Namtafuta my husband....tangu aondoke hadi leo hajarejea
bustani inahitaji umwagiliaji maana ukame wakausha mazao
dedication when I need you by Celine Dion
Namtafuta catherin umepotelea wap best! Nilipta kwenu haus ger wako akanipa namba yako napga weee but where...,kuja bana..
Nipo wangu mitandao inasumbua.Nitakutafuta
Afadhali usimtaje jina dada yangu maana mijicho ishaanza kuwatoka wakware hapa lol.. nakupenda dada yangu na ninakutakia w/end njema..
Jina limenitoka bst nikumbushe
nilivosikia tu kuitwa nimeahirosha hata kikao cha bunge maalum. uko wapi wangu?