Ukweli kuhusu ajali ya Chenge!

Kuna madereva wa mabasi wanuwa abiria wengi wengi tu karibu kila mwezi, hatujaona mkilalama na faini zao hazifiki hata hiyo aliyopigwa Chenge.

Hii ni traffic case na sio criminal case, kama mnaona sheria haikutenda haki, sasa watumeni wabunge wa Chadema wapeleke bungeni hoja binafsi za kuomba sheria za traffic kwa wana ccm ziwe tofauti na zilizopo kwa wote!
 
hivi huyu jamaa hajatoka tu...

Deus alishatoka zamani...sana...amemaliza kifungo chake!!amesharudi kazini kwake sasa na maisha yanasonga....yule alikuwa kazini mimi naamini
 


Pruvu
 
Bwana mdogo tuliza munkari wewe ni Chenge nini una uhakika na unachokinena?
 
Acheni porojo, ukweli ni kwamba Chenge alikuwa akiwafukuzia baada ya wao kumtoka kisanii na pesa kibao aliwahonga ili akale uroda na mmoja wao. Wao walipoona wamepata mtaji wao wakasepa. Chenge akawafukuzia na kukuta wana panda kibajaji. Mbio zikaanza. Sasa theory ni kuwa dereva wa bajaj alipoona shangingi linakuja fosi nae akakiweka kibajaj vizuri kisha akaruka na kusepa. Chenge akiwa amelewa chakari akawaparamia kwa makusudi, au kwa hasira.
 
Kwa hiyo kimada official wa Chenge alikuwa anakimbiza wezi wake?? Ha ha ha ha ha!!! Hawa wazee vijana na viagra, mhhhhhhhhh. Kwa mauaji yale siku zake nazo zahesabika. Ni nani anamkumbuka marehemu Ditopile???

nikweli hata nikiangalia jinsi huyu mzee anavyotapatapa na mambo naona dalili siku zake zinahesabika.
 

Kwa hiyo hao wasichana waliuwawa kwa ajili tu ya wivu wa hawara yake Chenge sio? Baada ya kuona Chenge amewachukulia Bajaj ili waishie, hawara yake Chenge akaamua kuifukuza hiyo bajaji na kuigonga!!! Wanaweza kuficha ukweli hapa duniani lakini wakumbuke kuna siku ya hukumu. Hawatapona hawa!!!!

Inasikitisha!!!!!

Tiba
 
Kama hayo mambo yalifanyika basi Mzee wa Vijisenti anastahili. Lakini kama anasingiziwa ili aonekane hafai ktk jamii basi hukumu ni hapahapa duniani. Kila mmoja anastahili kuhukumiwa kwa idadi ya makosa aliyoyafanya.
 
ukweli upo....anaujua Chenge mwenyewe....hizi nyingine zote stories tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…