kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
...ngoma ya watoto haikeshi,...Hakuna operation ya CHADEMA ilianzishwa ikafanikiwa Operation sangara ilifeli, M4C ilifeli, Safari ya matumaini iliishia Monduli , kuzuiya mkutano wa CCM Dodoma ikafeli, Mafuriko ya Lowasa yalifeli. Hii nayo msitegemee kufanikiwa kwani CCM ilishinda kwa kishindo CCM majimbo 190, UKAWA (UKUTA) majimbo 36 , Democrasia ya kweli Chama kilichoshinda ndo kinafanya maamuzi ya shughuli za serikali kwahiyo msituletee vurugu za uchu wa madaraka na hamkubali kushindwa