UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

Operation UKUTA with no Apology
Majizi yameanza kukamatana yenyewe kwa yenyewe
 
Jiandae vizuri kwenda kushikishwa UKUTA bila..........! Kudadadeki!
Mbona presha inawapanda hii inaitwa no retreat no surrender.ule wimbo wenu ndio tunaenda ku apply yaan mbele kwa mbele Aboud jumbe amenipa courage simamia unachoamini
 
Huku hakuna kiwanda, huku Ukuta. Lazima uchanganyikiwe
 
Mbona presha inawapanda hii inaitwa no retreat no surrender.ule wimbo wenu ndio tunaenda ku apply yaan mbele kwa mbele Aboud jumbe amenipa courage simamia unachoamini
U.kitaka
K.uvunjwa
U.ti wa mgongo
T.arehe moja sept
A.ndamana.
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiki kwa hamu operation ukuta inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu jangwani , mwembeyanga na Tanganyika pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha

//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa ukuta

kwa wanaume wa darasaaalama ni ngumu sana UKUTA kufanikiwa
 
Hakutakuwa na mkesha wala maandamano, atakayejaribu kukaidi ajiandae kuwa kiwete!
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiki kwa hamu operation ukuta inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu jangwani , mwembeyanga na Tanganyika pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha

//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa ukuta[/QUOTE
UKUTA upi palepale, hakuna nyau wa kuuzuia.
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiki kwa hamu operation ukuta inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu jangwani , mwembeyanga na Tanganyika pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha

//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa ukuta
Na wapuuuuzi ataenda mkesha, hiki kituko!
 
najaribu kuimagine vichwa vya habari baada ya ukita TANZANIA DAIMA : UKUTA NI ZAIDI YA MAFURIKO
 
Ukuta ni moto..mzee wa sadam wa libya kama namuona kaa la mawe limemkwamia kooni kutema shida,kumeza shida.
 
Back
Top Bottom