...Uko wapi...

...Uko wapi...

Uko wapi ?
Beibe sikuoni mbona ?
Njoo haraka bhanaa, Mguu wa tatu unanisumbua mnomno!
 
aisee mi nampenda sana CUTE ila labda sina bahati ya ye kunipenda
 
Last edited by a moderator:
Haya wenye wapenzi wao... wengine tunapita tu hapa.
 
pole kwa kumtafuta madame B, ila kaniachia ujumbe nikwambie kuwa ameenda hospital

shemeji!...pamoja na taarifa yako nzuri lakini unakesi na mimi ya kujibu.....ngoja kwanza nipoze machungu ya Madame B,kwani ulipo ni mbali na macho yangu lakn moyon nakuona umejaa tele
 
Niko Nairobi kipenzi changu.
Yani huku sili, silali nakuwaza wewe,
japo vishawishi ni vingi,najitahidi niviepuke ila vikinizidia,Ntakuwa sina jinsi itabidi niingie navyo mkataba.
Nikirudi DSM ntakuletea Popcorn na BaobabSd's.
Ciao..!!!

chonde,chonde my love fanya yote lakini mimba yangu usitoe japo iko kwako,nitaarifu siku utakaporudi nikupokee,ugua pole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom