezi 42 (Danieli 7:25; Ufunuo 13:5).
Upapa ulipata nguvu nyingi sana mwaka A.D
538-1798, uliwatesa na kuwaangamiza wale wote
waliokuwa kinyume nao.
“Vigilus…alikuwa Papa mwaka 538 BK chini ya
ulinzi wa majeshi ya Belisarius.” History of the
Christian Church, vol. 3, p.271
Miaka 1260: 538 BK 1798 BK
Kanuni ya siku = mwaka (Kiunabii) soma Ezra 4:6;
Hesabu 14:34; Ezekieli 4:6.
11. Alipata jeraha la mauti na jeraha la mauti
likapona (Ufunuo 13:3)
“Berthier entered Rome on the Tenth of February,
1798, and proclaimed a republic…. the Pope and
the Papacy was dead.” The Modern Papacy, Rev.
Joseph Rickaby. S.J… p. 1, Catholic Truth Society,
London
“Katika mwaka wa 1798 yeye (Berthier)…aliingia
Roma, AKAFUTA SERIKALI YA PAPA akasimamisha
utawala usio wa kidini.” The Encyclopedia
Americana, 1941 edition
POPE PIUS VI
Pontificated:
- 15 February 1775 – 29 August 1799
Died on 29th August, 1799
Condemned the French Revolution and was
expelled from the Papal States by French troops
from 1798 until his death.
Upapa ulirejeshewa mamlaka yake uliyokuwa
umenyang’anywa (10.02.1798), baada ya
kusainiwa mkataba wa Lateran (The Lateran
Treaty) uliosainiwa tarehe 11.02.1929 kati ya
PIETRO Cardinal GASPARRI [Kwa niaba ya Papa
PIUS XI (Papa PIUS Undecimus)] na BENITO
MUSSOLINI. Ingia kwenye mtandao utaupata huo
mkataba.
12. Jina lake huleta hesabu ya 666 (Ufunuo 13:18)
“What are the letters inscribed in the pope’s crown,
and what do they signify if anything?”
“The letters inscribed in the Pope’s mitre are these:
VICARIUS FILII DEI, which is the Latin for Vicar of
the Son of God.” Our Sunday Visitor, April 18, 1915
V . . 5 F . . 0 D . . 500
I . . 1 I . . 1 E . . 0
C . . 100 L . . 50 I . . 1
A . . 0 I . . 1
R . . 0 I . . 1 TOTAL 501
I . . 1
U . . 5 TOTAL 53
S . . 0
TOTAL 112
GRAND TOTAL 112 + 53+ 501 = 666
13. Yeye ni mama wa makahaba (Ufunuo 17:5 )
Woman, Pure - True Church - Jeremiah 6:2; 2
Corinthians 11:2; Ephesians 5:23-27
Woman, Corrupt - Apostate church - Ezk.
16:15-58; 23:2-21; Hos. 2:5; 3:1; Rev. 14:4
Ukahaba unaosemwa hapa ni ukahaba wa kiroho,
yaani kutofuata maagizo na mafundisho ya Kristo
aliye kichwa cha kanisa (mwanamke).
Kanisa Mama: “Lakini kwa vile Jumamosi, si
Jumapili, ndiyo imetamkwa katika Biblia, ni jambo
la kujiuliza kwamba ambao si wakatoliki
wanaosema wanachukua dini yao moja kwa moja
ndani ya Biblia na sio kutoka kwa kanisa
wanaitunza Jumapili badala ya Jumamosi? Ndiyo
kwa kweli kuna utata, lakini mabadiliko yalifanywa
karne ya 15 kabla uprotestanti haujazaliwa….
Wameendelea kutunza desturi hata kama ni juu ya
mamlaka ya kanisa katoliki na siyo katika Biblia.
Kule kutunza Jumapili kunabaki kukumbushia
kanisa Mama ambalo makanisa yasiyo ya kikatoliki
yalitoka – kama mvulana anayekimbia kutoka kwa
mama yake lakini bado mfukoni ana picha ya
mama yake au kifungio cha nywele zake.” The
Faith of Millions, Rev. John O’Brian, pp. 421,422
14. Ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao
wakaao juu ya nchi wamelevywa kwa mvinyo wa
uasherati wake (Ufunuo 17:2 )
Ufunuo 17:18
Mvinyo wa uasherati – mafundisho ya uongo
yaliyo kinyume na mafundisho ya Kristo, Matendo
20:28-30; Warumi 16:17-20
 
Kwahiyo wewe Islam unaupenda sana
Naupenda kivipi, uislamu umeelezwa vzr na yohana ,katika ufunuo 9

Uislamu umeanzishwa na roman catholic ,

Mtoto wa muhamad aliyeitwa fatma alifia ureno,
Leo hii wakatolik wanaenda ureno kuhiji kuhusu huyo fatma , wanadai aliwatokea watoto watatu, wanadai ni bikira maria ,

Ukitaka ushahidi jinsi roma ilivyoanzisha uislamu nitakupa
 
Wewe unayeyajua maandiko kwa ujuz wa roho

Njoo utujuze hapa roho kakufunulia vipi, eti mnyama wa ufunuo 13 ni nani? Ukishindwa basi huyo ni roho mchafu

IMG_2433.JPG

Nakuona unajuhudi sana lakini si katika maarifa na kama nilivyosema u bado mtoto mchanga chakula kigumu hukiwezi Ebrania 5:14
 
Back
Top Bottom