Hazina yako iko wapi......?

Hazina yako iko wapi......?

Psalm 103

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2026
Posts
1,659
Reaction score
2,689
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo na wevi huvunja na kuiba. Bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi.

(Kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakuwapo na moyo wako Mathayo 6:19-21.

Je, yule mwizi msalabani, ambaye hajaweka hazina. Na wengine waliomwamini watatumia hazina za nani na mioyo yao itakuwa wapi?

Hizo hazina mbinguni zitakuwa na matumizi gani?

Asante!
 
Hazina inayowekwa mbinguni sio ya dhahabu, pesa au chochote cha thamani. Ni upendo, ukarimu, misaada kwa wahitaji na wenye shida mbalimbali. Matendo mema yaambatane nawe, ucha Mungu na yoteeee yanayofanana na hayo yanayompendeza Mungu. Toa hayo kwa wengine.
 
Asante... mkuu¡
 
Hayo yote yatafanyika mbinguni sio duniani..duniani ni unyamera tu
 
Usije uombe sadaka tukuchape makofi hadi ukome. Naomba kwanza uanze kueleza maana ya hazina afu sasa ndo uje na sehem ya kuiweka na pia utuambie usafiri wa kwenda huko ili tuanze kuwekeza.
 
Mkuu kwani umeshapiga konyagi.....?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom