medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Awa jamaa awajielewi .naona cuf wamejitoaUkuta utafanyika jf tu mtaani tuna lia njaa tu
Awa jamaa awajielewi .naona cuf wamejitoaUkuta utafanyika jf tu mtaani tuna lia njaa tu
bora umeshtukia. sasa kuna ukuta na mkesha..wapenda maendeleo tuwe macho na hawa wapinga maendeleo.Eti mkesha!Chadema eamepanga kugawa viroba vya bure ili asubuhi watu waanze kufanya vurugu
Umenipa burudani mkuuUsipouziba ufa sasa utajenga makuta maana; Ukuta hujenga Makuta!!!!!
Hakuna hata mwenye familia hapo
we mi sijui kuwa hta filimbi ya mgambo unaweza kuihimili mkisema ukuta maanisheni mana si kitu rahis sanaAtajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
Bora kuvunjwa uti wa mgongo ukiwa unadai haki kuliko wewe kuvunjwa nanihii na wenzioUKUTA
U: Ukitaka
K: Kuvunjwa
U: Uti wa mgongo
T: Tarehe moja
A: Andamana.
Nimeokota huko bhana.
sawa hatuna familia tuna kuku na bata tu.Hakuna hata mwenye familia hapo
mbona mi sifikilii hayo mengine mi nawaza ukuta tu![]()
![]()
![]()
tunachoshana tu na maneno ila ukiingia street vijana,wazee,na wengine wanafikiria mambo mengine tofauti
sijui sisi watu wa mbeya tutakesha wapiMm siku ya mkesha mapema jangwani
kwani nini maana ya mkeshaHawana kazi nyingine ni huo mkesha utakuwa wa kunywa viroba vya bure na kuporomosha matusi kwa watanzania waliojipumzikia majumbani.
lakini imeeleweka tu mkuuDah! Lugha hizi!
watafute batiU K U T A unawakosesha usingizi watu wa upande wa pili
oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀ukuta hoyeeeeeeeee
Ile ilikua mbinu tu ambayo ilizaa matunda..Polisi walikuja na tamko jingine lililowapa favour upinzani. Ukuta mpango mzimammmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU