ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,768
- 127,908
Mimi je?
Kwani mimi na wewe tunaomba kukutanishwa tena...!
tuko level nyingine sie..au?
Mimi je?
Hata Mimi ningependa nikutanishwe na Mafikizolo
Kwani mimi na wewe tunaomba kukutanishwa tena...!
tuko level nyingine sie..au?
Yaan ungejua nataman nikutanishwe na wewe piaaaa
Oooohhps karibu sana mkuu
Mejaa ka kande la Nazi!!
BTW bifu letu halijaisha.
i wish tu meet you mamy
mi too mamy....ila mi nataka nije kwako unichinjie hilo jogoo
Oooohhps karibu sana mkuu
Mejaa ka kande la Nazi!!
BTW bifu letu halijaisha.
Munkari nae kwny list yangu yumo,honey faith anafuatia
Oohh karibu!!!
Me mkuu mzima ankal khatwe?
Mie ningependa kukutana na Mamaafacebook, tabibumtaratibu, miss chagaa, Munkari, miss neddy, The Boss, Junior. Cux, Khantwe, mshana jr, charming Lady
hahahaha nimeonahata mi napenda nikutane nawe mrs tabibumtaratibu