pole sana mana na mm moyo wangu uko kwa Saint Ivuga
mulika mwizi meeen,,,, BADILI TABIA hebu niambie ni nini alikifanya........uwiiiiiiiii......nauwa mtu.....
...nitakubali kitu cjafanya...bebi. Preta...ila basi Yaaishe..ila wewe BADILI TABIA...hebu anza sasa Kubadili hiyo tabia yako...umefanya.. BADILI TABIA hawezi kusema uwongo......kubali tuyamalize nakwambia......
...nitakubali kitu cjafanya...bebi. Preta...ila basi Yaaishe..ila wewe BADILI TABIA...hebu anza sasa Kubadili hiyo tabia yako...
MC mbona Shemeji yangu yuko kwenye line ?
Then anafunguka anaeleweka ?
We kukubali kama umebugi kiayna ukaingia Choo kisicho cha gendar yako, kuna ubaya gani ?
Tena anakwambia funguka myamalize unakausha dwiii !
Mbona mambo madogo hayo Swaiba ?
Mhmhmh mamie, mbona hasira.. punguza munkari atimwambie huyo shem....yani hapa nilipo nime............akitokea namla nyama.....![]()
Mhmhmh mamie, mbona hasira.. punguza munkari ati
mwambie huyo shem....yani hapa nilipo nime............akitokea namla nyama.....![]()
yaani leo akija nampokea hivi..............mpaka akubali kosa.......![]()
MAMA leo lazima kieleweke, hata vyomboa ataosha kwa style hiyo!
pole sana mke mwenza njoo hukujamani me my hezbenda @sobhuza anatumikia ban. popote uliko pokea ki.ss zangu. dedication. miss u by aaliyah!
nimeipenda hii sanayaani leo akija nampokea hivi..............mpaka akubali kosa.......![]()
nimeipenda hii sana