Shuleless
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,972
- 6,245
Tanzania ina amani gani!?!?Narudia kuwakumbusha cdm na washirika wake kuwa watulivu, kufuata taratibu na kuhakikisha taifa letu linabaki kuwa kisiwa cha amani
Tanzania ina amani gani!?!?Narudia kuwakumbusha cdm na washirika wake kuwa watulivu, kufuata taratibu na kuhakikisha taifa letu linabaki kuwa kisiwa cha amani
Mkoa wako ni wenye tabia gani mkuu?Watakao andamana ni wale tuu wanatoka mikoa yenye tabia flan,,,, ulevi Sana, ubinafisi, utumwa
Kwa 'maandamano' haya ya polisi kila kukicha ndio naamini 'Faru Fausta' ni nooooma! (a.k.a. dada wa taifa)Mimi naona polisi ndio sasa wanafanya maandamano ya UKUTA badala ya wananchi bila kujijua, na tena wameanza mapema zaidi hata kabla ya tarehe yenyewe.
Nitakuwa mkweli daima fitina kwangu mwiko ... wewe je!Wanaccm, salaam!
Hongera sana Mhe Mwigulu Nchemba - waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa kuonesha demo ya kikosi cha Police nchi nzima. Kusema kweli umefanikiwa kuzima mipango na mikakati ya maandamano na mikutano ya UKUTA.
Mie nimefanya minor survey katika vikundi vya vijana ambapo ni ngome za UKAWA kwa kila palipo na vijana 10 saba mpaka 8 wanasema hawataandamana siku hiyo kwa kuogopa nguvu na mkono wa jeshi la police. Huu ni utafiti toka kanda ya ziwa sijui mahali kwingine. Hata hivyo inatakiwa tarehe 30/8 ipigwe demo nyingine kali zaidi na kikosi cha intelligence kiimalishwe kubaini iwapo UKUTA ikikwama nini mipango ya ndani kabisa ya viongozi wa waandamanaji.
Mwigulu, umeonesha umahili ktk ulinzi wa raia na mali zao.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Unaongea nn ww!?Ni ushauri tu:-
Jana tarehe 9/8/2018 Mhe Freeman Aikaeli Mbowe (Mb) akiwa kijiji cha Kanyonza, Kata Kanyonza wilaya ya Kakonko kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buyungu namnukuu akisema "watu wa Kanyonza mkimaliza kupiga kura sogeeni Makao Makuu ya wilaya kusubiri matokeo ya uchaguzi"
Hapa namwona akihamasisha na kuchochea fujo - mie nawaomba wananchi mkishapiga kura tulieni majumbani mwenu kwa kuwa mna mawakala wanaosimamia kura zenu lkn pia Mkurugenzi wa Uchaguzi ni mtu poa sana.