UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

Pumzika peke yako kwamaana watoto wako na Mke wako wote watakuja kunako mkesha Wa ukuta.
Hawana kazi nyingine ni huo mkesha utakuwa wa kunywa viroba vya bure na kuporomosha matusi kwa watanzania waliojipumzikia majumbani.
I
 
Democrasia ya kweli aliyeshinda ndo anaongoza na kufanya maamuzi sasa nyie hamkubali kushindwa dawa yenu ni virungu na mabomu ya machozi. CCM majimbo 190, UUKAWA (UKUTA) 36, sasa mnatuletea vurugu hapa, mfano mikoa ambayo UKAWA hawakushinda hata jimbo moja Dodoma, Iringa, Njombe, Rukwa, Katavi, Geita, Shinyanga, Mwanza, Pwani,Zanzibar, Pemba, Simiyu, Tabora, Tanga,na Kagera . Mikoa hii hamna hata mbunge mmoja halafu mnatuletea vurugu hapa '' Non sense''
 
we kweli hamnazo:
a)iringa=jimbo moja(iringa mjini kwa Msigwa)
b)tabora=kaliua(cuf)
c)tanga=tanga mjini(cuf)
d)mwanza=ukerewe(cdm)
e)kagera=bukoba manispaa(cdm)!
Na hapo ni baada ya figisufigisu za n.e.c na polisi!
 
Baada ya ukuta tutaanzisha upareshen ya Kuezeka!!

Mungu ibariki Ukawa
Wabariki viongoz wakeee....
Hekima umoja na amani..
Hiz ni ngao zetu
Ukawaaaa na watu wakeee...
Ibariki..U-Kawa ×2
Tubariki majiniaz waukawa!!

Mungu ibariki Tanzania
Dumisha umoja na Amani
Wake kwa waume na watoto
Mungu ibariki Tanzania.
 
we kweli hamnazo:
a)iringa=jimbo moja(iringa mjini kwa Msigwa)
b)tabora=kaliua(cuf)
c)tanga=tanga mjini(cuf)
d)mwanza=ukerewe(cdm)
e)kagera=bukoba manispaa(cdm)!
Na hapo ni baada ya figisufigisu za n.e.c na polisi!
Wewe muongo sana Jaribu kufanya research ndio uje na matangazo kuhusu ushindi ulioutaja hapo.
 
Ndo maana bungeni mliziba midomo na maplastic mambo yakaendelea sababu ya wingi wa majimbo ya CCM, CC
 
Mnazidi kumchosha bob mjue...jeshi la mtu mmoja
Mshana Bob ni nani? Robert? Mimi nashauri wasitishe, nadhani JPM anabadilika with time! Yatatokea maafa makubwa ! Ya Mwangosi nayaogopa sana, halafu Mtukufu Judge anasema kuua bila kukusidia wakati mtu amemlenga kabisa bila aibu. Mtu amezingirwa na maofisa wake wakubwa alikuwa analenga nini kama siyo dhamira ya kuua! Mtukufu Judge, wacha tuseme, maamuzi yako yana mashaka! Sidhani kama ni misdirection! Mbowe sitisha, let us have time for discussion!
 
mmmh nikkumbuka mlivyoapa kuzuia mkutano wa ccm, mkasajili na vijana 5000, ila ilipofika tarehe 23 /7 hakuonekana yoyote!! TUNACHOSHANA NA NGONJERA ZENU

Mi nasubiri kucheka tu hiyo tarehe 1 maana hakuna yeyote atakayefanya lolote. Na ndio hapo Watanzania watajua siasa ni uzuzu
 
Watu wanaopanga sana si watendaji, waoga, hapatakuwa na ukuta wala wall!!!!! Hi Ni Kama magomvi ya watoto, vua Viatu uone, a uanze Nipige Ngumi uone? Hakuna lolote.

Wangekuwa na nia wasingekaa muda wote huo.. Imagine tamko linatolewa miezi miwili kabla, ni vichekesho.. Wangekuwa serious huo Ukuta ungeshajengwa siku nyingi tu
 
mkakati wa cdm ni kumyumbisha jpm kufikia malengo yake mema kwa taifa. majipu kwa sasa yanatake cover nyuma ya chadema kama ngao kwa kudhani tumbuatumbua itakwama au kuslow down.
Malengo yapi, toka awepo pale lipi ambazo limetekelezeka zaidi ya madawati. Sukari bure, fyetulisheni watoto serikali yangu itawasomesha bure. Chakul nani atawapa wakati yeye kasema serikali halimi?
 
Back
Top Bottom