...Uko wapi...

Tutawajua wote siku wakitengana,
kila mmoja atasema ya mwenzake ndo mambo yatakuwa hazarani, we waache tu.

[/MENTION][/JFMP3]
Mamndenyi, kumbe na we umeona eeh? Yaani siku hizi ni ngumu sana kutembelea humu alafu usikutane na ndoa duh! Kuna nyingine ya queenkami na @Mr. Mikael naiona tartiiiiiiiiiiibu inaanza kuchomoza! Lol
 
Ndo nimeshaona, utakula ulikopeleka mboga.

Hapa stori tu kula kwenu
Hahahaha.... nawe kwa kiherehere...khaa! Mboga si nlikuachia hela ukanunue?

nawataja kimya kimya mkuu
nilinde lakini,
cantalisia + rejao.
kongongo + theboss

nangojea hiyo vita kwanza nitaendelea
Hivi weye kikongwe mwenzangu Mamndenyi, huyo kongongo ni senior au premium member wa JF?

He he he he, Mamndenyi, unanitafutia tindikali?

Aniwowe mara ngapi?
Sikujua kumbe kongongo ni a.k.a Kongosho......... khaaa!
 
Last edited by a moderator:
tena wewe mkuuTarakirishi mpakato nitakusemea kwa moderator ule ban
umezidi kuchakachua siredi zangu, kama vipi ntake razi mida hii.

Hahahaha.... nawe kwa kiherehere...khaa! Mboga si nlikuachia hela ukanunue?

Hivi weye kikongwe mwenzangu Mamndenyi, huyo kongongo ni senior au premium member wa JF?

Sikujua kumbe kongongo ni a.k.a Kongosho......... khaaa!
 
Kongosho asisome wewe chezea Kongosho eti eeh.

Ananitania huyu babu, hajui mie lile jamaa ni li kijana la shoka?

Hahahaha.... nawe kwa kiherehere...khaa! Mboga si nlikuachia hela ukanunue?

Hivi weye kikongwe mwenzangu Mamndenyi, huyo kongongo ni senior au premium member wa JF?

Sikujua kumbe kongongo ni a.k.a Kongosho......... khaaa!

Twende tukamalizane PM, hapa baba watoto wangu ataona jamani
Mbona una visa hivi?

Na mie ntakuharibia kule kwa nani.
 
Ananitania huyu babu, hajui mie lile jamaa ni li kijana la shoka?

Twende tukamalizane PM, hapa baba watoto wangu ataona jamani
Mbona una visa hivi?

Na mie ntakuharibia kule kwa nani.
Hahahaha......... ulivyo mchoyo hata PM zenyewe unagoma kujibu. Nimekoma kujipendekeza. Ntakubakia hapahapa hadharani.
 
Back
Top Bottom