suregirl
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 6,056
- 198
hutaniwiiii!?
Ahhhha me nawe tena tukipikwa chungu kimoja tunaiva
hutaniwiiii!?
Itabidi leo niwe makini kuona kama kimefit au la
kuwa makini utaona!
Mie ningependa kukutana na Mamaafacebook, tabibumtaratibu, miss chagaa, Munkari, miss neddy, The Boss, Junior. Cux, Khantwe, mshana jr, charming Lady
Hata mimi sipendi kukutana na wewe.
Jichagueni kati yenu nianze kukutana na nani kwanza. Wapili ntakutana naye baada ya wa kwanza kupata ujauzito.
Jichagueni kati yenu nianze kukutana na nani kwanza. Wapili ntakutana naye baada ya wa kwanza kupata ujauzito.
Wasemaje vile?
Mmmmmmh ujauzito tena bora ukutane kwanza na Mamaafacebook!!
Naona.aanze Mafikizolo
Kindo kyako maeeee!!!
Ahhha wewe humuogopi CYBERTEQ mamaa
thnx..........![]()