Uko wapi.....Nikufate

Uko wapi.....Nikufate

Dear Rapunzel yaani Audi inanifanya nikate misele balaaa...but si unajua tena weather ya leo nipo na bamsapu Mu-sir nampetipeti...
Muzima weye!

Shemeji leo tuko tunajipumzisha jioni hii na my babe TATIANA hatuna tatizo na mtu analala kifuani kwangu na kwa sauti yske ya upole namsikiliza mamsapu aniambie anachotaka. Very proud kuwa naye.
 
Last edited by a moderator:
yaan kweli TATIANA na uzuri wote huo hakuna hata aliyekupenda bac njoo kwangu ntakupa popcorn kama wale

hahaahaaa.... my babe Mu-sir njoo mulika mwizi wa Mali zako hapa!
 
Last edited by a moderator:
Dear Leo nipo na Tanesco generator halina nafasi..
Nipo hapa na Papaa Mu-sir namlea..
Mwambie Shark nitamDipu after two days!

ha ha ha kwanza Tanesco yenyewe mwisho kibaha mie ndo mpango mzims mpk vijijini nimo halafu nimeskia pedeshee hyo mzee wa sembe angalia bora mie dalali wa viwanja
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha kwanza Tanesco yenyewe mwisho kibaha mie ndo mpango mzims mpk vijijini nimo halafu nimeskia pedeshee hyo mzee wa sembe angalia bora mie dalali wa viwanja

Dear haijalishi pesa ni za sembe au la.. he is here to make me happy so am I.

Jikaze tu marioo wangu will come to you soon.
 
Dear haijalishi pesa ni za sembe au la.. he is here to make me happy so am I.

Jikaze tu marioo wangu will come to you soon.

ok nimekubali mwambie mie ni mdogo wako ndo umepewa unitunze mjini hapa na kunitaftia chuo ili tumchune wote ila usimbusu mbele yangu deal?
 
ok nimekubali mwambie mie ni mdogo wako ndo umepewa unitunze mjini hapa na kunitaftia chuo ili tumchune wote ila usimbusu mbele yangu deal?

Dear he is my first priority. So we jikaze tu but will introduce you to him kua we ni shambaboy wetu toka ukiwa na 12 years
 
mmmmh hyo hatakubali shambaboy shkopa we mwambie mdogo wako na kwa unavyoniheshimu hupendi kunionyeshea so hamna kulana pale au sio hyo inasaundje wangu
 
Back
Top Bottom