Utajuaje kama kuna ajira kutwa upo kwenye mitandao? Wewe huoni ardhi kubwa nenda kalime au endesha bodaboda.Watu hawana kazi wewe unadai wameshindwa maisha!!?
Mbinu za kiinteligency tang lin ukamuonesha aduiawamu hii watz wanazidi kuchoka ... endeleeni kuruka vigunia mitaani hamjiu mnazidi kuwafunza hao vijana mbinu za kuwateketeza ................
ndo maana mambo hayo yanahitaji faragha sasa ninyi endeleeni kutimba magwana ya kijeshhi muite na kamera na mjipost insta mdhani ndo watu watatishika ......tafuuteni mbinu za kutatua matatizo ya vijana sio maanyesho na matamko itawagharimu sana
enzi za kambarage ndo mambo yalikuwa ya woga siku hizi watz wamefunguka akili
mark my words
hahaaMbinu za kiinteligency tang lin ukamuonesha adui
Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
C kama ule mji wa Ahadi watu wameenda kabla ya bwana harusiMimi naona polisi ndio sasa wanafanya maandamano ya UKUTA badala ya wananchi bila kujijua, na tena wameanza mapema zaidi hata kabla ya tarehe yenyewe.
Sijui kama tutajenga banda maana fito zinashikwa kwa ubinafsiNchi inaongozwa na ushabiki
Isanga, kumbe humu unakuwa against na serikali ili CDM wakuajiri kama red briged. Naandika nilichoshuhudia kisayansi si kutoa maneno kama kasuku tu
Mkuu sipo against na Serikali nipo against na wewe na pia just a joke wala simaanishi nachozungumza...Isanga, kumbe humu unakuwa against na serikali ili CDM wakuajiri kama red briged. Naandika nilichoshuhudia kisayansi si kutoa maneno kama kasuku tu
Kisa vjna wapo foolish age mnawafanya km watakua foolish forever..."Tunachohitaji sio wingi wa watu bali watu wenye moyo na maendeleo." Source: Kijiji Chetu.
By the way, kila penye vijana 10, 8 hawapo tayari... assuming 2 wapo tayari! Hiyo ni 20%. Ikiwa mji una vijana 50K, 20% yake ni 10,000 wanaodhaniwa kuwa tayari kkwa UKUTA! Hiyo idadi bila shaka inazidi idadi ya polisi wote nchi nzima. So, mnatakiwa kuhofia hata kama ni vijana 9 kati ya 10 hawapo tayari, bado collection ya jeshi la kijana mmoja toka kila walipo vijana 10 sio jeshi dogo! Mbaya zaidi, huyo mmoja anakuwa tayari kwa lolote!
Jeshi lolote duniani hufanya mazoezi. Askari wasiyo na mazoezi duniani sidhani kama wapo.Sasa haya mazoezi ya kivita mnafanya ya nini kama hakuna waandamaji
Mkuu si vizuri kuwabeza vijana walioashindwa maisha! Nikweli vijana walioshiba hutawaona barabarani. Ila kama umefanikiwa usisahau wenye njaa. Ukuta upo Kwa maslahi ya wanyonge wasio na sauti. Walioshindwa maisha wamesababishiwa na pia usisahau kuwa wanayo haki ya kupaaza sauti zao kama watanzania!!!?CHADEMA kilichakufa tayari. Wanataka kutumia vijana walioshindwa maisha kuandamana.
Lakini hiyo demo ni salam hata kwa nchi jirani wajue TZ sio nchi ya mchezo.
Wanafanya mazoezi lkn sio mjini ni huko poriniJeshi lolote duniani hufanya mazoezi. Askari wasiyo na mazoezi duniani sidhani kama wapo.
CV yangu itafute utaipata - mie nimezungumzia survey niliyofanya kanda ya ziwa na magharibi sasa anayedhani kuandika matokeo ya utafiti ni kuomba cheo ana agenda binafsi
basi waambie plisi wakae tu majumbani kwao watulie kama umeshafanya utafitiSasa haya mazoezi ya kivita mnafanya ya nini kama hakuna waandamaji
Ni kuomba cheo kama MremaCV yangu itafute utaipata - mie nimezungumzia survey niliyofanya kanda ya ziwa na magharibi sasa anayedhani kuandika matokeo ya utafiti ni kuomba cheo ana agenda binafsi