Sowing the seeds of destruction, CHADEMA inachungulia self destruction yenyewe.Naona ngoma ya UKUTA imenoga kweli kweli, wale jamaa wengine wanakata mauno kweli kweli huku chadema wakizidi kuchochea fimbo kwenye ngoma ya UKUTA.
Jitayarishie bandeji na PoP za kutosha!Ukuta uko pale pale.
swissme
Asiyesikia la mkuu, inaelekea atavunjwa miguu!View attachment 387990
Sasa ni dhahiri, CHADEMA fahamu zimeanza kuwarudi.
UKUTA si utabomolewa, bali utalipuliwa kwa gharama yoyote ile.
Ukimya wa Rsis Magufuli katika suala la maandamano ya tarehe moja umeanza kuwatia kiwewe CHADEMA.
Rais alishatoa tamko la kuzuia hayo maandamano na kuonya vikali juu ya kupoteza muda kwa mambo yasiyo ya msingi kwa maendeleo ya Watanzania.
Viongozi wa CDM wakaishia kusema maandamano yako pale pale, na wengine kama Lissu kumtukana Rais.
CHADEMA wametaka kukaribishwa Ikulu kwa maongezi, hawajafanikiwa.
Wameomba kupatanishwa kupitia Msajili wa vyama, kimya.
Kuna miaka ya nyuma ati serikali ilibezwa kuwa ni dhaifu, sasa upele umepata mkunaji.
Sasa wenzi wa CDM, UKAWA wanasema wameombwa na wana Dini kurudi bungeni, kimya.
Wakati huo huo jaramba za vyombo vya usalama wakijifua kwa tar1 ziko wazi kila mtu kuziona.
Mbowe amesimuliwa kuwa yupo katika mikakati ya "kualikwa " huko ulaya ili asiwepo nchini tar 1.
Kwa mtaji huu wa matukio sioni jinsi UKUTA kubaki salama,kama hawazioni alama za nyakati.
UKUTA, hautabomolewa kwa kubembelezana, utalipuliwa!
Kama imeshindwa vitisho vya nini mkalale.Viongozi wa dini wamewaonya viongozi wa CHADEMA juu ya UKUTA
Wasanii nao wamesema No to UKUTA.
Machinga waliokuwa wanawatumia nao wamegeuza kisogo hasa baada ya Rais Magufuli kuonekana kuwajali
Bodaboda nao hawapo tayari kuiingiza kwenye UKUTA hasa baada ya baadhi yao kutumia bodaboda kufanya uhalifu.
Wabunge wa UKAWA nao wameapa kutoshiriki kwenye UKUTA na kwamba wapo tayari kurudi Bungeni
Vyama washirika wa UKAWA na ACT nao wamesema hawatashiriki UKAWA.
Ni wapi hasa CHADEMA wamekosea? Hii ni Opersheni ambayo imeshindwa kabla hata haijaanza kutekelezwa.
Mtaa wako uko peponi sio Tanzania uku Tanzania ni KAZI TUmim mtaani kwangu, watu wote watashiriki UKUTA hadi mjumbe wangu wa nyumba kumi
Kuna sehemu mtu katishiwa? serikali inadeal na wavunja amani haijamtisha mtuKama imeshindwa vitisho vya nini mkalale.
Mazoezi ya kulinda amani maana watu wakinywa viroba wanajifanya zimerukaSasa mazoezi yote ya nini? Si msubiri? Mpaka mnaua Polisi wasio na hatia ili kupata sababu ya kuuzuia UKUTA!
View attachment 388077
Yani wao walale na wake zao halafu wengine tuandamane nonsense kabisaHakuna mjinga atakayeshiriki maandamano yasiyo na tija kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mazoezi ya kulinda Amani, yameanza baada ya kutangazwa kwa UKUTA!Mazoezi ya kulinda amani maana watu wakinywa viroba wanajifanya zimeruka
Sasa na wewe, unataka polisi wafanyie mazoezi chumbani?Sasa mazoezi yote ya nini? Si msubiri? Mpaka mnaua Polisi wasio na hatia ili kupata sababu ya kuuzuia UKUTA!
View attachment 388077