Sawa hamna shida umesikika..Kwa Takribani Mwezi Sasa Taifa letu la Tanzania hasa kwa Watanzania Wapenda Amani Kumekuwa na taharuki kubwa, kufuatia Maazimio ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza Mpango wao walioubatiza jina UKUTA ukiwa na Maaana Ya Umoja Wa Kupinga Udikteta Tanzania.
Watanzania Wapenda Amani wamekuwa wakijiuliza ni nini hasa hatma na lengo la Maandamano hayo na umoja huo kwa Ujumla. Tukirejea katika Msingi wa hoja ya Chadema ya kuwa kuna Ukiukwaji Mkubwa wa Katiba na hata kufikia pahala kusema nchi hii inaongozwa Kidikteta, hoja hii inaweza kuwa na Mashiko lakini swali la Msingi ni je wanatumia mbinu sahihi kukipata kile wanachokitetea??
Nadhani Katiba yetu ya Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania imeainisha Vizuri ni kipi kifanyike Endapo Kutatokea Ukiukwaji wa Katiba. Lakini binafsi na naamini pia baadhi ya Watanzania Wenzetu Wanaamini kuwa CDM kwa makusudi kabisa au wakiwa na agenda yao binafsi wameamua kukiuka ngazi za kisheria ambazo zinawajibu wa kufafanua na kuelezea huo Ukiukwaji wa Katiba na Udikteta wanaousema. Katiba yetu imefafania Vizuri kabisa Juu ya Wajibu wa Mahakama kisheria Kutoa Muongozo Pindi ambapo kunakuwa na dalili au hoja zozote za Ukiukwaji wa Katiba ya nchi Yetu. Lakini Swali la Msingi ni Kwanini CHADEMA na Wana UKUTA hawajaamua kuchukua njia stahiki ya kudai haki yao ya Kikatiba kwa Mamlaka Husika na badala yake Kuamua Kuandamana kama njia ya Kudai haki yao ya Kikatiba?? Je huku sio kuikanyaga Katiba ambayo wao pia wanalalamika kuwa inakanyagwa??!
Mi nafikiri Hawa ndugu Zetu wana Agenda ya Siri zaidi ya hiki wanachotuaminisha Watanzania, na nadhani tuna kila sababau ya Kujiuliza ni nini hasa "LENGO LA CHADEMA NA WANA UKUTA KUELEKEA SEPTEMBER 1?!!!"

ukutaKwa Takribani Mwezi Sasa Taifa letu la Tanzania hasa kwa Watanzania Wapenda Amani Kumekuwa na taharuki kubwa, kufuatia Maazimio ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutangaza Mpango wao walioubatiza jina UKUTA ukiwa na Maaana Ya Umoja Wa Kupinga Udikteta Tanzania.
Watanzania Wapenda Amani wamekuwa wakijiuliza ni nini hasa hatma na lengo la Maandamano hayo na umoja huo kwa Ujumla. Tukirejea katika Msingi wa hoja ya Chadema ya kuwa kuna Ukiukwaji Mkubwa wa Katiba na hata kufikia pahala kusema nchi hii inaongozwa Kidikteta, hoja hii inaweza kuwa na Mashiko lakini swali la Msingi ni je wanatumia mbinu sahihi kukipata kile wanachokitetea??
Nadhani Katiba yetu ya Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania imeainisha Vizuri ni kipi kifanyike Endapo Kutatokea Ukiukwaji wa Katiba. Lakini binafsi na naamini pia baadhi ya Watanzania Wenzetu Wanaamini kuwa CDM kwa makusudi kabisa au wakiwa na agenda yao binafsi wameamua kukiuka ngazi za kisheria ambazo zinawajibu wa kufafanua na kuelezea huo Ukiukwaji wa Katiba na Udikteta wanaousema. Katiba yetu imefafania Vizuri kabisa Juu ya Wajibu wa Mahakama kisheria Kutoa Muongozo Pindi ambapo kunakuwa na dalili au hoja zozote za Ukiukwaji wa Katiba ya nchi Yetu. Lakini Swali la Msingi ni Kwanini CHADEMA na Wana UKUTA hawajaamua kuchukua njia stahiki ya kudai haki yao ya Kikatiba kwa Mamlaka Husika na badala yake Kuamua Kuandamana kama njia ya Kudai haki yao ya Kikatiba?? Je huku sio kuikanyaga Katiba ambayo wao pia wanalalamika kuwa inakanyagwa??!
Mi nafikiri Hawa ndugu Zetu wana Agenda ya Siri zaidi ya hiki wanachotuaminisha Watanzania, na nadhani tuna kila sababau ya Kujiuliza ni nini hasa "LENGO LA CHADEMA NA WANA UKUTA KUELEKEA SEPTEMBER 1?!!!"
Sawa Mkuu Yetu Macho, na kwa dhati kabisa naheshimu mtazamo wako juu ya hiliSawa hamna shida umesikika..
Tukutane sept 1
![]()
![]()
![]()
![]()
We mwenyewe hapo mbna hukureport habari nyingine.. ? mbna umeripot UKUTA.. si unajua utapata likes na comments za kutosha
wale polisi wanaopita mitaani na washawasha hawaikuzi?Uhalisia wa hili jambo ni kua, vyombo vya Habari ndivyo vinavyolikuza.
Ukipita mitaani UKUTA inazungumzika kama habari nyingine zinazosikika na kujadiliwa kwa wingi, ila sio kama jambo ambalo litatendeka katika uhalisia.
Napata fikra labda kuna faida medias zinapata ukilinganisha na madhara ambayo yatatokea endapo jambo husika litafanyika.
Kwa muda sasa wanaghabari wetu wamekua wakipenda kutoa habari zinazovutia masikio na sio habari chanya.
Tabia hii haina madhara ya kuonekana kwa haraka moja kwa moja lakini yapo madhara makubwa sana ya muda mrefu kama haitaachwa.
Ni ombi langu kwa vyombo vya habari kujitahidi kutuletea habari zenye lengo la kujenga umoja na kulinda usalama wa nchi ili kuharakisha maendeleo yetu badala ya kuwa mashabiki wa habari zenye kuvutia kwa muda mfupi.
hata wewe kwa unachokifanya unaikuza.Uhalisia wa hili jambo ni kua, vyombo vya Habari ndivyo vinavyolikuza.
Ukipita mitaani UKUTA inazungumzika kama habari nyingine zinazosikika na kujadiliwa kwa wingi, ila sio kama jambo ambalo litatendeka katika uhalisia.
Napata fikra labda kuna faida medias zinapata ukilinganisha na madhara ambayo yatatokea endapo jambo husika litafanyika.
Kwa muda sasa wanaghabari wetu wamekua wakipenda kutoa habari zinazovutia masikio na sio habari chanya.
Tabia hii haina madhara ya kuonekana kwa haraka moja kwa moja lakini yapo madhara makubwa sana ya muda mrefu kama haitaachwa.
Ni ombi langu kwa vyombo vya habari kujitahidi kutuletea habari zenye lengo la kujenga umoja na kulinda usalama wa nchi ili kuharakisha maendeleo yetu badala ya kuwa mashabiki wa habari zenye kuvutia kwa muda mfupi.
umeuliza swali na jb lake ni ukuta bhaasHahahaaa![]()
unaujenga au Unabomoa?!!!
wanajifanyaje?Waache wapigwe tu watakao jifanya
..................................................................................................................................
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police......................................