UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

Ukuta unadizi kushika kasi.. T-shirt zimeanza kuzagaaa pamoja na bendela maandalizi ya mkesha mkubwa
 
Hei meen, JF sio Tanzania. Wachache tu hamfiki hata 10 mnaoshabikia ukuta humu.
In fact unaposema Raisi hayupo juu ya katiba uko sawa llakini katiba hiyohiyo imemkumbatia vilivyo ikisema mwanangu piga kazi, wakisema umekosea mie katiba nasema haruhusiwi kushitakiwa kwa jambo alilotenda akiwa raisi. Kwa hiyo mtapigwa tu wala hamna namna nyingine na ndo mtajua kuwa katiba inamlinda raisi. Makamanda wako vizuri, kuhakikisha ukuta hausimami mtaishia kukusanya matofali lakini subutu hamna ukuta. Mlivyokuwa waovyo mnataja maandalizi mwanza, mbeya, dsm mbona hamsemi Moshi. Mnaju mkija huku tutawatoa nduki hamna la maana zaidi ya kutufanya mazuzu. Nendeni huko kwa wanyakyusa na wasukuma wasioreason out
ha ha mnaobisha hata sita hamfiki ukuta ni wananchi na wananchi ndio wanakataa udikteta na kupora mamalaka ya vyombo vya kubalance mambo mahakama na bunge anagalia nchi inavyoyumba imefikia hadi mkuu wa mkoa makonda anabishana na raisi hadharani kuhusu machinga hayo ndio lazima yakataliwe
 
Mwanza ?cdhani awa watu walideki balabala Jamaa apite kwenye kula wakamkausha labda watakuja mkianza kuezeka (opalesheni mabati)
hata Magufuli anajuwa kitengo ndio walimuweka anakimbia ikulu ya Dar maluweluwe haamini yupo pale kwa kura za mtu mwingine bora akawe Dodoma
 
Uzuri ni kwamba thithi huku moshi hatuna ukuta. Endeleeni, mkitaka bora hamji kwetu moshi. sera yetu aisee ni hela, ila kama ukuta unakuja na hela aisee, ntakula na hiyo. Kama longolongo ntawatoa macho. Kura tumewapa ukawa hapa moshi, wenyewe wako daa wanakula bata. afu waje ukuta aisee, sielewi mbona
 
usitetemeke tunataka kuset records kwamba none of of you is above the constitution, if you don't believe just wait and see ,vile tunavyoowapoozea munadhani hatuwezi this time lazima mushikishwe adabu

Someone should take you to bed, you've had too much to drink
 
Chadema msijaribu kubadili utaratibu huu. Mkesha ndo mpango

Chief umeleta habari mwenyewe alafu kama vile hauna uhakika na uliyoyasema...

Well Mwenyekiti ndio mpango mzima kwenye kushika ukuta... akiamua kubomoa ukuta kama alivyozima kale kampango ka kujongea dodoma, ndio basi tena hakuna wa kumbishia..
 
Atajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
Ngoja niwahi tenda ya kusupply vibakuli vya kunywea supu..
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiri kwa hamu operation UKUTA inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu Jangwani , Mwembeyanga na Tanganyika Pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha


//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa UKUTA
baada ya tarehe moja itakuwa hivi
 
Ukuta ni biashara mh mboe haitaji uwe na phd kulielewa hilo poleni sana ukiona mchaga anashabiki siasa ujue kabisa anacho fikiri yeye ni pesa tu nyie kwa urofa Wenu mtapigwa tu na hela mboe kaingiza stuka mwanaukawa
 
Nadhani hii message unampelekea Magufuli mwenyekiti wa CCM anayetamba na chama chake vingine akitaka viufyate kama hajasoma ya nchi hizo mwambie aongoze nchi kwa demokrasia ,angejuwa kuwa hayupo juu ya katiba angejifunza kwamba sasa tunachojadiliana ni ukuta na sio kuhamia Dodoma wala si viwanda wala sio madawati shuleni so you should think twice
cheki sasa mawazo yako ndugu mtanzania daaaaaah wala huwazi viwanda, kujenga vyumba vya madarasa madawati unawaza biashara ya mbowe na kundi lake
 
Hakuna operation ya CHADEMA ilianzishwa ikafanikiwa Operation sangara ilifeli, M4C ilifeli, Safari ya matumaini iliishia Monduli , kuzuiya mkutano wa CCM Dodoma ikafeli, Mafuriko ya Lowasa yalifeli. Hii nayo msitegemee kufanikiwa kwani CCM ilishinda kwa kishindo CCM majimbo 190, UKAWA (UKUTA) majimbo 36 , Democrasia ya kweli Chama kilichoshinda ndo kinafanya maamuzi ya shughuli za serikali kwahiyo msituletee vurugu za uchu wa madaraka na hamkubali kushindwa
Hawa jamaa bado hawapata mkong'oto wa kutosha kama wa mbeya sasa ngoja wachokoze nadhani mbowe tundu lisu na mbatia watapata stahili yao. Sasa
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiri kwa hamu operation UKUTA inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu Jangwani , Mwembeyanga na Tanganyika Pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha


//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa UKUTA

Kwikwikwikwi. Ilianza tarehe 23/7/2016 mikwara na mbwembwe kibao ikapita kimya. Na hii nayo imepita kimya
 
Back
Top Bottom