UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

Kunyweni viroba,mriwe ulemavu na FFU halafu ndo mpate akili ya kufanya kazi,leteni fyokofyoko tarehe 1 September ndo mjue JPM Yupo kazini.WAPUMBAVU NA MALOFA WAKUBWA.
 
Watanzania wameiga tabia ya waingereza ya mbwembwe na maneno mengi,hebu tumuone shujaa wa kweli siku hiyo.Ni kipigo tu,msione serikali imekaa kimya,inaandaa mahabusu,FFU,rungu,mabomu ya machozi ya kutosha,nyie jitokeze sikuoni hiyo mpewe kipigo cha kutosha.TZ ni nchi ya Amani,ila Kwa upumbavu wenu ni Sawa kutenguliwa miguu ili mpate akili,sio mnashinda kwenye mitandao mnadanganyana tu.Mkishatiwa adabu mrudi mtupe taarifa ya maafa yaliyowakuta.
 
Ukuta limekuwa fukuto kila kona,ccm na wanausalama wanahaha kweli
 
Ukuta ndo mdudu gani nawashangaa sana.. ..
Watanzania hatuna shida n ukuta Wenu, watanzania wanataka kuona maendeleo period, democrac yenu bakini nayo kam ni chakula kuleni ,tena tunajua nyie ndo wapigaji namba 1 wezi watupu ... mungu
Atulindie rais wa nyonge
 
Natamani mbowe awe mbele...najua atakuwa na safari ya ghafla s.afrika.
 
Tarehe zinavyoyoma naisubiria kwa hamu tarehe 1 kama ambavyo nilivyoisubiria tarehe 23/7/2016
 
we mi sijui kuwa hta filimbi ya mgambo unaweza kuihimili mkisema ukuta maanisheni mana si kitu rahis sana
Nyie mliizaliwa Jana ndio mnakubali kila anacho waambia huyo dictator wenu.ukawa tunajua mbinu za medani usipime! Subiri tarehe 1 september
 
Watanzania wameiga tabia ya waingereza ya mbwembwe na maneno mengi,hebu tumuone shujaa wa kweli siku hiyo.Ni kipigo tu,msione serikali imekaa kimya,inaandaa mahabusu,FFU,rungu,mabomu ya machozi ya kutosha,nyie jitokeze sikuoni hiyo mpewe kipigo cha kutosha.TZ ni nchi ya Amani,ila Kwa upumbavu wenu ni Sawa kutenguliwa miguu ili mpate akili,sio mnashinda kwenye mitandao mnadanganyana tu.Mkishatiwa adabu mrudi mtupe taarifa ya maafa yaliyowakuta.
Kwa akili yako watakao pigwa wataangalia tu Polisi wanatamba, hivi kwani wapo wangapi hadi wazidi nguvu umma
 
Huwa ni kwa interests za wachache sana
Kabla haujashabikia jambo lolote linalohusu uvunjifu wa amani wacheki jirani zako na maisha wanayoishi
Rwanda Burundi DRC Angalia pia historia zao
Angalia documentaries mbali mbali zinazohusu maeneo hayo
NI KWA FAIDA YA WACHACHE
NA WENGİNE Nİ NJİA YA KUTOA KAFARA SASA
 
Nadhani hii message unampelekea Magufuli mwenyekiti wa CCM anayetamba na chama chake vingine akitaka viufyate kama hajasoma ya nchi hizo mwambie aongoze nchi kwa demokrasia ,angejuwa kuwa hayupo juu ya katiba angejifunza kwamba sasa tunachojadiliana ni ukuta na sio kuhamia Dodoma wala si viwanda wala sio madawati shuleni so you should think twice
 
BAMATA limetoa tamko la kuunga mkono UKUTA sawali langu kwa wanaJF hawa ni nani?
 
Hei meen, JF sio Tanzania. Wachache tu hamfiki hata 10 mnaoshabikia ukuta humu.
In fact unaposema Raisi hayupo juu ya katiba uko sawa llakini katiba hiyohiyo imemkumbatia vilivyo ikisema mwanangu piga kazi, wakisema umekosea mie katiba nasema haruhusiwi kushitakiwa kwa jambo alilotenda akiwa raisi. Kwa hiyo mtapigwa tu wala hamna namna nyingine na ndo mtajua kuwa katiba inamlinda raisi. Makamanda wako vizuri, kuhakikisha ukuta hausimami mtaishia kukusanya matofali lakini subutu hamna ukuta. Mlivyokuwa waovyo mnataja maandalizi mwanza, mbeya, dsm mbona hamsemi Moshi. Mnaju mkija huku tutawatoa nduki hamna la maana zaidi ya kutufanya mazuzu. Nendeni huko kwa wanyakyusa na wasukuma wasioreason out
 
Mwanza ?cdhani awa watu walideki balabala Jamaa apite kwenye kula wakamkausha labda watakuja mkianza kuezeka (opalesheni mabati)
 
Back
Top Bottom