Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,588
- 123,078
Ni sawa kwani hakuna mtu anayelazimishwa kuandamana kama anaona mambo kwake yanaenda sawa. Hao watu wa huko si ndio hao wanaokopwa mazao yao na serekali na wanalipwa jinsi viongozi wanavyojisikia na hawana lolote la kufanya. Hao waache waendelee hivyohivyo maana wote wakiwa wajanja itakuwa shida hata kuwaongoza. Waambie waendelee kuvuta shuka ndugu wabakie kusema maendelea yanapelekwa moshi tu.