niwe mtumwa huru..?sogea karibu nikufungue huo mnyororo
mhm! bestito ukimya wote huo ndo inini kujichimbia huko namna hiyo
NIMEKUMISOOO
niwe mtumwa huru..?
ukiwa na mimi
kwani mnaenda wapi?
nishawishi bhasi.....!!!ukiwa na mimi
kwenye semina ya watu wazima.kwani mnaenda wapi?
tunaenda vitani
kwenye semina ya watu wazima.
nishawishi bhasi.....!!!
mmh kumbe kila mtu anasafari yake,
wewe tusubiri hapa nampeleka kwanza Heaven on Earth, "NIKimfKishA" nakuja tuende kwenye semina
kwani wewe hupendi kifika? lol
Akanana usije kwanza utanifumania na akanana mwenzio Paloma.
Hivi nduguyo na my boss charminglady katekwa nanani?
na mie nimefahamu saivi
nimechelewa kujua asee
ki maneno neno..? lolkiaje slave dear
jamani nimekumiss sana my X, you are too much lost maamuma! lols!..
uko wapi nikufwate kwa malaysia airline jamani!.. lols.. nataka tupotelee hewani wawili, lols!
miss you mamiii
siku hizi sijui unafichwa na nani kuonana kwa tochi lol