UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

tunamshukuru Mange kimambe yupo mstari wa mbele saivi kupromote UKUTA , na ana influence kubwa sana intagram
 
mmmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU
Ngoj nikujibu wewe kaka( Kilaza)sorry.I'm using this word coz it is official. Ni kwamba Ile ilielekezwa Dom..Rahisi Watu police Jeshi kwenda kama ulivyoona mikwara miiingiiiiii.But hii ni kote.Mtaa wa pili Sasa hawajui Police watumwe Tanga..Mbeya Arusha mwanza au Kagera. Kumbuka wananchi Ni wengi Na hawana silaha.Sasa kama itaamuliwa atakayeingia Road Ni kumlaza chini.Itajulikana Siku iyo.UKUTA for life !!!!
 
Hahaha ukisoma huu uzi unaweza kudhani chadema kuna makanda kumbe waoga tupu.. Siku ya hayo maandamano wote watakuwa JF .. TEH TEH
 
Mimi naonga mkono UkUta. Ila naomba sana magufuli kama anataka instability azuie hili. Astituharibie nchi yetu. Kama nchi imemshinda kaa pembeni
 
Hata kupe hung'ang'ania kwenye ngozi hata kama ng'ombe kesha chunwa, there is neither ukuti nor ukuta to be held on 1st Sept
 
Mumeenda kumpiigia magoti zitto kawatolea nje.UKUTAutafeli tu
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiri kwa hamu operation UKUTA inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu Jangwani , Mwembeyanga na Tanganyika Pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha

//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa UKUTA
Professor Baregu alikuwa na kikundi cha Maaskofu wakati wa bunge la katiba Dr Slaa baadaye akawataja kwa majina walikuwa wanafadhiliwa mashangingi na logistical support na swahiba wa mgonbea. Ni hawa kawapata tena? Watakuwa wamefanya kosa kubwa sana, mtu wa Mungu hahamasishi damu kumwagika.
 
U K U T A unawakosesha usingizi watu wa upande wa pili

Kwa taarifa yako it's non of our business mtajuana wenyewe na polisi, lakini hata hivyo ndio msimu mzuri maana watalii ni wengi kipindi hiki cha high season so mkiandamana watanufaika
 
Wale watakaoshiriki ukuta wafanye booking za vitanda pale MOI au zahanati za karibu yao mapema iwezekenavyo. Aidha waandae fedha za kutosha Kwa ajili ya dhamana Kwenye vituo mbali mbali vya polisi
 
mmmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU
HIVI MAKAO MAKUU YA F F U YA TANZANIA YAPO WAPI? NA MKUU WA F F U NI NANI ?
 
mmmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU
HIVI MAKAO MAKUU YA F F U YA TANZANIA YAPO WAPI? NA MKUU WA F F U NI NANI ?
 
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiri kwa hamu operation UKUTA inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu Jangwani , Mwembeyanga na Tanganyika Pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha

//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa UKUTA
Mbona Kilimanjaro haipo ktk Mkesha?
Yaani maeneo matatu Dar peke yake?
UKUTA kama hautosimama Moshi na wengine hatujengi!
 
Back
Top Bottom