barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Mtaani kiukweli hamna kabisa hii kitu, nawaonea huruma aibu watakayopata viongozi wa chadema ma hao watu 80,000 walioamdamana nchi nzima.
Maendeleo miaka 50 bado ndio mnakumbuka sasa hivi, poor youHakuna mjinga atakayeshiriki maandamano yasiyo na tija kwa maendeleo ya nchi yetu.
Siku zote walikuwa wanafanyia wapi? Hawana makambi yao?Sasa na wewe, unataka polisi wafanyie mazoezi chumbani?
Ukuta imebaki JamiiForums tuViongozi wa dini wamewaonya viongozi wa CHADEMA juu ya UKUTA
Wasanii nao wamesema No to UKUTA.
Machinga waliokuwa wanawatumia nao wamegeuza kisogo hasa baada ya Rais Magufuli kuonekana kuwajali
Bodaboda nao hawapo tayari kuiingiza kwenye UKUTA hasa baada ya baadhi yao kutumia bodaboda kufanya uhalifu.
Wabunge wa UKAWA nao wameapa kutoshiriki kwenye UKUTA na kwamba wapo tayari kurudi Bungeni
Vyama washirika wa UKAWA na ACT nao wamesema hawatashiriki UKAWA.
Ni wapi hasa CHADEMA wamekosea? Hii ni Opersheni ambayo imeshindwa kabla hata haijaanza kutekelezwa.
Ushabiki utawamalizaMagu kakomaa, Dr. Tulia kakomaa watu wameomba po
Unaweza vipi kufanya mazoezi ya kupambana na mtu ambaye ameishashindwa? Jibu unalo! kama huna jibu basi kasome mstari huu utakusaidia sana ... "Mwanadamu mwenye heshima iwapo hana akili amefanana na mnyama apoteaye"Viongozi wa dini wamewaonya viongozi wa CHADEMA juu ya UKUTA
Wasanii nao wamesema No to UKUTA.
Machinga waliokuwa wanawatumia nao wamegeuza kisogo hasa baada ya Rais Magufuli kuonekana kuwajali
Bodaboda nao hawapo tayari kuiingiza kwenye UKUTA hasa baada ya baadhi yao kutumia bodaboda kufanya uhalifu.
Wabunge wa UKAWA nao wameapa kutoshiriki kwenye UKUTA na kwamba wapo tayari kurudi Bungeni
Vyama washirika wa UKAWA na ACT nao wamesema hawatashiriki UKAWA.
Ni wapi hasa CHADEMA wamekosea? Hii ni Opersheni ambayo imeshindwa kabla hata haijaanza kutekelezwa.
Hata mtaani kwangu kila nyumba imejipanga kushiriki UKUTAUkuta upo na tutashiriki
hivi Lizaboni we ni kada wa ccm nini, mambo ya kukatisha tamaa humu ndani hayapo kila mtu ana chama chake, Sept 1 lazima tujenge UKUTAViongozi wa dini wamewaonya viongozi wa CHADEMA juu ya UKUTA
Wasanii nao wamesema No to UKUTA.
Machinga waliokuwa wanawatumia nao wamegeuza kisogo hasa baada ya Rais Magufuli kuonekana kuwajali
Bodaboda nao hawapo tayari kuiingiza kwenye UKUTA hasa baada ya baadhi yao kutumia bodaboda kufanya uhalifu.
Wabunge wa UKAWA nao wameapa kutoshiriki kwenye UKUTA na kwamba wapo tayari kurudi Bungeni
Vyama washirika wa UKAWA na ACT nao wamesema hawatashiriki UKAWA.
Ni wapi hasa CHADEMA wamekosea? Hii ni Opersheni ambayo imeshindwa kabla hata haijaanza kutekelezwa.
Kabisa mkuu lazima tuwakilishe ngosha anafanya kitu cha ajabu sana ktk nchi hiiHata mtaani kwangu kila nyumba imejipanga kushiriki UKUTA
Ndio yameanza baada ya kutangaza UKUTA maana wanywa viroba hamkawii kupora madukani. Na maandamano ya nchi nzima mnataka kupindua serikali? Yani watu wasifanye kazi na viratiba vyenu vya maandamano wiki nzima. Muandamane muone.Mazoezi ya kulinda Amani, yameanza baada ya kutangazwa kwa UKUTA!
Uhalifu hautokei makambini.Siku zote walikuwa wanafanyia wapi? Hawana makambi yao?
sasa kama hakuna wanaounga mkono ni kina nani wanaofanyiwa maandalizi ya kuzuwiwa tarehe 1 sept.?Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
"Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.
By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhaniwa kuwa tayari kkwa UKUTA! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima. So, mnatakiwa kuhofia hata kama ni vijana 9 kati ya 10 hawapo tayari, bado collection ya jeshi la kijana mmoja toka kila walipo vijana 10 sio jeshi dogo! Mbaya zaidi, huyo mmoja anakuwa tayari kwa lolote!