Ukweli kuhusu ajali ya Chenge!

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kesi ya Chenge ambaye aliuuwa wasichana wawili kwa kuwagonga na gari huku wao wakiwa kwenye bajaj usiku wa manane. Lakini ukweli ni kuwa mkewe Chenge alikuwa akimfuatilia mume waku usiku huo na chenge ambaye baada ya kustarehe na wasichana hao aliwashusha na kuwalipa wakachukua bajaj bila kujua mkewe alikuwa akimfuatilia kwa nyuma.

Baada ya bajaj kuondoka na wasichana wale mkewe aliifukuzia na kuwagonga kwa bahati mbaya ndipo mkulu Chenge akajivisha kesi hiyo na kumuambia mkewe aondoke fasta kwani alijua kwake yeye ingeishia kupewa kijifaini cha vijisenti laki 7.5 HII NDIO BONGO MWNAWANE>>>

attachment.php

Huyu ndio mke wa Chenge akikata vijisenti vya faini

attachment.php

henge mwenye siku ya hukumu yake akifurahia na kumuambia mkewe "Si nilikuambia sie ndio wenye nchi hii ngoma ungebaki nayo ingekula kwako..."
 
Attachments

  • 6.jpg
    6.jpg
    30.8 KB · Views: 705
  • 5.jpg
    5.jpg
    20.2 KB · Views: 674
inawezekana eeeeh?maskini Tanzania yangu!anywei nakupenda sana lkn,nakulilia nchi yangu,ingekuwa mm ningeonga bata tu ningewekwa miaka 5 segerea!Mungvu yupo lkn,watavuna walichopanda.
 
Hizi avator za hawa wachangiaji hapa awali zimeniacha hoi nikawa goi goi!
 
Kwa hiyo Mkewe alipoamua kuwafukuzia hao wa bajaj, Chenge naye alimfuata kwa nyuma hadi alipoiona hiyo ajali na kujivika au?..............
 
Jamani acheni Porojo. Kwa taarifa zenu mke wa Chenge alikuwa Dubai kwa ajili ya shopping ya duka lake. Ukweli ni kwmba Tina Chenge alirudi nchini kesho yake baada ya ajali. Uho ndio ukweli. Ila ni kweli ile ajali akufanya Chenge mwenyewe ila mtu mwingine (private life). Narudia mke wa Chenge alikuwa nje ya nchi wakati wa ajali. I am 100% sure of this.
 
Tuambie huyo aliyefanya hiyo ajali!! Halafu dereva wa bajaji mpaka leo yuko wapi??
Ajali kubwa kama ile ina maana dereva hakuvunjika hata kidole??
 
Watoto wa SAUT wanajua na wanayaongea sana (sijui kama ni kweli) historia ya chenge na huyo binti, Mwanza hotel, yaliyotokea pale kwenye ajali nk. sema nchi hii mwenye pesa sio mwenzio
 
Watoto wa SAUT wanajua na wanayaongea sana (sijui kama ni kweli) historia ya chenge na huyo binti, Mwanza hotel, yaliyotokea pale kwenye ajali nk. sema nchi hii mwenye pesa sio mwenzio
Hata mimi niliyasikia ya huko Mwanza kuwa ndiye aliyewaalika kuja Dar, ndiye aliyeingia nao night club, ndiye aliyekaa nao ndani ya club wakati wote hadi kunatokea kutoelewana, ndie aliyetoka nao club, ndiye aliye wa knock down kwenye hit and run na kuishia zake kwake, polisi walipo pata tip, wakamfuatilia nyumbani, akawapooza, wakamshauri akajisalimishe O-Bay polisi na kuandika statement, kuwa alikimbia kuisalimisha nafsi yake thidi ya angry mob ambayo haikuwepo.

Naamini kwa ukweli huo, mhe atakuwa amashamtake good care dereva wa bajaj, na familia ya wafiwa, lakini kama ni kweli, ilikuwa intentional move, then 'the law of the Karma', will take care of the rest!
 
Maskini Deus Mallya hakimu alikataa faini ukaishia kuvaa jezi za jela
 
Jamani acheni Porojo. Kwa taarifa zenu mke wa Chenge alikuwa Dubai kwa ajili ya shopping ya duka lake. Ukweli ni kwmba Tina Chenge alirudi nchini kesho yake baada ya ajali. Uho ndio ukweli. Ila ni kweli ile ajali akufanya Chenge mwenyewe ila mtu mwingine (private life). Narudia mke wa Chenge alikuwa nje ya nchi wakati wa ajali. I am 100% sure of this.

Kwa hiyo kimada official wa Chenge alikuwa anakimbiza wezi wake?? Ha ha ha ha ha!!! Hawa wazee vijana na viagra, mhhhhhhhhh. Kwa mauaji yale siku zake nazo zahesabika. Ni nani anamkumbuka marehemu Ditopile???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom