UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

mkakati wa cdm ni kumyumbisha jpm kufikia malengo yake mema kwa taifa. majipu kwa sasa yanatake cover nyuma ya chadema kama ngao kwa kudhani tumbuatumbua itakwama au kuslow down.
 
Watu wanaopanga sana si watendaji, waoga, hapatakuwa na ukuta wala wall!!!!! Hi Ni Kama magomvi ya watoto, vua Viatu uone, a uanze Nipige Ngumi uone? Hakuna lolote.
 
Eti mkesha!Chadema eamepanga kugawa viroba vya bure ili asubuhi watu waanze kufanya vurugu
 
Hakuna operation ya CHADEMA ilianzishwa ikafanikiwa Operation sangara ilifeli, M4C ilifeli, Safari ya matumaini iliishia Monduli , kuzuiya mkutano wa CCM Dodoma ikafeli, Mafuriko ya Lowasa yalifeli. Hii nayo msitegemee kufanikiwa kwani CCM ilishinda kwa kishindo CCM majimbo 190, UKAWA (UKUTA) majimbo 36 , Democrasia ya kweli Chama kilichoshinda ndo kinafanya maamuzi ya shughuli za serikali kwahiyo msituletee vurugu za uchu wa madaraka na hamkubali kushindwa
 
sawa,mbona sasa una wasiwasi na una nyapanyapa?
 
Uku Meatu Tutakuwa Pale Mwanhuzi Stand!halafu Iramba Tutakuwa Stand ya Bomani!
Usipo Ziba Ufa Utajenga Ukuta!
 
duh. chadema msirudi nyuma. vyama vyote vina haki ya kufanya mikutano na maandamano....
 
Hakuna mkesha zote potojo na kumaliza MB tu,Sasa ukuta linafutika linaanza kusikika MKESHA lohhbbb
 
Back
Top Bottom