Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,658
- 3,749
Inashangaza sanaTuambie huyo aliyefanya hiyo ajali!! Halafu dereva wa bajaji mpaka leo yuko wapi??
Ajali kubwa kama ile ina maana dereva hakuvunjika hata kidole??

hata mimi nilisikia hilo.......kweli maskini hana kaki.
Duuh! Yaani we acha tu
Jamani mjadala umefungwa,,.
Loh! Dunia duara!