Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
hahahaha nimeona
afu siku hizi umepunguza speed ya upendo lol
hahahaha nimeona
sijapunguza spid buana ila mupenzi Mafikizolo yuko busyafu siku hizi umepunguza speed ya upendo lol
Mpaka hapo hujamtaja member yoyote wa JF. Kama ulimaanisha mimi, miss chagga na charminglady basi kwa niaba yao natoa shukrani zetu toka uvungu wa mioyo yetu na wazazi wetu.
Kwa ajili ya kumbukumbu zetu.
We ni he au she?
Kama ni he, una hela? cc miss chagga
Ni mhendisam? cc charminglady
Kama wewe ni she, uko tayari? cc Kaizer, Mentor, Mtambuzi, mwekundu, KakaKiiza, Vin Diesel
hahahaha nimeona
hata mi napenda nikutane nawe mrs tabibumtaratibu
kumbe niko namba tatu, mpaka ufike kwangu utakuwa umechakaa sana, nimeghairi!
Wivu wako umezidi kikomo lool
we unaona uko sahihi?
kwa hiyo ulitaka uwe first????????? mbona ntakoma
wala sikutaka niwe first, kwani first huwa inalazimishwa,mleta mada kasema tu kwamba kama ukipewa nafasi MOJA ya kuonana na mtu jf wew umepanga wako, kwa hiyo namba moja ndiyo mhusika halisi, then 2, na 3 ni reserve...nimeshajitathmini tayari..teh teh!
Ntafanya vice versa kipnz wewe utakua namba moja ila huku nimepanga tu sikudhamiria hivo unavomaanisha wewe n namba moja kwenye nafs yangu sawa ahhhahhha lol
nimeona miss neddy kakkuita mrs mimi...Umeona nini na wewe!!
huna lolote![/QUOTE
Sawa najua yupo anekupa jeur
huna lolote![/QUOTE
Sawa najua yupo anekupa jeur
we unafikiri mi siwajui wanaokupa jeuri?!
we unafikiri mi siwajui wanaokupa jeuri?!
Kwani una nin leo naona umenikamia kama maji
Kwani una nin leo naona umenikamia kama maji
yaishe