Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Ukutanishwe na nani wa Jamiiforums?

Andika talaka kabisa ziwe sita badala ya tatu mume utadhani umepitia kwata hata kutabasam na mkeo??????? Nataka kurud kwetu hayaish kwa mtindo huu

mke gani haishi kushobokea kila mwenye suruwali, hajatongozwa anajitongozesha?...kwendaaaaaa, hauna hata thamani ya karatasi na kalamu ya kuandikia talaka, achilia mbali muda wangu wa kuandika talaka! beba vyupi vyako utambaee!
 
Usipo ona unatajwa ujue aidha huna vimbwanga au hujawahi m- pm mtu!
 
hana pa kwenda huyo hapa amefika, kama ni kiatu nilishakipanua hakunamtu wa kukivaa kishazidi size zote...lol!

Ahhhhha na kama limembwata limempata mhusika mazimaaaa ila hapo kupanua kiatu naona bado size iko vile vile
 
Ahhhhha na kama limembwata limempata mhusika mazimaaaa ila hapo kupanua kiatu naona bado size iko vile vile

uhuuuu, unafkir wewe utajua kama kiatu kishapanuka?...anajua mvaaji, mwanzo kilikuwa kinanibana sana naona sasa hivi kimeachia naweza kutembea hata mile mia!
 
uhuuuu, unafkir wewe utajua kama kiatu kishapanuka?...anajua mvaaji, mwanzo kilikuwa kinanibana sana naona sasa hivi kimeachia naweza kutembea hata mile mia!

Itabidi leo niwe makini kuona kama kimefit au la
 
Back
Top Bottom