...Uko wapi...

...Uko wapi...

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
45,277
Reaction score
95,560
...uko wapi nikuone MOYO wangu utulie...@Preta

...na wewe ungependa kumuona nani..ili MTIMA wako utulie...?

..Jumatatu Njema
 
hihihihihihihi zilipendwa Preta unaitwa hukuuu...........
 
Last edited by a moderator:
Ili moyo wangu utulie, napenda kumuona Bwana wangu Yesu kristo akitawala njia zangu siku nzima ya leo.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Ili moyo wangu utulie, napenda kumuona Bwana wangu Yesu kristo akitawala njia zangu siku nzima ya leo.
The unseen is illustrated by the seen.

mkubwa! hii staili uliyo anzanayo wiki hii......haponi mtu,habaki mtu.vizuri sana
 
mimi ningetamani kumuona kipenzi changu Madame B,nimeshindwa kufanya kazi kabisa....napagawa nae.... Madame B uko wapi asali wa moyo wangu?
 
Last edited by a moderator:
Polen mnaotafutana ce hapa tupo pamoja kwa bed na mme wangu Rejao ziro distans since last 9t na hatujui tutaamka lini,badae jaman!
 
Last edited by a moderator:
Polen mnaotafutana ce hapa tupo pamoja kwa bed na mme wangu Rejao ziro distans since last 9t na hatujui tutaamka lini,badae jaman!
...naona hili dongo langu na Preta liveeeee..haya dada@Cantalisia nimekusoma...
 
Last edited by a moderator:
mimi ningetamani kumuona kipenzi changu Madame B,nimeshindwa kufanya kazi kabisa....napagawa nae.... Madame B uko wapi asali wa moyo wangu?

pole kwa kumtafuta madame B, ila kaniachia ujumbe nikwambie kuwa ameenda hospital
 
Last edited by a moderator:
mimi ningetamani kumuona kipenzi changu Madame B,nimeshindwa kufanya kazi kabisa....napagawa nae.... Madame B uko wapi asali wa moyo wangu?

Niko Nairobi kipenzi changu.
Yani huku sili, silali nakuwaza wewe,
japo vishawishi ni vingi,najitahidi niviepuke ila vikinizidia,Ntakuwa sina jinsi itabidi niingie navyo mkataba.
Nikirudi DSM ntakuletea Popcorn na BaobabSd's.
Ciao..!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom